Masters degree ya John Mnyika toka nchini Brazil

Siku hizi wakati wengine tunajadili masters ya mtu wengine ikifika jioni wanaingia class kesho yake mnakutana unajua mwenzako mwisho wa siku unakuta CV yake ipo tofauti na unavyoifahamu unaanza kupoteza muda kujua alisomajesomaje
 
Yaani me mala ya kwanza kuingia Jf niliamini naenda kukutana na changamoto za great thinker but now days watu dhaifu wanajadiri watu badala ya hoja za maana! Sasa kila siku mnakuja na majina ya watu wanao wawasha!!!.
 
huu ni upuzi mnafikri mnyika na mjinga huyu anaakili zake vizuri na hamuwezi kumyumbisha mmetumwa nini mana kazi zenu ni kufuatilia maisha ya mnyika
 
Kijana huyu ni hazina kubwa sana kwa taifa hili, tena in a non-partisan way. Kama anazidi kujiongezea elimu, hiyo ni habari njema sana kwa vijana wanaounga mkono jitihada zake za ujenzi wa taifa. Sidhani kama mjadala wa wapi kapata pesa kusoma una tija kwani kuna kusoma online, na degree za namna hiyo kama ni toka chuo reputable, hazina utofauti na degree za kwenda darasani, ili mradi uwe na kichwa kizuri. Kwa mtazamo wangu ambao pengine ni finyu, kwa nafasi yake ya ubunge, Mnyika, muda wa ku attend masomo darasani sidhani kama anao, lakini uezo wa kujilipia masomo online anao kwani sio gharama hivyo. Tusimvunje moyo kijana huyu, ni mmoja wa viongozi ambao masuala mengi wanayosimamia ni ya kizalendo zaidi kuliko kisiasa/kichama.
 
Iwe amesoma Brazil au wapi but Mh. Mnyika ni jiniasi!!!!! Uliza waliosoma nao, angalia michango yake and many more. No doubt!!! Mleta mada alitumwa na Chama cha Mafisi!!
 
Back
Top Bottom