Masoud Kipanya is wrong about SUA

Hivi Mnajua SUA inaoffer degree nyingi sana? Hebu anagalieni hapa Chini:
<LI minmax_bound="true">B.Sc. (Agriculture General) - Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Horticulture) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Animal Science) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Range Management) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Agronomy) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Agricultural Economics and Agribusiness) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Agricultural Education and Extension) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Food Science and Technology) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Home Economics and Human Nutrition) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Agricultural Engineering) – Duration 4 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Forestry) - Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Wildlife Management) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">Bachelor of Tourism Management – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Environmental Sciences and Management)- Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Education) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Informatics) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) – Duration 5 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Aquaculture) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.Sc. (Biotechnology and Laboratory Sciences) – Duration 3 years <LI minmax_bound="true">B.A. (Rural Development) – Duration 3 years
Hayo ndiyo mambo ya SUA, Wanaosema tulisoma mizizi washindwe na walegee. Ukitangaza kazi ya IT, ukaita mtu wa SUA na UDSM, wa UDSM ajishike....vinginevyo kazi itachukuliwa kamaaaaa unanawa vile. Nawapongeza sana wanazuoni na viongozi wa SUA....kip it up my brothers

Naishia kimtindo
 
1. Sasa kama SUA wanatoa products za kufanya benki..je IFM, TIA, CBE, UD, MU wanaograduate- wafanye kazi wapi?

2. Hivi products za SUA wakifanyia benki ndo Tz tutaona mapinduzi ya kilimo?

Are our national education priorities right?
 
mis-allocation of our beloved professionals....yani dr. wa mifugo na kilimo anauza chenji kwenye viji-bank vyetu vya ki-tz??...sio fair kabisaaaaaaaa...sasa watoto wa form 4 na 6 wafanye nini???

SUA boy kuwa makini kijana ...hukwenda kusomea kuwa mgawa pesa wa bank au hata PRIDE.....jitambuwe
 
ndio maana nchi inaendelea kuwa masikini siku hadi siku; sababu kubwa ni system mbovu iliyooza. Aliyeleta hii mada kama kasoma hiyo Agrieconomics nadhani anajua ni jinsi gani taifa linaweza kupata hasara na low income kutokana na mislocation of resources kama Labour; which is a serious disease in our system. Na hii yote ni kutokana na kujuana; ukiritimba; and selfishness. Na kuhusu ile katuni bora ungeuliza kwanza alimaanisha nini kama hukuelewa maana nakumbuka jamaa alionyesha graduate wa SUA kuwa Bank Teller which definetely irrelative. Na kuna watu wengi sana wasomi;wataalam wanafanya kazi zingine sababu tu ajira zimepewa wrong people kwa kujuanajuana.
 
Wewe umesoma wapi? Benki yoyote haiwezi kuajiri mtu wa SUA IT. UNAELEWA MAANA YA IT?
 
Sijaona hoja ya msingi ya masoud kipanya. KWANZA YEYE KASOMA CHUO GANI CHA HUKU DUNIANI? aMEKUWA AKITANGAZA RADDIO BILA HATA KUPIIA CHUO WAKATI ILE NI KOZI TENA YA MIAKA MITATU CHUO NA NDIO MAANA AMEKUWA NA WASIWASI WAKATI SERIKALI ILIPOSEMA MWANAHABARI LAZIMA AWE NA DEGREE.

Pili, kuna wanaotoka UDSM na kwenda kufundisha au kusoma Masters SUA. nAO WANAENDA KUFUNDISHA KILIMO AU KUSOMA KILIMO?

cHA MSINGI KATIKA KAZI YOYOTE NI PERFOMANCE AGAINST SET TARGETS. Kwa taarifa ya masoud wapo waliosoma SUA na wanafundisha UDSM, IFM, CBE, MZUMBE NA OUT. Nao wanafundisha kilimo huko?

MASOUD ANA MAWAZO MGANDO NDIO MAANA AKAWA NA MASIKIO KAMA POPO
 
Hata leo kwenye Gazeti la The Citizen ukurasa wa 6 African Decevelopment Bank (AfDB) wanatangaza kazi ya Agriculture Expert! Msamehe Masuud Kipanya bure hajui alisemalo.
 
we baba huelewi mambo tunasema nchi kama tz hatujafika kuchanganya fani thats why tunafail katika system zetu!! unafanya kazi kwa uzoefu si kwa taaluma,bank zetu zinafanya nini kwa jamii? kutoa madawati mashuleni? ia that economics uliosomea SUA?socialeconomic strategies ktk bank zetu n i zero!! thats why hata THB ikafa, bank ukiajiriwa ni kukata fee na kuhesabu hela za walalahoi tunzopeleka pale na kutoa mikopo kwa kina nanihii wachache kwani uwongo? kama umesomea mimea nenda kawe bwana shamba, km SUA kitengo cha panya nenda vijijini panya wanawasumbua watu sana!! alaah, mnakaa bank huku wachina wanatuletea dawa za kuua panya!! rudini rural! na others pia, sio sua pekee!


