Maslahi ya waislam ni yapi hapa tanzania?

Nashangaa na maneno yao mengi sijawaona wakijibu swali la ni nini hasa maslahi yao hapa Tanzania.....Kwa kusoma hoja zao unajifunza mambo mawili

1.Ni watu wasiofanya utafiti na ndo maana jana kuna mmoja wao alitolea mfano wa wakristo wanavyoteswa huko Sudan na waislamu hadi kufikia nchi kugawanywa,hawajui hasa wanataka nini,kiwafaidie nini na kutoka kwa nani?Muislamu anasema wao ndo majority Tanzania,heloooo!
Sasa watu hao wenye fikra hizo inakuwa ngumu sana hata kuwa clear wanataka nini?na ndo maana wanatumika tu,kiongozi fulani akiwaambia hivi wao bila hata kufikiria mara mbili hao washaenda kuzungumza in public.....

2.Ni watu wa kuiga sana,kwakuwa nchi fulani waislamu ni nusu kwa nusu basi na Tanzania iwe hivyo???Hawaangalii misingi ya utofauti wa Tanzania na hizo nchi nyingine,hawafanyi analysis,wanabaki kuota tu na kuzungumza,siku waislamu watakapo kuwa realistic na wa kweli,watasogea mbele sana.Itafuteni elimu ya ulimwengu pia msibaki kuzungumzia mapungufu ya babu zenu,kama kielimu hampo sawa na wakristo,nendeni shule watoto wenu wawe na huo usawa mnaoutaka,lakini kwa mwendo huu mna-corrupt hata mind za watoto wenu,wanafikiri kama babu na baba zao........kila siku mnazidi kujenga chuki na mgawanyiko kwa jamii,na ndivyo ilivyo mpaka wengine wanajilipua,inaanza hivi hivi,mankuwa watu wa kulipa visasi/kulaumu wenzenu while wenzenu wanasonga mbele.

Nenda kajifunze kiswahili vizuri ndo utajua maana ya neneo MASLAHI.

Waislam kimaisha hapa nchini sio malofa sana kama unavyojaribu kuonesha.Waislam wengi ni wajasirimali wanajituma katika biashara.Tatizo juhudi zao zinakwamishwa na watendaji wengi wa serikasli 90% wakristu katika kuwaomba rushwa na hivyo kuathri juhudi zao.
Maslahi yanayozungumzwa ni usawa katika utoaji haki nchini baina ya wananchi wote bila kujali dini.Kwa sababu kuna kujali dini ndio maana wakristu wamejazana sana katika nafasi nyingi ambazo nyingine hupeana makanisani.Unashangaa nafasi za kazi zimeshajazwa unajiuliza hivi kulikoni?
Lakini yote haya katiba mpya itayatolea majibu hadi kieleweke
 
tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi

Bwana KALAMAZOO, hata kama huwapendi wakristo lakini ujitahidi kufunua macho na akili yako ili uwe unaona yanayoonekana na unafikiri katika uhalisia. Chuo Kikuu kikubwa kabisa cha serikali kwa hapa Tanzania ni UDSM, hakuna chuo ambacho kimewahi kukumbwa na migomo mingi katika historia yake hapa nchini petu kama UDSM. Kama migomo inachagua pale tu uongozi wa chuo unapokuwa umeshikwa na Muislam, toa ushahidi kama hiyo migomo ilikuwa ikitokea wakati uongozi ulipokuwa wa Muislam tu. Hali ilikuwa ni hivyo hivyo kwa vyuo vya Muhimbili, Chuo cha Ardhi - mpaka kwenye mashule ya serikali. Mwalimu Nyerere akiwa Mkuu wa UDSM, miaka ya 60 mpaka alienda chuo kikuu cha Dar es Salaam kuwacharaza fimbo wanachuo, kwa kile alichokiita utomvu wa nidhamu ulipindukia kutokana na migomo ya mara kwa mara.

