Masters degree ya John Mnyika toka nchini Brazil

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb John Mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili nilikuwa silifahamu!

Naomba kuwasilisha
 
Moderator naona kama kuna threads mbili zinachoongelea kitu hikihiki ni vyema ungeziunganisha,ili tuendelee vizuri na mjadala wetu wa kujadili habari binafsi za watu!
 
Kwani Mnyika hata bachelor degree alimaliza?So ana degree?Ya fani gani?
 
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb john mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili nilikuwa silifahamu!

Naomba kuwasilisha

mbona wabongo wengi wamemeza kwamba elimu ya juu lazima ugharamiwe... yawezekana alijisomesha mwenyewe..! btw kwanini unahitaji kujuwa sponsor wake..?

Moderator naona kama kuna threads mbili zinachoongelea kitu hikihiki ni vyema ungeziunganisha,ili tuendelee vizuri na mjadala wetu wa kujadili habari binafsi za watu!

Hawa mkuu wasikuumize kichwa we gonga tu hapo

report-40b.png Mods watakusikia kwa sauti zaidi.
 
Kuna uvumi kuwa bwna Mnyika amesoma masters nchini brazil na pesa hiyo aliipata kwa bwana Chalz Kahenja baada ya kudhulumiwa, ndo maana nimeuliza kama kuna mtu anajua huu mkasa atupe, make ni habari mpya sana masikion mwangu!
 
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb john mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili nilikuwa silifahamu!

Naomba kuwasilisha

We unashangaa nini hujui elimu ya masafa marefu?
 
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb john mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili nilikuwa silifahamu

Naomba kuwasilisha

Ukisikia umbea ndio huu,Inakuhusu nini kujua sponsor wa hiyo masters ya Mnyika.Yaani mtu kimekukaba rohoni mpaka unafungua na thread,Du Aisee umetisha.
 
Back
Top Bottom