mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Aje apewe uwaziri mkuu anaweza kuuza sura kwa madaktari wakaacha kugoma
Ninaona wakati huu ccm watakuja na pendekezo la mwanamke awe rais mwaka 2015 ambalo ni janga kwa taifa na atapendekezwa kwa udini. Tusubiri na tuone kitakachotokea.
...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose
migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na
tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya upepo], wakati
ambapo dunia ianpambana na majanga mbali mbali ya kimaumbile[matetemeko, volcanic eruptions nk] na
kukabiliwa na vita sehemu mbali mbali, sikuwahi kumsikia asha rose migiro akipaaza sauti yake kukemea
vita, dhulma na au hata kutoa pole kwa wahnga wa majanga mbalimbali. Anayehangaika ni mzee ban-ki
moon peke yake. Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia
alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza
muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?
Namfahamu Asha-Rose Migiro tangu akisoma,LLB, LLM and PhD. Migiro ananifahamu pia. Aidha Migiro anawafahamu Dr. WillyRingo Tenga na Prof. Paschael Mihyo. Migiro pia alifahamiana vizuri na Prof. PhilemonMsuya (RIP) CACO, UDSM miaka ya 1980s. Wannne hao wanafahamu siri fulaniinayohusu maisha halisi yaMigiro wakati akisoma LLM. Sitaki kwenda mbali, lakini naomba Migiro afikishiwesalamu, kwamba siku moja, siri hiyo itawekwa hadharani. Kwenye ukweli uongohujitenga.
Kila la heri.
Katika orodha hiyo yenye red hujamtendea haki mwenzao Lusinde.Kwani kati ya Migiro na Kikwete ni nani ana uwezo kuliko mwingine.
Hebu fikiria ukatakiwa kuchagua kuchagua mmojawapo kati ya Migiro na wafuato: Pinda, Lowasa, Nchimbi, Nape, Mwigulu, Sumaye. Utachagua yupi.
Awe muwazi kuwa kashindwa kuperform katemwa na kapewa mwingine asijisifie UN hawaangalii sura wanaangalia kazi
...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose
migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na
tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya upepo], wakati
ambapo dunia ianpambana na majanga mbali mbali ya kimaumbile[matetemeko, volcanic eruptions nk] na
kukabiliwa na vita sehemu mbali mbali, sikuwahi kumsikia asha rose migiro akipaaza sauti yake kukemea
vita, dhulma na au hata kutoa pole kwa wahnga wa majanga mbalimbali. Anayehangaika ni mzee ban-ki
moon peke yake. Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia
alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza
muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?
Awe muwazi kuwa kashindwa kuperform katemwa na kapewa mwingine asijisifie UN hawaangalii sura wanaangalia kazi
Detail ulizotoa zinazohusu mambo ya mtu binafsi yaliyotokea miaka karibu 30 iliyopita kabla hata hajaolewa hayakuwa ya lazima kabisa. SIku za nyuma kidogo niliweka post moja kuhusu "Injinia" Manyanya nikasema kuwa kwa uzee wa leo sitaweza kuandika ninvyomfahamu alipkuwa chuoni, kwa sababu mambo ya zamanai huwa yanawaingiza watu wengine wasiohusika kabisa na mjadala ulioko mbele yako na huweza kuwavunjia watu heshima mbele za familia zao, ingawa wakati mambo unayozungumza yalipofanyika ilikuwa ni sawa tu kwao kwa vile hawakuwa na familia wakati huo.Namfahamu Asha-Rose Migiro tangu akisoma,LLB, LLM and PhD. Migiro ananifahamu pia. Aidha Migiro anawafahamu Dr. WillyRingo Tenga na Prof. Paschael Mihyo. Migiro pia alifahamiana vizuri na Prof. PhilemonMsuya (RIP) CACO, UDSM miaka ya 1980s. Wannne hao wanafahamu siri fulaniinayohusu maisha halisi yaMigiro wakati akisoma LLM. Sitaki kwenda mbali, lakini naomba Migiro afikishiwesalamu, kwamba siku moja, siri hiyo itawekwa hadharani. Kwenye ukweli uongohujitenga.
Kila la heri.
Detail ulizotoa zinazohusu mambo ya mtu binafsi yaliyotokea miaka karibu 30 iliyopita kabla hata hajaolewa hayakuwa ya lazima kabisa. SIku za nyuma kidogo niliweka post moja kuhusu "Injinia" Manyanya nikasema kuwa kwa uzee wa leo sitaweza kuandika ninvyomfahamu alipkuwa chuoni, kwa sababu mambo ya zamanai huwa yanawaingiza watu wengine wasiohusika kabisa na mjadala ulioko mbele yako na huweza kuwavunjia watu heshima mbele za familia zao, ingawa wakati mambo unayozungumza yalipofanyika ilikuwa ni sawa tu kwao kwa vile hawakuwa na familia wakati huo.