Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

Tatizo lako umekariri kwamba unapaswa uwe na degree ya kwanza,kisha uzamivu,kisha uzamili.UDSM(ambayo naamini kwa akili yako ndo unapaabudu)unaweza kupata PhD bila kuwa na Masters.Kama bado umejaza kamasi kichwani tafuta cv ya Dr Slaa utapata ahueni maana hana hicho kinachoitwa degree ya kwanza au ya pili.Acha kukariri!
Mkuu Munambefu . The sequence normally is degree ya kwanza (bachelor),kisha uzamili (Masters) ,kisha uzamivu (PhD). ur welcome
 
Last edited by a moderator:
J
mleta mada wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm. Kamwe arguments hizi za kitoto haziwezi kukusaidia. Bora kaa ukasome.
Mushobozi Mzumbe heeh mumezoea kunua masters degree Udsm utasikia na kuiona tu kwa macho badala ya Ku argue unakuja na pointless ama kweli chuo chenu cha vilaza Haya research paper hujui hebu rudi unijibu hoja Yang eti first kwa taarifa yako shamaliza degree ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako umekariri kwamba unapaswa uwe na degree ya kwanza,kisha uzamivu,kisha uzamili.UDSM(ambayo naamini kwa akili yako ndo unapaabudu)unaweza kupata PhD bila kuwa na Masters.Kama bado umejaza kamasi kichwani tafuta cv ya Dr Slaa utapata ahueni maana hana hicho kinachoitwa degree ya kwanza au ya pili.Acha kukariri!
Mkuu Munambefu . The sequence normally is degree ya kwanza (bachelor),kisha uzamili (Masters) ,kisha uzamivu (PhD). ur welcome
 
Last edited by a moderator:
Watanzania amkeni!!!! tunapaswa kujadili issues na si vitu au watu!!! huwezi kuthaminisha ubora wa chuo kimoja against kingine kwa hoja nyepesi kwa kuwa hakuna junction inayowapima! Ni hoja mufilisi sana kwakuwa kila mmoja hupimwa kwa vigezo tofauti. Ingekuwa sekondari sawa kwakuwa wanafanya mtihani unaofanana!!!!
 
Kwa sisi wahasibu; kama hujafuzu na kusajiliwa na recognized board ya wahasibu either ukawa na cpa, acca, etc ni kazi bure hata ungesoma masters au phd oxford au havard!! naamini wanasheria pia wanajitambua kuwa bila ya kusajiliwa na bodi yao ni bureeee utaishia kuwa kishoka tuuuu. Wale Engeneers pia wanajua nisemacho! Siamini kama mtu anaeza kuwa member wa hizi professional board akaja kubwabwaja juu ya ubora wa chuo chake hapa. Hebu tafuteni hizi profession then mtaona thamani ya elimu zenu. Mwisho ushabiki wa vyuo ni mawazo na fikra dhaifu sana.
 
J
Mushobozi Mzumbe heeh mumezoea kunua masters deHgrHee Udsm utasikia na kuiona tu kwa macho badala ya Ku argue unakuja na pointless ama kweli chuo chenu cha vilaza Haya research paper hujui hebu rudi unijibu hoja Yang eti first kwa taarifa yako shamaliza degree ya kwanza.
dogo search my name anywhere and you will come to see it. nimefuzu with very clear and blue colours tangu standard one. marks ambazo kwa arguments zako hujawahi zipata hadi Universities. nevertheless i am a competent and senior advocate so to say. pote mitihani yangu ilikuwa very excellent. i am a managing partner and initiator of my law firm. i am a well and reliable person. ndio maana nikasema weweni dogo. tell me then who are you to justify being dogo? NAKUSHAURI USOME KWA KUWA SAFARI BADO NI NDEFU . ACHA HIZO TABIA ZA KITOTO. ACHA PERSONAL ATTACKS. HII FORUM NI YA THINKERS. IF YOU CANT THINK WHO YOU ARE HOWBCAN YOU PROPERLY THINK WHO HE/SHE IS. NIMEANDIKA HII KUKUPROVE WRONG. KUMBUKA WAKATI MMOJA THE MEANS CAN JUSTIFY THE END AND AT THEBOTHER TIME THE END ITSELF CAN JUSTIFY THE MEANS . MBONA CHUO TULICHOSOMA KWA PAMOJA.NDICHO HICHO PRODUCTS ZAKE ZINALAUMIWA KWA UFISADI NA UONGOZI DHAIFU? UPENDE KUJADILI FACTS SIO WATU KAMA ZITO ALIVYOAINISHA.
 
