spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,392
- 1,897
Maana gani hiyo? Nifafanulie plz. Mm tatizo/ tusi sijaliona.Nachojua masoud kipanya n MTU anaejiheshim mno...kwaio sidhan Kama alikua na maana hio uliyowaza mtoa maada
Maana gani hiyo? Nifafanulie plz. Mm tatizo/ tusi sijaliona.Nachojua masoud kipanya n MTU anaejiheshim mno...kwaio sidhan Kama alikua na maana hio uliyowaza mtoa maada
View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Wamezidi kuiga iga. Hata M4C waliiga.Hakuna shida hapo. Kama moyo wako umejaa matusi ndio utaweka kifupisho cha matusi mwenyewe.
Ina maana gani?Kabla sijaingia jf time hii kuna mtu kanionyesha hiyo katuni na tafsiri yake, hats kama Masoud hakuwa na maana hiyo hii kitu haijatulia.
Tunaeleweshana tu mkuu jamaa anataka wote tuwe na mtizamo mmojaDah! we kweli ni Jipu!
Sina mtoto wa Primary school,Una watoto hapo nyumbani wa darasa la tano wape wafupishe hyo katuni. Ninachotaka ujue ni kwamba hiyo katuni haijakaa vizuri kama ww unavyoenda direct kusema UKM
Sidhani kama mleta mada anataaluma yoyote ya lugha. Kama angekuwa ana taaluma asingekuja na upuuzi wake huu.Anafanya kazi yake inavotakiwa, it maybe be provocative ila hakuna haja ya kuanza kumfungia
Tuweni wakeli kabisa toka mioyoni mwetu, tusi liko wapi hapo? Tusiongozwe na hisia mbaya na za kichochezi kwa maslahi ya kujipendekeza tu. Yeye kauliza swali, na hata kama asingeuliza bado kusingekua na tusi, tuacheni kuchonganisha watu. kama huna cha kuandika kaa kimyaView attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Inategemea na akili ya msomaji inawaza nini muda huo....kipanya amezinguaa...
Jinsi swali alivyoweka ndo tatizo... Angeuliza tu "JINA LA MAANDAMANO YA UVCCM" na sio kifupi.
Afu wanaiga bila hata kushughulisha ubongo waooWamezidi kuiga iga. Hata M4C waliiga.
Yeye mbona aewalisha maneno UVCCM?Ni wapi UVCCM walisema maandamano yao yataitwa kwa neno hilo?wale wengine wanaongea kwa vinywa vyao kwamba neno ni UKUTA.Kufanyaje mbona hatukuelewi mleta uzi ?! Au unamlisha maneno
Nafikiri hili jibu linamtosha huyo mshambengaAcheni kukopi kila kitu cha CHADEMA nyie, kwa ni lazima kuchukua maneno yote mawili ya mwanzo, kwani haiwezi kuwa UKM?