matapeli wa mapenzi tanzania

mimi mwenyewe nilishawai kuwa na mpenzi loh namshukuru mungu kunitoa huko.yaani very iresponsible lakini mimi nilikuwa naona sawa tu as long tunapendana.kumbe nilikuwa najidanganya

i see, hata wewe kumbe..... ; anyway, kila mtu huwa ana-assume hivyo hivyo hadi pale anapokuja kutendwa, so tusijifanye wajanja; afterall ndege mjanja hunaswa na tundu bovu
 
Mbona una wivu ww? acha wenzio wabwede.kama ulitendwa ww co wao.Let them enjoy kwa raha zao.
 
Nisije kuanzisha thread ndani ya thread...!!
Ila yanatokea sana hasa kwa wadada walioenda age,kazi nzuri na wanaoishi kivyao.
Na makupe wengi ni wachaga na wanyakyusa.
 
duh hatari....mie naona sasa demu kabla sijamdate otabidi kwanza akamnunulie mama gari baada ya hapo ndio mambo sawa maan naona hapa wanawake kaa kibiashara zaidi
 
na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?

Ni kutojitambua, kutojiamini na kuishi jinsi society inavyodictate!

Back to ur topic, tofauti na wakinadada, wanaume wengi wanaolelewa hutumia mali za wanawake kuhongo vidada vingine; it is so sad!
Halafu siku hizi wanaconfidence ya ajabu ktk kutongoza mature n independent ladies
 
i see, hata wewe kumbe..... ; anyway, kila mtu huwa ana-assume hivyo hivyo hadi pale anapokuja kutendwa, so tusijifanye wajanja; afterall ndege mjanja hunaswa na tundu bovu

Ni kweli, ndio maana kaileta hapa ili wenye akili walearn from her mistake; ila wapumbavu watasubiri nao yawakute!
 
we kinachokuuma nn wakilelewa na hao wa dada wenye kazi zao!!afterall huwezi jua dada anapewa nn mpaka anatoa keys
 
kwani kuna ubaya gani? Yaani mnataka nyie ndio mpewe huduma au kuchuna tu?
 
Ahsante dada kwa taarifa. Ila kiukweli dunia imegeuka. Yale yaliyosemwa mwanamume atamtuza mwanamke imekuwa vice versa, wanaume wa kileo hasa vijana wanapenda kulelewa achaa. Umpe hela ya shopping, umpe hela ya scrub apendeze apendwe na vijana wenzie, na kama ndo umejaliwa usafiri basi umuachie kabisaa, ukiwa na mjengo ndo uwiii.
Lady jaydee alisemaga wanaume km mabinti.
Kwa kweli upuuzi huo sifanyi, km hilo penzi na nilikose tu.
No way
 
we kinachokuuma nn wakilelewa na hao wa dada wenye kazi zao!!afterall huwezi jua dada anapewa nn mpaka anatoa keys

friends with benefits (FWB) - unampa anachohitaji (mapenzi, ngono, company etc), unapata unachotaka (mkwanja, gari, makazi etc)
 
Ukitaka masiha yaulupige, jifanye much know that you can do everything. Fateni kanuni za wazazi wenu na vitabu vya dini mtapona. Hakuna jambo zuri ambalo waweza pata bila kutoa jasho. Wote kuweni makini. ME and KE wote tapeli kwa kweli.
 
Back
Top Bottom