Point of correction Mimi sio dogo by the way sina personal attack wewe ndo uliyeanza kuniita first year wa Ud kisa nimesema ukweli ungejibu kihoja tu sio kusema utoto mbona we ndo ume comment nonsense utafikiri ulikua umekatwa kichwa na proud za kijinga unaandika gazeti la shigongo na essay out of point what a shame kila mtu akiweka CV hapa patatosha blah blah ka mwimba taarabu eti unanishauri nisome who are by the way? Kunambia nisome umepaniki si bure kujisifia ujinga tu kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eti chuo kinalaumiwa kwa ufisadi hapo ndo umethihirisha kuwa we ni empty mind kweli toka Lini chuo kikafundisha ufisadi ebu weka hiyo mitaala la sivo huna haki ya kuongea bila evidence we ndo uache kujadili kimehemuko ka genye yani comment zako ndo za kiduwanzi kwenye huu Uzi mfuuuuuuuuuuuuu hovyo an empty mind
 
point of correction mimi sio dogo by the way sina personal attack wewe ndo uliyeanza kuniita first year wa ud kisa nimesema ukweli ungejibu kihoja tu sio kusema utoto mbona we ndo ume comment nonsense utafikiri ulikua umekatwa kichwa na proud za kijinga unaandika gazeti la shigongo na essay out of point what a shame kila mtu akiweka cv hapa patatosha blah blah ka mwimba taarabu eti unanishauri nisome who are by the way? Kunambia nisome umepaniki si bure kujisifia ujinga tu kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eti chuo kinalaumiwa kwa ufisadi hapo ndo umethihirisha kuwa we ni empty mind kweli toka lini chuo kikafundisha ufisadi ebu weka hiyo mitaala la sivo huna haki ya kuongea bila evidence we ndo uache kujadili kimehemuko ka genye yani comment zako ndo za kiduwanzi kwenye huu uzi mfuuuuuuuuuuuuu hovyo an empty mind
diva pole sana nimeogea kwa facts na evidence baada ya kusoma message yako iliyonilenga mimi personally kama miongoni mwa mafisadi wa elimu. Sijakuzuia kutoweka cv yako. Ukijiamini na elimu yako husiti kusema who you are when asked either expressly or impliedly. Ni madogo tu utakuta wanaanza kulialia kama wewe. By the way kwangu wewe ni dogo both kwa umri, na arguments. Kuna kitabu cha gods bits of woods mhusika mkuu alimwambia bwana mmoja katika harakati za ukombozi kuwa 'you have to study alot booksto obtain knowledge. The way you explained the issues before guests even adjibbidji my doughter can do better". Adjibiji huyo alikuwa binti wa mhusika mkuu wa miakakumi na tatu ya umri. Ebu soma threads zako basi na une group lako ni lipi. Ila kaa kweli una bachelor kama ulivyojipambanua hapo juu si ukazane kwa kusoma ili uwe mfano wa kuigwa. Hujasoma masters halafu unaanza kuponda wale waliosoma masters whatever is the university.tulia dogo.
 
Kwanini wewe uliniita dogo wa first year nimesema ukweli kuhusu Mzumbe bila chenga na nina evidence ningeweka mi siandiki kishabiki au kihisia nimeona na kushuhudia tena zaidi ya hamsini masters hajui chochote bora hata undergraduate nilisikitika na kuchoka sema natumia kimchina ningekua natumia PC ningewweka hapa evidence na kwanini kituhumiwe hicho chuo na sio kingine
 
point of correction mimi sio dogo by the way sina personal attack wewe ndo uliyeanza kuniita first year wa ud kisa nimesema ukweli ungejibu kihoja tu sio kusema utoto mbona we ndo ume comment nonsense utafikiri ulikua umekatwa kichwa na proud za kijinga unaandika gazeti la shigongo na essay out of point what a shame kila mtu akiweka cv hapa patatosha blah blah ka mwimba taarabu eti unanishauri nisome who are by the way? Kunambia nisome umepaniki si bure kujisifia ujinga tu kizuri chajiuza kibaya chajitembeza eti chuo kinalaumiwa kwa ufisadi hapo ndo umethihirisha kuwa we ni empty mind kweli toka lini chuo kikafundisha ufisadi ebu weka hiyo mitaala la sivo huna haki ya kuongea bila evidence we ndo uache kujadili kimehemuko ka genye yani comment zako ndo za kiduwanzi kwenye huu uzi mfuuuuuuuuuuuuu hovyo an empty mind
ueongea yema kenye suala la ufisadi kuwaniweke mtaala wa chuo kithibitisha kuwa chuo kinafundisha mafisadi. Ebu na wewe tuwekee taala wa chuo chochote unaoseacandidate wa masters degree ataandikiwa thesis/paper work. You fail to be systematic in such little issues? And you call your self a graduate? You are arguing for the sake
 
Si nimekwambia natumia mchina ningeweka hapa evidence kwanza case ya ufisadi wa watu haihusiki kabisa na mambo ya elimu hata kama umesoma mzumbe bwana usitetee hyo issue halafu u graduate wangu hauhusiki kabisa na wachakachuzi wa masters za mezani tuweke u graduate sijui nini pembeni tuongee really situation sio ushabiki maandazi
 
Kwanini wewe uliniita dogo wa first year nimesema ukweli kuhusu Mzumbe bila chenga na nina evidence ningeweka mi siandiki kishabiki au kihisia nimeona na kushuhudia tena zaidi ya hamsini masters hajui chochote bora hata undergraduate nilisikitika na kuchoka sema natumia kimchina ningekua natumia PC ningewweka hapa evidence na kwanini kituhumiwe hicho chuo na sio kingine
KWANINI UTUHUMU MZUMBE NA SI KINGINE....HII NI POOR ARGUENT TOO. KUNA KIPINDI HUKO ZANZABAR MAHAKAMA WALIAMUA KUTOTUMIA WANASHERIA KAMA MAHAKIMU. SWALI LA KWANZA KUMHUKUMU MTU ILIKUWA NI "KWANINI UKAMATWE WEWE NA SI WENGINE waliokamatwa" hizo arguments huwa ni mfu na hazina scientific justification. ok by the way kwa logic yako kwanini niseme wewe ni dogo na sio wengine.
 
Si nimekwambia natumia mchina ningeweka hapa evidence kwanza case ya ufisadi wa watu haihusiki kabisa na mambo ya elimu hata kama umesoma mzumbe bwana usitetee hyo issue halafu u graduate wangu hauhusiki kabisa na wachakachuzi wa masters za mezani tuweke u graduate sijui nini pembeni tuongee really situation sio ushabiki maandazi
haa kumbe unatumia mchina. pole si ungenunua original au bumu halitoshi?
 
Hata ufisadi wa watu unareflect nature ya elimu aliyoipata. Mfano kama mtu anaandikiwa paper work huo nao ni ufisadi wa elimu
 
si nimekwambia natumia mchina ningeweka hapa evidence kwanza case ya ufisadi wa watu haihusiki kabisa na mambo ya elimu hata kama umesoma mzumbe bwana usitetee hyo issue halafu u graduate wangu hauhusiki kabisa na wachakachuzi wa masters za mezani tuweke u graduate sijui nini pembeni tuongee really situation sio ushabiki maandazi
kama ufisadi wa watu hauhusiani na maswala ya elimu kwa nini useme watu wanaotoa pesa kuandikiwa paper works ni mafisadi ambao wanafanya masters degree za vyuo hivyo kuua ubora wa.elimu. Kwanini usiseme huo ni ufisadi wa mtu binafsi. Au kuna mtaala unaoruhusu uandikiwaji kwenye vyuo ulivyoviimplicate.
 
Hata ufisadi wa watu unareflect nature ya elimu aliyoipata. Mfano kama mtu anaandikiwa paper work huo nao ni ufisadi wa elimu

Hapo umenena sio kulaumu tu mafisadi kumbe the whole society iko corrupted kuanzia family level hadi national level hata watu kibao wanafisadi elimu kila kitu
 
Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced diploma kusoma masters bila basic degree! Nimeona products wenu wana mapungufu mengi! unawaona kabisa kuwa kuna vacuum upstairs with regard to professionalism worth of Masters degree level. Re-think your programme.

Sasa mmebatizwa kwa kuitwa "MAHARAGE YA MBEYA" kuwa yanaiva haraka/mapema! Nipigeni madongo, lakini ngoja niliseme

mkuu, nakushukuru sana kwa kuuona uovu na kuusemea bila kumumunya maneno. tatizo hili ni kubwa na haliko kwa nyuzi (digrii) za masters tu bali hata nyuzi za undergraduate zina kasoro kubwa sana. unamkuta mhitimu wa mzumbe ana lijipiei la kufa mtu lakini ukimchunguza kichwani unakuta kuko tupu! huu ubakaji wa elimu hauna nafasi katika nchi hii na wapendahaki tunaukemea kwa nguvu zetu zote. naomba serikali ichunguze ubora wa elimu inayotolewa na mzumbe.
 
Wewe mwanachuo bwana. Ila nakushauri sana na sana ukazane muno. Hii nchi yetu inakutegemea sana wewe na mimi. Sio kwa njia ya siasa ila uchapaji kazi wako. Usiangalie yule kafanya nini bali mimi nimefanya nini. Nikiwa ud miaka ya 2003 walimu walizoea kutupaka mafuta kwa njia ya mgongo kuwa this is a super university it produces cream students. Nilichukia sana majigambo hayo. Pia nikiwa shule moja maarufu sana walimu walizoea kujisifu kuwa hoo sisi ni watu bora kulikobwengine. Ukivimba kichwa utaumia na hadi sasa huwa sipendi hoja hizo.nyerere wetu alitutaka kujiona kama mtu mmoja liyetumwa.kwenda kutafuta chakula kwa ajiri ya kijiji kizima. Tujiulize wewe baada ya kumaliza umefanya nini hata watatu wanne wawezeshwe waende kusoma. Diva ehee poa bwana. Nimetoa hata ushauri wa bure ili uelewe ninamaanisha nini muda wote huo. Ukipata mshaara wako unaweza nunua hata smartphone ili iwe nyepesi kuaccess vitu vidogovisogo.
 
Back
Top Bottom