Masters scholarship to study in tanzania for academic year 2011/2012

Angeloos

Member
Jul 18, 2011
56
19
Hi,Wadau naomba mnisaidie. Natafuta scholarship kwa ajili ya masters ili kusoma hapa nyumbani kwa mwaka huu 2011/2012. Kila mwaka Utumishi huwa wanatoa Belgium scholarship kwa wanafunzi wa 'masters' wanaotaka kusoma kwenye vyuo vyetu vya hapa nyumbani lakini mpaka sasa sijazisikia zikitangazwa. Hivi, zimeshatangazwa au bado au mwaka huu hakuna?Vile vile nilijaribu kwenda COSTECH kuulizia lakini nako nikaambiwa bado hazijatoka kwa mwaka huu, zikitoka watazitangaza. Jamani naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu Scholarship.
 
Mkuuu TZ ni longo longo sana hasa hizo schlorship zinazotangazwa kupitia watu wa Utumishi.

Kama vipi sio lazima usome TZ hata nje ya nchi jichanganye tu mkuu. Kuna hii hapa pia ua unaweza jaribu kama upo interested . www.nuffic.nl kila lakheri mkuuu
 
Back
Top Bottom