Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

Siasa ya ndani ya nchi yetu kwa mtu msafi hawezi kuitamani mimi bado sijafahamu kwenye uongozi watu wanagombea kwa nguvu zao zote ni kwanini nchi kama tanzania omba omba wakubwa nawe unataka kujidhairisha baki nyumbani pasi kushabikia siasa tena kwani mungu kakujalia kutoka katika siasa uchwala shukuru mungu waache hao wanao jitia mafusadi moto uwawakie.
 
Ninaona wakati huu ccm watakuja na pendekezo la mwanamke awe rais mwaka 2015 ambalo ni janga kwa taifa na atapendekezwa kwa udini. Tusubiri na tuone kitakachotokea.
 
Sidhani kama ni busara kumsakama mama wa watu kwa tuhuma zisizokuwa na ukweli ndani yake. Kwanza huyu mama hakuna mahali tumesikia katamka kwamba anataka kugombea urais 2015, ingawa ana haki ya kufanya hivyo akitaka kwani katiba inaruhushu kufanya hivyo na zaidi sana tukizingatia kuwa Dr. Asha-Rose ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. vinginevyo ninachokiona hapa ni kwamba huyu mama bila shaka inaonekana ni tishio katika harakati hizo za 2015 ndio maana anaundiwa zengwe ili kumkatisha tamaa.
Ndio, nasema hivyo kwani sioni mantiki kumsakama mama huyu ambaye kwa mujibu wa taarifa rasmi za UN amesifiwa sana kwa uadilifu na utendaji kazi wake kiasi cha Bw.Moon hata kuamua kuamteua kuwa mwakilishi wake maalumu barani Afrika katika masuala ya UKIMWI. Hii ni kuthibitisha ni kwa namna gani UNSG anavyomkubali huyu mama kwa utendaji kazi wake . Mimi nimepata neema ya kuishi katika mataifa mbalimbali yaliyoendelea ikiwemo Marekani ambako niliwahii kukaa huko kwa miaka 4. Nawajua hawa ndugu zetu, hawana unafiki kama huku kwetu kwenye nchi za dunia ya tatu. Wenzetu kama umeharibu wanakuambia wazi umeharibu na hawana kabisa unafiki wa kusisifia na kukupamba wakati wanajua umeaharibu,hata kidogo.
Lakini tunachokiona kwa Mh.Mama Migiro ni tofauti kabisa. Sifa za utumishi wake uliotukuka zinazotolewa na vigogo na hata watumishi wa kawaida aliowahi kufanya nao kazi pale UN.
Naomba nieleweke, sina maslahi yoyote na mama huyu. Bali kama mtanzania nakereka sana na shutuma zisizo na ukweli wowote anazopewa mtanzania mwenzetu huyu ambaye kiukweli amelipatia taifa letu heshima kubwa sana Duniani. Kwa wale waliobahatika kushiriki/kujichanganya na watu makini Duniani wataelewa nazungumza nini.
Natambua,Dr.Asha-Rose Migiro kama binadamu anaweza kabisa kuwa na mapungufu yake. Hilo silipingi hata kidogo. Lakini kumlundia shutuma za kupandikiza kama vile za udini na udhaifu wa kiutendaji kazi, ni kutomtendea haki. Maana nimeshangazwa na mdau mmoja humu kusema eti mama huyu alikuwa mtu wa kuvaa maushungi tu pale UN, jambo ambalo si la kweli kabisa. Natambua, kwa mujibu wa imani yake wala haikuwa tatizo kwake kuvaa ushungi. Hatahivyo, mimi kama mfuatiliaji mkubwa wa masuala mbalimbali ya UN,sikupata hata mara moja kumuona kavaa ushungi. Isitoshe, hata huku nyumbani kabla ya kwenda UN,sikuwahi kumuona akivaa mavazi hayo labda kwa siku alizokuwa akienda kwenye ibada. Nameona niliseme hili kuthibitisha ni kwa namna gani kuna watu wanaonesha dalili za wazi kabisa za chuki binafsi kwa mama huyu.Haipendezi hata kidogo. Kwa kusema haya si maana ya kumshawishi kila mtu amsifie mama huyu maana najua tunatofautiana kimtizamo. Lakini hoja yangu ni kwamba ni bora mtu ukaa kimya kuliko kuzusha tuhuma pandikizi.
Dr.Asha-Rose Migiro, karibu nyumbani mama na watanzania makini tunatambua mchango wako mkubwa katika nyanja ya diplomasia ya kimataifa kiasi cha kutufanya kujisikia fahari kubwa kila tutembeapo sehemu mbalimbali za ulimwengu huu.
Mungu ibariki Tanzania!!!!
 
