Masikini wanastahili kupata freepass peponi.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Mtu anaamka saa kumi na moja kuwahi kupanda mwendokasi kuwahi kazini kwa mhindi anafanya kazi masaa kumi nonstop kwa mshahara wa laki mbili. Mshahara huo anategemea kutunza familia yake na kulea wazazi wake ambao ni wazee wanasumbuliwa na maradhi.

Unakuta mtu kula mlo kamili ni anasa ameendamwa na shida chungu nzima kwenye maisha yake mpaka ukomo wa maisha yake unafika anakuwa kashaisoma namba.

Alafu mtu huyo anapata maradhi anaangaika hospital na kwa waganga hatimaye umauti unamkuta..

kisa tu alidanganya au alitamani mke asiye wake ndio adhabu yake ni kwenda jehanamu kuchomwa moto wa milele huo si ni uonevu mtu ambaye hajui raha inafananaje toka azaliwe anaenda kuchomwa milele.

Mtazamo wangu watu wote wanaopitia magumu ulimwenguni wapewe freepass peponi pale mauti yanapowakuta huko jehanamu tuwaachie wanaofaidi mema ya nchi kama mafisadi.
 
Hii dhana/concept Ya Pepo/Jehanam/Kuzimu/paradise inawatisha na kuogofywa Wengi....!Naam lazima iwatishe Wengi.

Abrahamic Religions:Ends Time.
Hinduism Religions: cycle Time.
E.tc.

Comparative Relegions (Judaism, Christianity, Islam, Hinduism, Buddhism, Jainism,& Sikhism etc) ,Itakuonyesha dhana ya Pepo/Kuzimu/Paradise/Jehanamu si Ya watu wote duniani/Ulimwenguni Bali ni Dini kadhaa chache Zikiwemo(Ukristo,Uislamu & Uyahudi).

Na Dini ni man made, Hivyo Jehanamu/Peponi,Usikutishe na isitutishe ni matengenezo tu Ya Human being/MTU /Mwanadamu katika kujitafuta na kupambana na mazingira.

Kufa utakufa tu,labda AI na Sayansi ya mbeleni (Future tense)yaweza kubadilisha/Kuzuia kifo.

Umaskini wa Aina zote(umaskini wa mawazo,Pesa, Material World ,nk) ,Hauna budi kushulighulikiwa na kuupunguza kama si kuutokomeza kwa level zote.
 
Umeniacha hoi......
kwanza maskini anaanzaje kumtaman mke asiye wa kwake? ....isitoshe maskini anawezaje kuwa na mke?
 
Hii dhana/concept Ya Pepo/Jehanam/Kuzimu/paradise inawatisha na kuogofywa Wengi....!Naam lazima iwatishe Wengi.

Abrahamic Religions:Ends Time.
Hinduism Religions: cycle Time.
E.tc.

Comparative Relegions (Judaism, Christianity, Islam, Hinduism, Buddhism, Jainism,& Sikhism etc) ,Itakuonyesha dhana ya Pepo/Kuzimu/Paradise/Jehanamu si Ya watu wote duniani/Ulimwenguni Bali ni Dini kadhaa chache Zikiwemo(Ukristo,Uislamu & Uyahudi).

Na Dini ni man made, Hivyo Jehanamu/Peponi,Usikutishe na isitutishe ni matengenezo tu Ya Human being/MTU /Mwanadamu katika kujitafuta na kupambana na mazingira.

Kufa utakufa tu,labda AI na Sayansi ya mbeleni (Future tense)yaweza kubadilisha/Kuzuia kifo.

Umaskini wa Aina zote(umaskini wa mawazo,Pesa, Material World ,nk) ,Hauna budi kushulighulikiwa na kuupunguza kama si kuutokomeza kwa level zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom