Nashangaa na maneno yao mengi sijawaona wakijibu swali la ni nini hasa maslahi yao hapa Tanzania.....Kwa kusoma hoja zao unajifunza mambo mawili
1.Ni watu wasiofanya utafiti na ndo maana jana kuna mmoja wao alitolea mfano wa wakristo wanavyoteswa huko Sudan na waislamu hadi kufikia nchi kugawanywa,hawajui hasa wanataka nini,kiwafaidie nini na kutoka kwa nani?Muislamu anasema wao ndo majority Tanzania,heloooo!
Sasa watu hao wenye fikra hizo inakuwa ngumu sana hata kuwa clear wanataka nini?na ndo maana wanatumika tu,kiongozi fulani akiwaambia hivi wao bila hata kufikiria mara mbili hao washaenda kuzungumza in public.....
2.Ni watu wa kuiga sana,kwakuwa nchi fulani waislamu ni nusu kwa nusu basi na Tanzania iwe hivyo???Hawaangalii misingi ya utofauti wa Tanzania na hizo nchi nyingine,hawafanyi analysis,wanabaki kuota tu na kuzungumza,siku waislamu watakapo kuwa realistic na wa kweli,watasogea mbele sana.Itafuteni elimu ya ulimwengu pia msibaki kuzungumzia mapungufu ya babu zenu,kama kielimu hampo sawa na wakristo,nendeni shule watoto wenu wawe na huo usawa mnaoutaka,lakini kwa mwendo huu mna-corrupt hata mind za watoto wenu,wanafikiri kama babu na baba zao........kila siku mnazidi kujenga chuki na mgawanyiko kwa jamii,na ndivyo ilivyo mpaka wengine wanajilipua,inaanza hivi hivi,mankuwa watu wa kulipa visasi/kulaumu wenzenu while wenzenu wanasonga mbele.
Nenda kajifunze kiswahili vizuri ndo utajua maana ya neneo MASLAHI.
Waislam kimaisha hapa nchini sio malofa sana kama unavyojaribu kuonesha.Waislam wengi ni wajasirimali wanajituma katika biashara.Tatizo juhudi zao zinakwamishwa na watendaji wengi wa serikasli 90% wakristu katika kuwaomba rushwa na hivyo kuathri juhudi zao.
Maslahi yanayozungumzwa ni usawa katika utoaji haki nchini baina ya wananchi wote bila kujali dini.Kwa sababu kuna kujali dini ndio maana wakristu wamejazana sana katika nafasi nyingi ambazo nyingine hupeana makanisani.Unashangaa nafasi za kazi zimeshajazwa unajiuliza hivi kulikoni?
Lakini yote haya katiba mpya itayatolea majibu hadi kieleweke