Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Dr. Asha-Rose Migiro, former Deputy Secretary General of UN nina maswali machache juu yako. Baada ya kusikia kwenye vyombo vya habari kuwa sasa umerudi nyumbani ukidai ili kulitumikia taifa; makatibu wakuu wengi sijui kuhusu mtangulizi wako wamekuwa international mediators. Swali no. 1: hivi ni kwa nini kwenye UN Assembly 2011 wakati Rais wa Iran Mahmoud Ahmedinejad alipokuwa anaongea ulitoka nje kama walivyofanya mataifa ya Ulaya na Marekani? [angalia video sekunde 0.00 - 0.06 na 09.45] Swali no. 2: je, kama ndio uzoefu huo ulioupata huko ukiwa kama Rais wa Tanzania sio kuwa utaumiza demokrasia kwa kuwa na serikali isiyo onesha tolerance? Swali no. 3: kwa nini umefika tu nchini na kuanza kutaka publicity ya nguvu?

[video=youtube_share;H09nvdPF0KQ]http://youtu.be/H09nvdPF0KQ[/video]

Source: Magazeti ya leo 9/7/2012 (Mwananchi, Nipashe n.k.)
 
Swali lingine je ameisaidije tz wakat akiwa kiongoz? ushaur namsih apumzike tu kwan akijiingiza ktk siasa ataazilika!
 
huyu ni kama Yule dada aliyeshindwa ubunge na Kamamnda Lema kule ARUSHA
 
Nchi ina vituko hii, huyu mama nae anautaka Urais! yaani baada ya haya yooote bado kweli mtu kama huyu anawaza kuwa Rais! pamoja na udhaifu woote huu...
 
Apunzike ale pensheni na vijesenti alivyovipata huko!!uroho wa madaraka unamsumbua huyu mam anaboa yaani kapigwa ban UN anataka chafua hali ya bongo,,,uroho na roho baya ya kutaka kubaka democrasia bongo.f........ck you
 
Hivi mama asha bado unatamani uongozi?
kwanini usitulie ukatunza heshima yako kama akina koffi anan
ambao bado wanapata heshima kutokana na kutojiingiza tena kwenye
siasa za nyumbani.
 
under performer, wanaoperform huwa wanaendelea kufanya kazi. Lakini huku kustaafu kunakujaje? hahhahaha kweli hili ni janga jingine la kitaifa.
 
"She is trained dog, never think for its own and alyaws obeys the order of its master".....Huu ulukua unafiki na ujinga mkubwa, Ubarozi wa Iran upo hapa Tanzania na hakuna mahusiano mabaya. She dd that for the sake of orders!

Mtumwa wa fikra potofu na shuhuda wa kila kisemwacho bila kujenga hoja!
 
Kila aliye uzao wa uongozi wa JK ni dhaifu. Pinda, Mkulo, Maige, Chami, Nundu, Migiro, Mwakyembe, n.k wote ni dhaifu. Huyu mama Migiro bora apumzike.
 
Hao ndio viongozi wengi wa tz... full blaaaa blaaa tu!!! mwacheni ajaribu akutane na M4C.... a.k.a CHADEMA wamcharue hadi acharuke....
 
Hawezi kuwa Rais huyo, kwani kikubwa amefanya nn huko UN. sioni alichofanya ni kama zamani tu. atafute chuo akafundishe political science.
 
Back
Top Bottom