Tunatakiwa kutumia akili zetu kutafakari matatizo yanayotuzunguka, siyo tunakuwa wavivu wa kufikiri halafu tunapokuwa hatuna majibu kwa matatizo yetu tunaanza kufikiria kuwa tatizo hili ni kwa sababu kiongozi siyo wa dini yangu au vyama vya upinzani, n.k., huo ni uvivu wa kufikiri na kutafakari ili kupata majibu sahihi ya matatizo, tukiendelea hivyo hatutafika popote. Kama wanachuo wanalalamikia posho ya mazoezi, sasa hapo suala la dini au vyama vya siasa linatoka wapi? Au wewe unaona kuna uwezekano wa mtu kwenda kufanya mazoezi ya vitendo bila pesa? Au wanachuo wanadai kuwa na mafunzo kwa vitendo, wakigoma unasema ni kwa sababu kiongozi wa chuo ni muislam, hivi ina maana huoni umuhimu wa masomo kwa vitendo? Ama kweli umaskini wa fikra ni mbaya kuliko umaskini mwingine wowote.
 
Nenda kajifunze kiswahili vizuri ndo utajua maana ya neneo MASLAHI.

Waislam kimaisha hapa nchini sio malofa sana kama unavyojaribu kuonesha.Waislam wengi ni wajasirimali wanajituma katika biashara.Tatizo juhudi zao zinakwamishwa na watendaji wengi wa serikasli 90% wakristu katika kuwaomba rushwa na hivyo kuathri juhudi zao.
Maslahi yanayozungumzwa ni usawa katika utoaji haki nchini baina ya wananchi wote bila kujali dini.Kwa sababu kuna kujali dini ndio maana wakristu wamejazana sana katika nafasi nyingi ambazo nyingine hupeana makanisani.Unashangaa nafasi za kazi zimeshajazwa unajiuliza hivi kulikoni?
Lakini yote haya katiba mpya itayatolea majibu hadi kieleweke

Wewe pamoja na hao wengine wanaojiita waisilamu wanaotetea haki za waisilamu nadhani haujui unachokiongea. Unafikiri watu kama akina Dau wa NSSF, wanafikiria unavyofikira wewe? Je Tanzania Biashara kubwa zinafanywa na watu gani? Bila hata ubishi ni waisilamu haohao unaosema wanakwamishwa ndio wanaongoza kwa biashara, angalia Azam, Azania flour, angalia transporters na list ni ndefu tu. Je umeshawahi kuwasikia wakisema wanadhulumiwa? Je mikopo wanayotumia, na wataje wao wakubwa ni akina nani? Je ni waisilamu tu? Serekalini hata akiwa Mkristo au Muislamu sheria ipo, hakuna kipengele cha sheria kinachosema mtu apewe au anyimwe haki ya kisheria kwa sababu ni muislam..kama hivyo si uende basi Azam akupe hela ya kuishi usifanye kazi?
Wewe na wengine kama wewe hamjui kuwa uchumi wa Tanzania unaendeshwa na sekta binafsi, na serekali ipo pale kusimamia tu, hivyo hata ukipewa upendelea kama hauko competitive huwezi kufanikiwa. Kwani kuna waislamu wangapi kwenye shule za mission? Je makanisa nayo yakisema hawapokei asiye mkristu kwenye taasisi zao itakuwaje?
Nenda kwenye chuo cha waislmau Morogoro uone madudu na ndio mana hao mnaowaona wanapendelewa ndio wanawasomesha ndugu zenu huko St. Augustine, Tumaini na sehemu nyingine.
FIKIRIA VIZURI TATIZO LIKO WAPI< ACHA KUTAFUTA SABABU!
 
rakini shura ya maimamu inaweza kuongozwa na hata mtu alieishia darasa la nne

hahaha!!!

ivi kile kijamaa kinaitwa shehe sharifu kina ilimu gani??

manake uwa kinajaza watu wa rika na rika kusikiliza crap zake.
 
CHEK NA CHAMA CHAKO VIZURI ILA CHADEMA kUNA WAISLAM RUNDO,WENGINE WAMEULIWA ARUSHA
 
Nenda kajifunze kiswahili vizuri ndo utajua maana ya neneo MASLAHI.

