Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

pamoja na kuomba je umetengeneza mazingira ya kumpata potential husb?? Unaweza kuwa unalalama lakini ww mwenyewe hujichanganyi, hu-jiweki kama kama mtu alie single...pia pengine uko too desperate mpaka unawakimbiza waowaji kwa kukuona 'garasha'. Kwa kifupi tengeneza mazingira rafiki na kile unachokitaka huku uki-maintain misimamo yako kuepuka kufanywa 'chips funga'. Pengine kuna watu wanakumezea mate wakuwowe ila mazingira ya wanazuia either hawapati nafasi ya kushusha verses n.k! Vilvile kuwa pro-active ikiwa kuna mtu unamuona potenetial unaweza kumuanza ww....they say life is all about choices, u can choose who u want to be!
ok hayo mazingira ndio yapi?
 
je wewe ni bikira????????
probably not...

je una sex?probably yes...

na akina nani??????......

how about uanze kuwaambia kila anaetaka ku sex na wewe kuwa 'unajiona huna thamani bila ya kuolewa'
na kwamba uko 'desperate ' kuolewa by 'any means' na hutajali 'lolote lingine' ili mradi akuoe????


Umenichekesha sana The Boss. Ukisema uko desperate wanaume wote wanakimbia. Cha kufanya wewe anza kutembelea sehemu wanaume wengi watakuona, unaweza kukutana na watu wapya siyo wale wa siku zote. Acha kujishusha bei, what is 32 by the way? Kama umejidharau kiasi hicho nani atakuoa au kukudate wakati wewe mwenyewe hujiamini? Acha kuchagua wanaume wewe jichanganye tu, Mungu anakaribia kukupa mume wako.
 
Tatizo langu mie nimeshaligundua, kuna mtu alinipm nakunidiscuss na mimi hili tatizo, kitu alichokigundua ni uchaguzi wangu wa wanaume namimi nimekubali mara zote nakua niko kwenye wrong choice nami nachelewa kugundua pale napogundua nakua nimeshapoteza muda

Am glad umeshagundua tatizo,sasa nakushauri take create list of the things you want ur hubby to have eg.caring,considerate,social,etc
Baada ya hapo ukipata a date take things slowlys kumchunguza huyo potential husband,usiwe na papara to go to bed with him,kama kweli muoaji na anameet criteria zako basi ndio unaenda next step
 
Am glad umeshagundua tatizo,sasa nakushauri take create list of the things you want ur hubby to have eg.caring,considerate,social,etc
Baada ya hapo ukipata a date take things slowlys kumchunguza huyo potential husband,usiwe na papara to go to bed with him,kama kweli muoaji na anameet criteria zako basi ndio unaenda next step
asante sana nashukuru kwa ushauri mzuri sana nitazingatia maneno yako
 
Dada ndoa sio ya kukurupukia usiwe na haraka kiasi hcho usipo angalia utaingia choo cha wazee tuliza akili, usichoke kuomba mungu You never know kakupangia kuolewa lini so hutakiwi kuwa na papara ndoa ni tamu na vile vile ni chungu usipokuwa makini. Kuwa makini.
 
Back
Top Bottom