sauti zikasikika toka kwa mbunge fulani "MUONGO"
Ni kweli kabisa m2 wangu!Huyu mzee mi nadhani ni katekista wa jumuiya yake, he is so polite au mwoga au msanii au msaliti wa watz, anapenda kuwaplease watu hata ktk mambo yanayohitaji kauli ya serikali. Amewekwa hapo kama shock absober.
Wanajamii nimekuwa nikisikiliza na kutazama kipinda cha maswali kwa waziri mkuu lakini majibu yanayotolewa na pinda huwa hayalingani na cheo chake kwani ni ya kubabaisha sana hayana 'tamko la waziri mkuu' kama ambavyo wengi hutarajia. Waziri mkuu anaogopa nini au nani.
Huyu mzee mi nadhani ni katekista wa jumuiya yake, he is so polite au mwoga au msanii au msaliti wa watz, anapenda kuwaplease watu hata ktk mambo yanayohitaji kauli ya serikali. Amewekwa hapo kama shock absober.
sauti zikasikika toka kwa mbunge fulani "MUONGO"
pinda ni waziri mkuu muoga na mbumbumbu kuliko mawaziri wakuu wote waliopata kutokea katika nchi hii