Waislam kimaisha hapa nchini sio malofa sana kama unavyojaribu kuonesha.Waislam wengi ni wajasirimali wanajituma katika biashara.Tatizo juhudi zao zinakwamishwa na watendaji wengi wa serikasli 90% wakristu katika kuwaomba rushwa na hivyo kuathri juhudi zao.
Maslahi yanayozungumzwa ni usawa katika utoaji haki nchini baina ya wananchi wote bila kujali dini.Kwa sababu kuna kujali dini ndio maana wakristu wamejazana sana katika nafasi nyingi ambazo nyingine hupeana makanisani.Unashangaa nafasi za kazi zimeshajazwa unajiuliza hivi kulikoni?
Lakini yote haya katiba mpya itayatolea majibu hadi kieleweke

Naunga mkono kuwa mazingira yetu ya biashara ni mabaya sana, yamezingirwa na ubabaishaji na rushwa. Lakini sikubaliani kabisa na maelezo yako kuwa ni waislam tu ndiyo wanaokwamishwa na wakristu katika shughuli zao za biashara, ukweli ni kuwa sisi sote tunakwamishwa sana na watendaji wa namna hii, uwe muislam, uwe mkristo, huna dini, sisi sote tunaumizwa na hilo. Na hata katika ofisi hizo hakuna cha mfanyakazi mkristo au musilam ambaye hapokei rushwa kwa sababu ya dini yake, kama anafanya hivyo ni kutokana na uadilifu wake binafsi. Wapo wakristo wanaopokea rushwa, wapo waislam wanaopokea rushwa, wapo wasio na dini ambao wanapokea rushwa, halikadhalika wale wasiopokea rushwa nao wamegawanyika hivyo hivyo. Iwe kwenye ujambazi ni hivyo hivyo - kuna waislam wengi tu ambao ni majambazi, na pia wapo wakristo wengi pia majambazi. Kama waislam wangekuwa wasafi kama unavyotaka tuamini basi hata miradi ya taasisi za kiislam ingekuwa inastawi lakini mingi inakufa kutokana na uendeshaji mbaya, wizi na ubinafsi. Tunachomhitaji JK ni kwamba aondoe watendaji wabaya katika serikali yake, wazembe, wevi, mafisadi na wasio na uwezo - bila ya kuangalia makabila yao au dini zao. Na ufahamu kuwa Watanzania wengi tulimchagua JK 2005 kuleta mabadiliko kutoka kwenye mfumo ambao tulikuwa tumeuchoka. Naye akaja ikaonekana anafurahia yaliyopo - Jk angeona Watanzania jinsi tunavyomwuunga mkono kama angewapeleka akina Lowasa, Mramba, Rostam Aziz, Karamagi, n.k. gerezani, ndiyo angejua kuwa sisi hatupo kwaajili ya ukristo au uislam bali tupo kwaajili ya ustawi wa Taifa. Wakristo wengi hatuna shida kama Taifa hili likiongozwa na marais waislam hata kwa miaka 50 mfululizo alimradi awe ni Rais ambaye anasimama pamoja na wanyonge dhidi ya waovu. Hata kama Rais atatoka Parokia au usharika wangu, kama anashirikiana na wezi, mafisadi, na watu wazembe, asahau kuwa naweza kumwunga mkono katika maovu yake maana katika uovu wake ni mateso kwa watu wote.
 
