Maslahi ya waislam ni yapi hapa tanzania?

Wana JF naomba mnieleweshe kuhusu waislam wa tanzania kudai maslahi yao, Hivi wanamaanisha nini? Je ni umeme kwa waislam, maji, sewage system mijini ili waislam wasiishi na mavi kwenye makazi yao, je ni shule za kusomesha waislam peke yao, je ni kujengewa misikiti kila mtaa? je kutumia vipaza sauti kuita watu kwa ibada usiku bila kujali wagonjwa, watoto na wasiowaislam wanaoishi jirani na miskiti? Hivi mtu ukiwa mwislam unakuwa na mahitaji mengine gani ambayo binadamu wengine wasiowaislam hawaitaji? Huko nyuma tuliwahi kusema Binadamu wote ni sawa, je waislam ni binadamu zaidi ya binadamu wengine kiasi wawe na mahitaji yao tofauti?

Mambo ya CHUO hayo;;wewe mtu badala aanze darasa la kwanza anaanzia CHUO unategemea nini hapo,utaahira na ujinga umewajaa
 
Ningefurahi sana kama post zote za kujadili dini za watu zingefutwa.
Kuna watu huwa wanaabudu shetani wanaenda kuabudu Uchi, hawa tukiwajadili hapa tutakua Tunapoteza muda!!!!
Yaani kujadili dini ya mtu ni kupoteza muda. Akija mlokole hapa akija mlokole akaanza kumjadili Mkatoliki atatoa negatives Nyingi sana Lakini Atakua anapoteza muda wake tu.
Please Tuachaneni na hoja za kuijadili dini fulani.Mtu mwenye dini yake isiyo na mapugufu ajitokeze.
 
Dada kauli mbiu ya JF ni we dare to talk openly. ukiona plattform hii inakubore u just skip, nenda jukwaa la mapenzi.
 
Nadhani wanamaanisha kwamba hitaji lao kuu ni Tanzania kuwa nchi ya Kiislamu, na kufuata miiko yote ya kiislamu

hivi una akili wewe CPU?hiyo ni avatar gani unaweka hapa?imagine baba na mama yako mzazi ni member hapa JF wanaangilia madudu hayo,toa avatar hii mara moja ,JIHESHIMU
 
tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi

mbona hueleweki??
 
Ningefurahi sana kama post zote za kujadili dini za watu zingefutwa.
Kuna watu huwa wanaabudu shetani wanaenda kuabudu Uchi, hawa tukiwajadili hapa tutakua Tunapoteza muda!!!!
Yaani kujadili dini ya mtu ni kupoteza muda. Akija mlokole hapa akija mlokole akaanza kumjadili Mkatoliki atatoa negatives Nyingi sana Lakini Atakua anapoteza muda wake tu.
Please Tuachaneni na hoja za kuijadili dini fulani.Mtu mwenye dini yake isiyo na mapugufu ajitokeze.

SASA KAMA WEWE UNASALI UCHI INATUHUSU NINI SISI?SISI HATUSALI UCHI WALA HATUMWABUDU SHETANI WAKO KAMA UMEBOREKA NENDA JUKWAA LA KUTAFUTA KAZI AU MATANGAZO AU FACEBOOK UKACHATI NA MASHOSTITO AlAAAAAAAA
 
pls wana jf mnapo komenti mada muwe mnajiheshimu na si kuendelea kukashifiana kwasababu huku ndani kuna watu wa dini tofauti tunachofanya hapa ni kueleweshana jinsi ya kutatua haya maneno ya kuwepo udini .....kama mnavoelewa serikali haishindwi kutumia watu kuchafua au kuchochea jambo lolote kwa hyo tafadhali tusiwakashfu waislam sisi wote ni ndugu kwasababu hata kama utakuwa mkristo bado unaweza kuwa unandugu ambaye yeye ni mwislam
 
kweli nimeamini shule muhimu, twendeni shule jamani tutoe ujinga, ujinga unatolewa na elimu tu..
 
Tatizo ni kwamba uislamu unatumika kuhalalisha uwizi unaofanywa na serikali ya JK na mafisadi wake, mfano kwenye tukio la arusha uislamu unatoka wapi? mbona mimi nashangaa?, Ukija kwenye katiba mpya uislamu unatoka wapi?, Kuhusu Dowans nako uislamu unatoka wapi au ni njama tu za mafisadi kutaka kubadilisha vita kati ya CDM na mafisadi kuwa mapambano ya Udini. Hii haiwezekani kamwe hata kidogo.

Hivi kwanini waTZ na umaskini wote huu tuna Vichwa vigumu? Hivi ni hizi Rushwa wanazopewa? au kuna kitu kingine, Je kama kweli ikagundulika hawa waislamu wanapewa fedha ili kutetea mafisadi tutapona kweli/

Mimi nashangaa sana kuona watu wanataka vurugu za arusha zionekane za kidini. Hivi kuna uhusiano gani kati ya vurugu za arusha na uislamu au ukristo? Mkurugenzi wa arusha kavunja sheria kwa kufanya uchaguzi bila kufuata sheria na wananchi na viongozi wa CDM wameamua kupinga kuvunjwa kwa sheria leo hii waislamu wanakuja na kusema JK anahujumiwa kwa sababu ni muislamu, Si kweli hata kidogo.
 