Ubarikiwe mkuu kwa busara zako!
 
...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose

migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na

tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya upepo], wakati

ambapo dunia ianpambana na majanga mbali mbali ya kimaumbile[matetemeko, volcanic eruptions nk] na

kukabiliwa na vita sehemu mbali mbali, sikuwahi kumsikia asha rose migiro akipaaza sauti yake kukemea

vita, dhulma na au hata kutoa pole kwa wahnga wa majanga mbalimbali. Anayehangaika ni mzee ban-ki

moon peke yake. Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia

alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza

muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?
 
.... Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia

alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza

muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?

Tatizo lenu nyie hadi mumuone mtu anatokea kwenye magazeti au TV ndio mnajua anafanya kazi.

Kwani mnajua Augustine Mahiga muda wote alikuwa anafanya kazi gani UN? Mmeshawahi kumuona kwenye ma TV anazungumza au kuropoka hovyo? Pale ni kazi tu hamna nafasi ya Politics.

Thats UN my brother, ina wasemaji wake yeye Asha-Rose sio msemaji wa UN na hana ulazima wa kuita Press conference wakati katibu mkuu yupo. Kwa ujumla Migiro ametuwakilisha vizuri UN na nilianza kumfuatilia toka yupo waziri wa mambo ya nje ambapo tulipewa kile kiti kwa mwaka mmoja na alikuwa anafanya vizuri hadi Ban Ki Moon akamuona.

Kama mna chuki zenu binafsi au kama mlitaka Godbless Lema ndio apewe ukuu UN poleni sana :happy:
 
Nafikri kumshambulia kwa udini siyo sahihi sana maana naamini mume wake Professor Cleophas ni mkirisot labda kama amekwisha badili dini kufuata dini ya mke wake.Pia Familia yake siyo yenye radicals na fundametalists wa kiislamu.Kuhusu performance yake UN na kuendelea kwake kulitegemea sana maamuzi ya Katibu Mkuu Baki MOON, Maana mwanzoni ilikuwa ni takrima kuu ya Tanzania kwa Korea Kusini baada ya Tanzania kushawishi na kuongoza kampeni ya Baki Moon kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa UN.
 
mkuu nimekuelew watu wabongo ndio walivyo sijawahi kuona hata mtu mmoja akipewa sifa nyumbani tuna tatizo sana ukiona comments za watu kama humjui huyu mama unaweza kufikiri kuwa huyu mama alifukuzwa kama mwizi UN sijui tumelogwa na nini aisee wivu wivu wivu hata kama kuna mabaya kafanya jamani hakuna hata zuri alilolifanya? mi sio magamba ila kwenye ukweli tuseme tusiwe tunaweka kila mahali siasa maana mama ni tishio kweli 2015 so wanataka kumchafua mapema ila na wala sijui mnahangaika nini huyu mama ni ccm na mjue kabisa kuwa ccm 2015 haina chake sasa pressure zenu zinatoka wapiii??? jadili mstakabali wa taifa lenu acheni kumjadili mama wa watu, jana alikuwa mama regina leo kawa asha kesho nahisi atakuwa salma dah. kazi mnayo kubonyeza keyboard zenu kinafiki.