Wakati Waislam wanajenga nchi wenzao wakristu wanajenga ukristu.Wazalendo kama akina Mzee Kawawa walikuwa bize wanajenga nchi hata msikitini walikuwa hawaendi,lakini wenzao akina Nyerere kila jumapili wako kanisani wakitoa michango ya hali na mali na wakati mwingine wakipeana kazi za serikali hukohuko kanisani.Waislam waliobahatika kuwemo serikalini kwa kuogopa hujuma wengine walificha majina yao halisi,ndio maana unaona majina kama Jakaya Mrisho Kikwet,Ukiwaona Ditopile Mzuzuri,Kigoma Malima,Moses Nnauye,Jenerali Ulimwengu nk.Yawezekana wengi wenu hamkujua kuwa jk ni Muislam nakama mungejua pengine hapo alipo asingefika lazima angehujumiwa tu.Wakati Waislam kama waumini wa Dini ya Kiislam hawana lolote la kumkumbuka Mzee Kawawa,wakristu kwa upande mwingine wana mengi ya kumkumbuka Nyerere hadi kufikia hatua ya kumtangaza mwenye heri.
Wakti ninasoma IFM harakati za kuwania uongozi wa wanafunzi zilikuwa zinapangiwa ktk kanisa la Pengo.Wakiambiwa kuwa msiwape uongozi Waislam maana mtakuwa mnajenga cv zao,wakiambiwa kuwa popote mlipo hakikisheni Waislam hamuwapi uongozi hata kama ni kwenye vikundi vya ngoma nyie pigeni ngoma wao wacheze..Hii ndio amani inayojivuniwa tz.Lakini enzi hizo za akina Mzee Kawawa sasa zimepita,hakuna tena Muislam anayeficha dini yake na kila mmoja atadai haki kama raia mwingine yeyote.Japokuwa bado hujuma zipo lakini zitakabiliwa vilivyo.

Mathalani tunamtafuta kiongozi ndani ya jukwaa hili, kwa mawazo yako unategemea unaweza kupewa mtu kama wewe? Mtu wa majungu hafai kuwa kiongozi. Ukitengeneza watu wengine kama 10 wa namna yako, ujue kuwa katika jamii yoyote ambayo watu wanatakiwa waongozwe na watu wenye mtazamo, watu wanaoongea kwa kuzingatia ukweli na siyo wapiga porojo, ujue utakuwa tayari umepunguza watu 11 kuweza kufikiriwa - mmoja ni wewe mwenyewe, na wengine 10 uliowatengeneza.
 
hahaha!!!

ivi kile kijamaa kinaitwa shehe sharifu kina ilimu gani??

manake uwa kinajaza watu wa rika na rika kusikiliza crap zake.

Stooping to the lowest low. Naona mmejaza peji kibao kuwakandia waislam. This is incredible. How do u expect any civility in conversation if you do not respect the other side? Since when Christians in Tanzania speaks of Muslim the way Jambo Forumers does?

Nimesoma comment kuhusu kwenda chuo, if I take my child Madras kusoma elimu akhera how does that make him uneducated? Mbona sisi wote tumekwenda chuo and still have ample formal education? Any Muslim father has the responsibility to make sure that his children learn the religion, na siku ya qiyama he will be asked by Allah on that. Now who are you to come here and insult that faith of others?

Hivi kama kuna kundi la Waislamu lenye majungu, kwa nini msilitaje instead of generalizing kashfa zenu kwa group zima? Why are ya'all have soo much venom, hate, and caricaturization of dini yetu ya haki? I doubt that is what Christianism is all about.

Mnasema waislam wanatumiwa. How about Thomas Laizer? Zakaria Kakobe? au hamjui mtandao wa maaskofu uliosukwa kabla ya uchaguzi kuwasaidia Chadema? Na kwa nini mmemtenga Askofu Moses Kulola?

Binadamu tuna mapungufu yetu regardless of one's religion. Afterall, we are one people living in one country. This thread is UnTanzanian, and this place (JF) is conversing about religion in a way that no other Tanzanian does. Just because we are online and anonymous--should not take away our responsibility that words matters and if we have any chance of maendeleo in our country. This rhetoric about dini ought to stop.

Have some civility. InshaAllah, Mola atatuongoza.
 
Tatizo sio waislamu, tatizo ni taasisi za kiislamu karibu zote zinaongozwa na watu wenye elimu ndogo sana na upeo finyu, na ndio maana hata mtu anapoushambulia ukristo lazima atalishambulia kanisa katoriki, kwa sababu kanisa katoliki limesheni wasomi na hauwezi kupata daraja la upadre kama hauna degree.
kwahiyo zimekuwepo chuki zisizo na msingi bila kujuwa kwamba baraza la maaskofu linapokutana ni sawa na jopo la maprofesa wa pale university, hapo ndipo tofauti kubwa inapoanzia, rakini shura ya maimamu inaweza kuongozwa na hata mtu alieishia darasa la nne, sifa kubwa ya kuwa kiongozi wa shura ya maimamu ni lazima uwe na cv ya kushiriki mapinduzi ya kung'oa viongozi mbalimbali katika misikiti tofauti.
Kimsingi hapa naomba nieleweke kwamba kuna wasomi waliobobea ambao ni waislamu lakini hawataki kujihusisha moja kwa moja na uongozi wa taasisi hizi za kiislamu, ndio maana wahindi ambao ni waislamu wa madhehebu ya ismailia wao mambo yao super na ukiwaeleza habari za mahakama ya kadhi au oic wanakuona mwehu na ni waislamu, ikumbukwe hakuna mwislamu zaidi kuliko mwislamu mwingine, hawa Ismailia ndio wanamiliki Aga Khan hospital na mashule mbalimbali ya kimataifa na wana mabenki ya kumwaga tu hapa Tanzania. mpaka hapo nadhani utakuwa umepata uelewa mzuri. Hawa wanajiita shura ya maimamu kinachowasumbuwa wao ni njaa tu hakuna kitu kingine, hawa hata tende huwa wanataka wapewe za msaada kutoka saudia, sasa mtu wa namna hiyo unategemea kichwani kwake kutasaria akili kweli?

Mkuu hapo umegonga Ikulu umemaliza kila kitu mengine umbeya .
 
Stooping to the lowest low. Naona mmejaza peji kibao kuwakandia waislam. This is incredible. How do u expect any civility in conversation if you do not respect the other side? Since when Christians in Tanzania speaks of Muslim the way Jambo Forumers does?

Nimesoma comment kuhusu kwenda chuo, if I take my child Madras kusoma elimu akhera how does that make him uneducated? Mbona sisi wote tumekwenda chuo and still have ample formal education? Any Muslim father has the responsibility to make sure that his children learn the religion, na siku ya qiyama he will be asked by Allah on that. Now who are you to come here and insult that faith of others?

Hivi kama kuna kundi la Waislamu lenye majungu, kwa nini msilitaje instead of generalizing kashfa zenu kwa group zima? Why are ya'all have soo much venom, hate, and caricaturization of dini yetu ya haki? I doubt that is what Christianism is all about.

Mnasema waislam wanatumiwa. How about Thomas Laizer? Zakaria Kakobe? au hamjui mtandao wa maaskofu uliosukwa kabla ya uchaguzi kuwasaidia Chadema? Na kwa nini mmemtenga Askofu Moses Kulola?

Binadamu tuna mapungufu yetu regardless of one's religion. Afterall, we are one people living in one country. This thread is UnTanzanian, and this place (JF) is conversing about religion in a way that no other Tanzanian does. Just because we are online and anonymous--should not take away our responsibility that words matters and if we have any chance of maendeleo in our country. This rhetoric about dini ought to stop.

Have some civility. InshaAllah, Mola atatuongoza.

Umenena Vizuri sana Bwana Selemani. Mimi sio Muislami, lakini familia yangu zaidi ya 60% ni waisilamu, tunaishi vizuri sana, na katika maisha yangu sijawahi kusikia kwenye familia tukizozana mambo ya imani. Ikifika Eid wote tunakusanyika, na vivyo hivyo kwa sherehe za wakristo yani ni raha sana kuishi kwa kuheshimiana, na kuvumiliana.
Kutokana hiyo background nina ushahidi mkubwa wa ndugu zangu waislamu ambao wamesoma na maisha yao yako kwenye mstari, bila kupata any support kutoka kwa Shehe yeyote yule, na wala hawajawahi kusema wanakandamizwa na wakkristo. Kwa mimi hawa waislamu wanaoshambuliwa kwenye huu Ukurasa sio kama hawa ndugu zangu na wengine wengi, marafiki nakadhalika au kama wewe.
Kibaya ambacho mimi nakiona ni kwa waislamu, wenye nia nzuri na wanaofuata mafundisho ya uislamu, kushindwa kujitokeza na kuwakaripia hawa wanaotaka kupotosha. nimeshaongea sana hilo na ndugu zangu na marafiki zangu, laiti angetokea muumini mmoja akasema yanayosemwa na hawa jamaa sio ya kweli na ni upotoshaji, au akatoa ushahidi wenye nguvu katika haya masuala yanayopigiwa kelele na akina PONDA, basi ingekuwa rahisi sana watu kutenganisha hayo makundi. Lakini kwa kukaa kimya inaweza ikaleta picha kuwa waislamu wote wanakubaliana nao, hivyo hata wachangiaji wanalazimika kuongelea uislamu kwa ujumla.
ILA NI UKWELI , na naamini pia kwa wachangiaji wote, KUWA HAWA WANAOJIITA MASHEHE NA MATAMKO YAO HAYAWAKILISHI WAISLAMU WOTE, lakini hii tabia ikiachwa kuendelea italeta matatizo makuwa kwenye jamii yetu ijayo mana watoto wanaiga, na wataamini wanachokisikia.
Kuwa wa kwanza kukemea upotoshaji, kutoka ndani, na wa nje wataelewa tofauti!!
 
Kwa vile hajawa specific, nadhani wanataka yafuatayo miongoni mwa mengi:

Sala tano: wapewe masaa matano kila siku kwa ajili ya kusali msikitini.
Siku ya mapumziko: Kwa vile wakristo hupumzika Jumamosi (Wasabato) na Jumapili (wakristo wengine) nao wanadai Ijumaa iwe siku ya mapumziko. Mnaoweza kukisia haki zao ambazo hawazisemi endeleeni..........
 
kwakweli thread kama hizi zinaboa,,,nyie ndio mnaochochea mijadala ya udini humu, tafadhali tafuta mada za kujenga, kwani mada za dini siku zote hazijengi zinabomoa
 
Stooping to the lowest low. Naona mmejaza peji kibao kuwakandia waislam. This is incredible. How do u expect any civility in conversation if you do not respect the other side? Since when Christians in Tanzania speaks of Muslim the way Jambo Forumers does?

Nimesoma comment kuhusu kwenda chuo, if I take my child Madras kusoma elimu akhera how does that make him uneducated? Mbona sisi wote tumekwenda chuo and still have ample formal education? Any Muslim father has the responsibility to make sure that his children learn the religion, na siku ya qiyama he will be asked by Allah on that. Now who are you to come here and insult that faith of others?

Hivi kama kuna kundi la Waislamu lenye majungu, kwa nini msilitaje instead of generalizing kashfa zenu kwa group zima? Why are ya'all have soo much venom, hate, and caricaturization of dini yetu ya haki? I doubt that is what Christianism is all about.

Mnasema waislam wanatumiwa. How about Thomas Laizer? Zakaria Kakobe? au hamjui mtandao wa maaskofu uliosukwa kabla ya uchaguzi kuwasaidia Chadema? Na kwa nini mmemtenga Askofu Moses Kulola?

Binadamu tuna mapungufu yetu regardless of one's religion. Afterall, we are one people living in one country. This thread is UnTanzanian, and this place (JF) is conversing about religion in a way that no other Tanzanian does. Just because we are online and anonymous--should not take away our responsibility that words matters and if we have any chance of maendeleo in our country. This rhetoric about dini ought to stop.

Have some civility. InshaAllah, Mola atatuongoza.

Mimi nikiwa mmoja wa wakristo, siungi mkono kabisa generalization. Wengine tumepata bahati ya kukulia kwenye familia za mchanganyiko wa dini, tunawafahamu ndugu zetu wa damu waislam, ambao kila siku au tunaongea au kukutana nao, tunajadiliana nao kuhusu matatizo ya Taifa letu kwa pamoja, tunapendana na kuheshimiana sana. I feel very bad when people are talking against muslems as a community because the first people I am thinking about when I hear that are my blood relatives and my close friends. Na kwa kweli huwa sijisikii vizuri. Bado nasisitiza tendo au kauli ya mtu au kikundi cha watu si lazima iwakilishe jamii nzima. Kusoma madrasa kama ni hitaji la imani yake muislam, linatuathiri nini sisi wengine? Tunachotakiwa kusisitiza ni umuhimu wa watanzania wote ikiwa pamoja na waislam kuwa pamoja na mahitaji ya dini ni lazima kuweka mkazo kwenye elimu Dunia maana ina mchango mkubwa wa maisha yetu ya sasa kabla ya kifo na hata ya baadaye baada ya kifo.

Ubaya wa mtu au uzuri wa mtu katika Taifa hili wala hautegemei dini yake, bali mtu binafsi. Zaidi tujadili ni kwa namna gani tunaweza kuwa wamoja zaidi. Tofauti ya dini zetu, makabila yetu tuyaone kama ni maua yanayopamba jamii zetu kuliko kuona kuwa ni kasoro. Tofauti zetu hizi za dini ndiyo zinazowafanya waarabu, wazungu, wahindi, wote waone kuwa Tanzania ni mahali pazuri kutembelea maana kila anayekuja anategemea kuona vitu vinavyohusiana na imani yake. Hii tofauti tukiweza kuupata uongozi mzuri, inaweza kutusaidia sana kuinua na kuimarisha sekta ya utalii na uletaji mitaji mikubwa ya uwekezaji. Nchi ni yetu wote, na kila mmoja aone kuwa ni petu wote, tujadili namna ya kuiendeleza. Maadui zetu sote ni mafisadi, watu wazembe na wale wanaotaka kuleta fikra za mgawanyiko.
 
bwana Bams, Si wakristu wengi wenye mtazamo kama wako.Nimekwambia kuwa ni katika mafundisho ya baadhi ya wakristu kuwa wasiwape uongozi waislamu.Sasa hawa hata Muislam awe mchapakazi au muadilifu namna gani watamhujumu tu.Mbona mifano iko mingi tu.Akitokea mlokole anasifiwa kwa ulokole wake.Lakini muislam mwenye kujitambua na kufuata maadili ya dini yake atapewa majina mara siasa kali ,mujahidina nk alimradi kumkatisha tamaa.Mfano ni Kigoma Malima.
Jk ameathiriwa na mfumo,japo ni kweli wengi tulikuwa na matumaini makubwa kwake laikini mfumo ndo tataizo.unasema angewaweka ndani akina Lowasa na wengine,angewezaje kufanya hivyo? Hata wale aliowapeleka mahakamani kama Profesa Mahalu bado hawajahukumiwa,au ulitaka yeye afanye kazi ya mahakama? au awaweke detention? mimi ninasema angalau amejaribu kuwapeleka mahakamani vigogo jamabo amabalo hata Nyerere hakulifanya.Kill the devil but give its due.
 
Mimi nikiwa mmoja wa wakristo, siungi mkono kabisa generalization. Wengine tumepata bahati ya kukulia kwenye familia za mchanganyiko wa dini, tunawafahamu ndugu zetu wa damu waislam, ambao kila siku au tunaongea au kukutana nao, tunajadiliana nao kuhusu matatizo ya Taifa letu kwa pamoja, tunapendana na kuheshimiana sana. I feel very bad when people are talking against muslems as a community because the first people I am thinking about when I hear that are my blood relatives and my close friends. Na kwa kweli huwa sijisikii vizuri. Bado nasisitiza tendo au kauli ya mtu au kikundi cha watu si lazima iwakilishe jamii nzima. Kusoma madrasa kama ni hitaji la imani yake muislam, linatuathiri nini sisi wengine? Tunachotakiwa kusisitiza ni umuhimu wa watanzania wote ikiwa pamoja na waislam kuwa pamoja na mahitaji ya dini ni lazima kuweka mkazo kwenye elimu Dunia maana ina mchango mkubwa wa maisha yetu ya sasa kabla ya kifo na hata ya baadaye baada ya kifo.

Ubaya wa mtu au uzuri wa mtu katika Taifa hili wala hautegemei dini yake, bali mtu binafsi. Zaidi tujadili ni kwa namna gani tunaweza kuwa wamoja zaidi. Tofauti ya dini zetu, makabila yetu tuyaone kama ni maua yanayopamba jamii zetu kuliko kuona kuwa ni kasoro. Tofauti zetu hizi za dini ndiyo zinazowafanya waarabu, wazungu, wahindi, wote waone kuwa Tanzania ni mahali pazuri kutembelea maana kila anayekuja anategemea kuona vitu vinavyohusiana na imani yake. Hii tofauti tukiweza kuupata uongozi mzuri, inaweza kutusaidia sana kuinua na kuimarisha sekta ya utalii na uletaji mitaji mikubwa ya uwekezaji. Nchi ni yetu wote, na kila mmoja aone kuwa ni petu wote, tujadili namna ya kuiendeleza. Maadui zetu sote ni mafisadi, watu wazembe na wale wanaotaka kuleta fikra za mgawanyiko.

Well said,

Ikiwa unafikiri ni rahisi kutoa tamko kuwakataza waislamu inabidi ufikiri vile vile kuwakataza Maaskofu, Mapdre wanaotoa matamko yaliyosheheni ugomvi, bias and irrelevant!

Siyo wakasema waislamu noma wakisema wakristo wanasifiwa ..lol...

Besides, Madai ya waislamu yachunguzwe yasipuuzwe..kuna tatizo gani kuunda tume huru kuchunguza madai ya kuonewa kwa waislamu Tanzania since indepedence if we really believe in justce?

Huu upuuzi wa kusifia waG.. na kupuuza madai ya msingi kwa kejeli hauta solve problem yeyote..ila tutapambana hadi kieleweke..hata kama ni vizazi na vizazi...justice must prevail
 
Nenda kajifunze kiswahili vizuri ndo utajua maana ya neneo MASLAHI.

Waislam kimaisha hapa nchini sio malofa sana kama unavyojaribu kuonesha.Waislam wengi ni wajasirimali wanajituma katika biashara.Tatizo juhudi zao zinakwamishwa na watendaji wengi wa serikasli 90% wakristu katika kuwaomba rushwa na hivyo kuathri juhudi zao.
Maslahi yanayozungumzwa ni usawa katika utoaji haki nchini baina ya wananchi wote bila kujali dini.Kwa sababu kuna kujali dini ndio maana wakristu wamejazana sana katika nafasi nyingi ambazo nyingine hupeana makanisani.Unashangaa nafasi za kazi zimeshajazwa unajiuliza hivi kulikoni?
Lakini yote haya katiba mpya itayatolea majibu hadi kieleweke

Najua maana ya neno maslahi,na nina hakika hamjanyimwa haki zenu kutokana na dini yenu,bali kukosa vigezo muhimu ambavyo vingewapa hayo mnayohitaji.Tanzania kwa asilimia kubwa kuna usawa katika utoaji haki na kama haupo si kwa sababu mtu ni mwislamu bali kwa sababu nyingine kama rushwa nk.Katiba haiji kuwapa nafasi sawa makazini,acheni ndoto za ajabu,hakuna katiba itakayompa mtu asiye na vigezo wajibu fulani,sahau kabisaaaaaaaaa.Mimi sijajaribu kuonyesha kuwa waislamu ni malofa,hivyo ndo mnavyojifikiria na ndo maana mnakuwa hamko realistic na kile mnachokidai.
 
Waislamu wana ugonjwa wa inferiority complex, kutojiamini na kusingizia wengine!

wakumbuke Kikwete hatakuwepo madarakani daima

viwanda na makampuni mengi ni ya kigeni na wafanya kazi huko ni wasomi tu,

badala ya kuwaza elimu na kujikomboa wanawaza uchafu kila siku!

angalia shule zao na vyuo vyao kila siku wanafeli kule sijui tatizo ni wakristo

Let them waste time in these affairs ni muda wa kufurahia ushindi kwa watu walio serious na maisha ya ukweli ya dunia hii na sio ya kuigiza au wishful thinking

Believe me serious muslims they dont have time or even part in these kind of muslimu's matters

Unazungumza upupu, kudai haki siyo inferiority..au ulitaka walau tupigane (tusiongee kama sasa) ndio uone tuko serious and we mean it?

Tutaendelea kuongea kila siku hata kama ni kero kwa watu kama wewe, lakini siku jamii hii ikiwa fed up mtapata/tutapata hasara wote..

Ndipo mtasikiliza tunachodai...time will tell..
 
Back
Top Bottom