Wakati Waislam wanajenga nchi wenzao wakristu wanajenga ukristu.Wazalendo kama akina Mzee Kawawa walikuwa bize wanajenga nchi hata msikitini walikuwa hawaendi,lakini wenzao akina Nyerere kila jumapili wako kanisani wakitoa michango ya hali na mali na wakati mwingine wakipeana kazi za serikali hukohuko kanisani.Waislam waliobahatika kuwemo serikalini kwa kuogopa hujuma wengine walificha majina yao halisi,ndio maana unaona majina kama Jakaya Mrisho Kikwet,Ukiwaona Ditopile Mzuzuri,Kigoma Malima,Moses Nnauye,Jenerali Ulimwengu nk.Yawezekana wengi wenu hamkujua kuwa jk ni Muislam nakama mungejua pengine hapo alipo asingefika lazima angehujumiwa tu.Wakati Waislam kama waumini wa Dini ya Kiislam hawana lolote la kumkumbuka Mzee Kawawa,wakristu kwa upande mwingine wana mengi ya kumkumbuka Nyerere hadi kufikia hatua ya kumtangaza mwenye heri.
Wakti ninasoma IFM harakati za kuwania uongozi wa wanafunzi zilikuwa zinapangiwa ktk kanisa la Pengo.Wakiambiwa kuwa msiwape uongozi Waislam maana mtakuwa mnajenga cv zao,wakiambiwa kuwa popote mlipo hakikisheni Waislam hamuwapi uongozi hata kama ni kwenye vikundi vya ngoma nyie pigeni ngoma wao wacheze..Hii ndio amani inayojivuniwa tz.Lakini enzi hizo za akina Mzee Kawawa sasa zimepita,hakuna tena Muislam anayeficha dini yake na kila mmoja atadai haki kama raia mwingine yeyote.Japokuwa bado hujuma zipo lakini zitakabiliwa vilivyo.
 
Hapo kwenye RED mkuu kumbe sasa naanza kuamini yanayosemwa na watu inabidi uanze na darasa la kwanza na sio chuo, hivi kama wewe kweli ni msomi wa university level unashindwa kujenga hoja za kisomi sasa wale walioishia madrasat itakuwaje? hapa mada ni hii NI YAPI MASLAHI YA WAISLAMU TANZANIA? hebu elezea maslahi ya waislamu hapo na sio kubwabwaja kama bata.
 
@matola.Sasa umepinga nini katika niliyosema? zaidi umetoa matusi hilo sio kosa lako ni kosa la walezi wako na inaonesha umeelimika kiasi gani.elewa kuwa kusoma sio kuelimika,kama kweli umesoma hujaelimika.
Mimi Madrasa nimesoma na Madarasa pia nimesoma niko katika mzani sawa na Slaa tofauti ni kwamba mimi sikusomea theoligy nimesomea uchumi na fedha
 
Nashangaa na maneno yao mengi sijawaona wakijibu swali la ni nini hasa maslahi yao hapa Tanzania.....Kwa kusoma hoja zao unajifunza mambo mawili

1.Ni watu wasiofanya utafiti na ndo maana jana kuna mmoja wao alitolea mfano wa wakristo wanavyoteswa huko Sudan na waislamu hadi kufikia nchi kugawanywa,hawajui hasa wanataka nini,kiwafaidie nini na kutoka kwa nani?Muislamu anasema wao ndo majority Tanzania,heloooo!
Sasa watu hao wenye fikra hizo inakuwa ngumu sana hata kuwa clear wanataka nini?na ndo maana wanatumika tu,kiongozi fulani akiwaambia hivi wao bila hata kufikiria mara mbili hao washaenda kuzungumza in public.....

2.Ni watu wa kuiga sana,kwakuwa nchi fulani waislamu ni nusu kwa nusu basi na Tanzania iwe hivyo???Hawaangalii misingi ya utofauti wa Tanzania na hizo nchi nyingine,hawafanyi analysis,wanabaki kuota tu na kuzungumza,siku waislamu watakapo kuwa realistic na wa kweli,watasogea mbele sana.Itafuteni elimu ya ulimwengu pia msibaki kuzungumzia mapungufu ya babu zenu,kama kielimu hampo sawa na wakristo,nendeni shule watoto wenu wawe na huo usawa mnaoutaka,lakini kwa mwendo huu mna-corrupt hata mind za watoto wenu,wanafikiri kama babu na baba zao........kila siku mnazidi kujenga chuki na mgawanyiko kwa jamii,na ndivyo ilivyo mpaka wengine wanajilipua,inaanza hivi hivi,mankuwa watu wa kulipa visasi/kulaumu wenzenu while wenzenu wanasonga mbele.
 
Back
Top Bottom