Sidhani kama ni busara kumsakama mama wa watu kwa tuhuma zisizokuwa na ukweli ndani yake. Kwanza huyu mama hakuna mahali tumesikia katamka kwamba anataka kugombea urais 2015, ingawa ana haki ya kufanya hivyo akitaka kwani katiba inaruhushu kufanya hivyo na zaidi sana tukizingatia kuwa Dr. Asha-Rose ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. vinginevyo ninachokiona hapa ni kwamba huyu mama bila shaka inaonekana ni tishio katika harakati hizo za 2015 ndio maana anaundiwa zengwe ili kumkatisha tamaa.
Ndio, nasema hivyo kwani sioni mantiki kumsakama mama huyu ambaye kwa mujibu wa taarifa rasmi za UN amesifiwa sana kwa uadilifu na utendaji kazi wake kiasi cha Bw.Moon hata kuamua kuamteua kuwa mwakilishi wake maalumu barani Afrika katika masuala ya UKIMWI. Hii ni kuthibitisha ni kwa namna gani UNSG anavyomkubali huyu mama kwa utendaji kazi wake . Mimi nimepata neema ya kuishi katika mataifa mbalimbali yaliyoendelea ikiwemo Marekani ambako niliwahii kukaa huko kwa miaka 4. Nawajua hawa ndugu zetu, hawana unafiki kama huku kwetu kwenye nchi za dunia ya tatu. Wenzetu kama umeharibu wanakuambia wazi umeharibu na hawana kabisa unafiki wa kusisifia na kukupamba wakati wanajua umeaharibu,hata kidogo.
Lakini tunachokiona kwa Mh.Mama Migiro ni tofauti kabisa. Sifa za utumishi wake uliotukuka zinazotolewa na vigogo na hata watumishi wa kawaida aliowahi kufanya nao kazi pale UN.
Naomba nieleweke, sina maslahi yoyote na mama huyu. Bali kama mtanzania nakereka sana na shutuma zisizo na ukweli wowote anazopewa mtanzania mwenzetu huyu ambaye kiukweli amelipatia taifa letu heshima kubwa sana Duniani. Kwa wale waliobahatika kushiriki/kujichanganya na watu makini Duniani wataelewa nazungumza nini.
Natambua,Dr.Asha-Rose Migiro kama binadamu anaweza kabisa kuwa na mapungufu yake. Hilo silipingi hata kidogo. Lakini kumlundia shutuma za kupandikiza kama vile za udini na udhaifu wa kiutendaji kazi, ni kutomtendea haki. Maana nimeshangazwa na mdau mmoja humu kusema eti mama huyu alikuwa mtu wa kuvaa maushungi tu pale UN, jambo ambalo si la kweli kabisa. Natambua, kwa mujibu wa imani yake wala haikuwa tatizo kwake kuvaa ushungi. Hatahivyo, mimi kama mfuatiliaji mkubwa wa masuala mbalimbali ya UN,sikupata hata mara moja kumuona kavaa ushungi. Isitoshe, hata huku nyumbani kabla ya kwenda UN,sikuwahi kumuona akivaa mavazi hayo labda kwa siku alizokuwa akienda kwenye ibada. Nameona niliseme hili kuthibitisha ni kwa namna gani kuna watu wanaonesha dalili za wazi kabisa za chuki binafsi kwa mama huyu.Haipendezi hata kidogo. Kwa kusema haya si maana ya kumshawishi kila mtu amsifie mama huyu maana najua tunatofautiana kimtizamo. Lakini hoja yangu ni kwamba ni bora mtu ukaa kimya kuliko kuzusha tuhuma pandikizi.
Dr.Asha-Rose Migiro, karibu nyumbani mama na watanzania makini tunatambua mchango wako mkubwa katika nyanja ya diplomasia ya kimataifa kiasi cha kutufanya kujisikia fahari kubwa kila tutembeapo sehemu mbalimbali za ulimwengu huu.
Mungu ibariki Tanzania!!!!
 
wamezoea watu wakiongea ongea ndio wanafanya kazi wape pole zao, ndio tanganyika mtu asipooneka kwenye tv ni tatizo lol
 
Mkuu FUMBUKA LUNYONYO tupe job description aliyokuwa nayo DR asha rose migiro kama naibu katibu mkuu wa UN ndio tukubaliane na uzi wako.
 
Last edited by a moderator:
mnenikumbusha juliana kanyomozi "wivu wivu wivu wivu si mpita njia nasema si mpita njia. pilipili usioila ya kuwashieni nini?" hata 2013 haijafika na ikifika 2015 si ndio watu watapasuka kabisa kwanini mnajitia pressure hivyo??
 
Kila mtu anasababu zake anazoamini ni sawa kumkataa mtu au kumkubali mti. Sishangai kuwa wakati wengine hawamtaki wengine wanamtaka. Binafsi sioni cha ajabu cha kumfanya aonekane ni right candidate wa urais 2015. Siyo mwanasisa mwenye kuhimili vishindo huyu! Sana sana akiutaka ni uroho wa madaeaka tu!
 
Namfahamu Asha-Rose Migiro tangu akisoma,LLB, LLM and PhD. Migiro ananifahamu pia. Aidha Migiro anawafahamu Dr. WillyRingo Tenga na Prof. Paschael Mihyo. Migiro pia alifahamiana vizuri na Prof. PhilemonMsuya (RIP) CACO, UDSM miaka ya 1980s. Wannne hao wanafahamu siri fulaniinayohusu maisha halisi yaMigiro wakati akisoma LLM. Sitaki kwenda mbali, lakini naomba Migiro afikishiwesalamu, kwamba siku moja, siri hiyo itawekwa hadharani. Kwenye ukweli uongohujitenga.
Kila la heri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom