Maswali kwa waziri mkuu leo bungeni, mjadala matumizi ya fedha za serekali kuendelea

ivi pinda uwa ana jibu la maana katika maswala ya msingi?
yeye kila mara huwa ana jibu adi afikilie/au litashughulikiwa
sasa kipindi hiki cha maswali kwake hakina maana kwakweli

maswali magumu majibu rahisi
 
Wanajamii nimekuwa nikisikiliza na kutazama kipinda cha maswali kwa waziri mkuu lakini majibu yanayotolewa na pinda huwa hayalingani na cheo chake kwani ni ya kubabaisha sana hayana 'tamko la waziri mkuu' kama ambavyo wengi hutarajia. Waziri mkuu anaogopa nini au nani.

Huyu mzee mi nadhani ni katekista wa jumuiya yake, he is so polite au mwoga au msanii au msaliti wa watz, anapenda kuwaplease watu hata ktk mambo yanayohitaji kauli ya serikali. Amewekwa hapo kama shock absober.

Napata shida sana na kauli za PM. Kila mara lazima aseme "mi nadhani.." "mi nafikiri.." "..hili limefanyika kwa nia njema tu" Hizi sio kauli za Waziri Mkuu, ni za mtu asiye na mamlaka yoyote.
 
sauti zikasikika toka kwa mbunge fulani "MUONGO"


Huyu mama huwa anatumia masaburi tu, hata wapiga kura wake wameshamchoka, wanatamani kama uchaguzi ungefanyika leo ili wamuondoe Bungeni. Kazi yake ni kuwatukana tu wapiga kura wake. Mara wahaya hawali ndizi mshale, fia, n.k., ni chakula cha wakimbizi.... na watu wangu hawana umaskini kwakuwa VICOBA vipo, n.k. She is foolish!!
 
Tarime: serikali ina mchakato wa kujenga barabara kwa kiwango cha lami nyepesi nyepesi....
at kwa sababu barabara haipitishi magari mengi...sasa hajui kwamba barabara haina magari mengi kwa sababu ni mbaya haipitiki?? wakiweka hiyo lami nyepesi magari yataongezeka halafu baada ya mwaka mmoja barabara hoi!!
 
wabunge wa Chadema wanaikaanga serikali na mikataba mibovu

dola milioni 8 kwa ujenzi wa VIP lounge oh my whatever!!!
dogo janja anawakaanga!!!! mimi penda yeye!!

halafu spika anajibu jibu tu eti hamna muda...
 
yani hili bunge sina hamu hata kusikiliza nna hasira sana,
ngoja tuwe tunapata newz umu
 
Back
Top Bottom