Kaka hilo unaloliongea wewe ni tatizo la ki-mfumo na si utaalamu wa mtu aliyeelimika. Mbona unashindwa kunielewa kaka????????? Kwa dunia ya sasa hivi lazima mwanafunzi afundishwe kuwa flexible na la zaidi ni kuwa multidiscipline.... Naomba uelewe kwamba SUA inatoka multidiscipline graduates, ndiyo maana graduates wengi wa SUA wako nchi za SADC na kusini mwa Afrika kama Namibia, Botswana, Swaziland, SA, Lesotho, Angola, Zimbabwe na kwingineko.

ACHANA NA HIYO MITAZAMO GEU NDUGU YANGU
 
1. Sasa kama SUA wanatoa products za kufanya benki..je IFM, TIA, CBE, UD, MU wanaograduate- wafanye kazi wapi?

2. Hivi products za SUA wakifanyia benki ndo Tz tutaona mapinduzi ya kilimo?

Are our national education priorities right?


labda nikujibu kwa swali? je si kwamba wanaitwaga interview na kupambanishwa na SUA products then wanakuwa hoi? Unajua ni jinsi gani graduates wa vyuo kama CBE, IFM na TIA wanavyokuwaga wababaishaji na hawasomi wanategemea kununua mitihani? Fanya research kwanza ujue ubora wa products za vyuo vikuu kabla ya kuandika matope kama uliyoandika?
 
Katuni ni humour, kila mtu anaweza kutafsiri anavyoiona lakini nafikiri
Masoud amekusudia kuelezea kuwa ajira ni ngumu sana kwa maisha ya
sasa, muhimu ni kuwa na elimu haijalishi una degree gani kama umeomba
kazi na umeipata kwa nini uiache, ukisibiri kazi uliyosomea utajikuta
unamaliza miaka bila ya kuwa na kazi.

Kuna watu wengine wana University Degree lakini wanafanya kazi ya
Receptionists katika Makampuni kadhaa au Mahoteli lakini bora kazi kuliko
kuwa huna kazi. Na mafunzo ya kazi yanapatikana sehemu ya kazi.
 
Msimuhukumu masoud! hivi angalieni hata hawa viongozi wetu (MAWAZIRI) wangapi wamepewa wizara kwa taaluma zao walizo somea!!!! alichokisema masudi ni sawa kabisa watu wengi wanafanya kazi ambazo hawana taaluma nazo haya ni mambo ya kiujanjaujanja tuuuuuuuuu ilimradi siku zinakwenda, hata humu JF wangapi wameajiriwa na wanafanya kazi ambazo hawajazisomea. sio SUA pekee hata UD,MZUMBE,IFM ARDHI CBE nk wapo wamehitimu vizuri tu hawajapata kazi so wafanyaje na mtu huwezi kuishi bila kazi hivyo unajikuta unafanya kazi isio na kiwangi chacko ten mshahara mdogo but unaifanya kwasababu inakuweka mjini ili usiumbuke na jioni ukitoka unakwenda bar kujidai ndio asilimia 80% ya wabongo wanavyoishi hapa mjini
 
wote hapo juu hamukumwelewa masood alimaanisha nini. Mnataka kusema graduate kukaa counter pale ni sawa. kuajiliwa benki haina tatizo, tatizo ni graduate kuwa benk teller, mtoa pesa dirishani, kazi ile ambayo qualification requirement huhitaji form six leaver.hakumaanisha kuwadhalilisha, bali kusema ukweli, kwani nimarafiki kibao ambao wamemaliza sua, lakini kazi wanazofanya zinasikitisha. SO ni ukweli kuwa, ile katuni ilikuwa sahihi, na sio kwamba alikurupuka, naamini ilitokana na mazungumzo au kumfahamu MSUA ambaye ni bank teller, na ndo kazi aliyoajiriwa nayo, labda kwa fikra za bank manager wamtumie vinginevyo.
 
......... hata humu JF wangapi wameajiriwa na wanafanya kazi ambazo hawajazisomea.

mi mwenyewe nimesomea sheria lakini nafanya kazi kama keshia, teh teh ili mradi mkono unakwenda kinywani na watoto wanapishana kwenda toileti
 
NAOMBA MASOUD KIPANYA ATUELEZE NI KWA JINSI GANI WATAALAMU WENGI WA MANUNUZI (PROCIREMENT SPECIALISTS) NI ENGINEERS TENA KWENYE TAASISI ZA SERIKALI. Aende PPRA akapate DATA.

Pia aende utumishi pale kwa mama Ghasia aone kuna Management consultants ambao ni water engineers?
 
wote hapo juu hamukumwelewa masood alimaanisha nini. Mnataka kusema graduate kukaa counter pale ni sawa. kuajiliwa benki haina tatizo, tatizo ni graduate kuwa benk teller, mtoa pesa dirishani, kazi ile ambayo qualification requirement huhitaji form six leaver.hakumaanisha kuwadhalilisha, bali kusema ukweli, kwani nimarafiki kibao ambao wamemaliza sua, lakini kazi wanazofanya zinasikitisha. SO ni ukweli kuwa, ile katuni ilikuwa sahihi, na sio kwamba alikurupuka, naamini ilitokana na mazungumzo au kumfahamu MSUA ambaye ni bank teller, na ndo kazi aliyoajiriwa nayo, labda kwa fikra za bank manager wamtumie vinginevyo.


inawezekana mkuu wa kazi? mbona wapo cashiers kwenye banks ambao ni graduated wa Mzumbe? na nina mfano halisi wa mmoja ana masters degree na yuko azania bancorp? Fanya utafiti. sasa hivi hawaangalii kufanya kazi gani bali unalipwa shs ngapi?
 
inawezekana mkuu wa kazi? mbona wapo cashiers kwenye banks ambao ni graduated wa Mzumbe? na nina mfano halisi wa mmoja ana masters degree na yuko azania bancorp? Fanya utafiti. sasa hivi hawaangalii kufanya kazi gani bali unalipwa shs ngapi?

ndo maana mwanzo nilisema bongo bana NJAA kali, utakuta mtaalam wa kilimo analipwa $300 kwa mwezi wakati bankteller analipwa say $600, kwanini asibadilishe career hapo?
asilimia kubwa ya wataalam muhimu kama madaktari, walimu, kilimo etc wanalipwa kiduchu na serikali.
 
i think the guy is very critical and he want to know! I also do! But according to the current research there is no difference in perfomance between business related course and non business courses graduates as they both are subjected to individual institution training! am still working i will let u now! Big masoud for being critical i me and myself like your cortoon very much!
 
Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a statement of the sort.

Binafsi siwezi kumlaumu Kipanya kwa kujaribu kuhoji hii hali ambayo kimantiki anaona haijatulia.

Ni kweli kwa sasa kuna wataalamu wengi tu wanafanya kazi ambazo haziendani kabisa na taaluma zao. Kwa uchache nafahamu ma-engineer wengi tu amabo wanafanya kazi za kihasibu, na pia madaktari waliomaliza hapo muhimbili wengine wamekimbilia kwenye kilimo na mifano mingine ya kufanana na hiyo.

Huna haja ya kupata taabu kujaribu kuonesha kwamba waliosoma SUA ati wanaqualification kama bankers/wachumi nk. Ukweli ni kwamba katika hili soko huria makampuni binafsi (mapepari) wanaangalia faida. Mara nyingi hawaangalii profession, bali wanaangalia nini unaweza kuifanyia kampuni yao efficiently and profitably full stop. To me this makes alot of business sense!

Lakini kama anavyojaribu kuhoji Kipanya, hili ni tatizo hasa ukiliangalia katika ujumla wake (ametumia SUA kufikisha ujumbe tu na sidhani kama alikusudia kusema ni tatizo la SUA pekee). Ni lazima tujiulize ni kwa nini vijana wanabadilisha taaluma? Kwa nini namba ya vijana walosoma masomo ya sayansi na kujiunga masomo ya biashara chuo kikuu inaongezeka? Nini mustakabali kwa taifa, endapo tutakosa wanasayansi, madaktari, ma-engineer nk?
 
Elimu ni kitu cha ajabu sana. Pindi unapoelimika zaidi ndivyo unavyokuwa risk
Conscious and the vice versa is true!. Kwa hivyo sishangai nionapo kipanya akifanya mambo bila kuwa na tahadhari!!! Mtoto asiyejua kwamba nyoka ni hatari anaweza kwenda kumshika mkia na ikiwa nyoka mwenyewe alishakufa basi atatoka salama LAKINi mototo huyo atakuwa kukosa nafasi ya kujifunza japo kwa gharama.

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom