Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,650
- 190,688
😂😂 kazi kazi aisee.
😂😂 kazi kazi aisee.
Mbona huoni dhamani ya mwenzio 😂
Poleni sana aiseeHiyo ndiyo hali halisi mkiona wanaume wanalalamika kupigwa vizinga hawatafuti kiki mjue yamewafika
Usimuinue mtu watu wachawi watafunga mtiririko wa hela zako uje uanze kulia hapa kama dada ,rafiki nope msaidie mama inatoshaNipe namba yake aisee asije akafa njaa mdada wa watu😃,, wanawake kuinuana au unasemaje Unique Flower
Round hili hatuna huruma😂😂 kazi kazi aisee.
Baraka zangu zote unazo dada. Kazi njema😃😃😃Sana ila wakizidi kuandika wadada wa jf basi nitawakausha damu kweli ili iwe kweli
Bora umenisanua aisee.. Wacha apambane na hali yakeUsimuinue mtu watu wachawi watafunga mtiririko wa hela zako uje uanze kulia hapa kama dada ,rafiki nope msaidie mama inatosha
MchanaganyikoSamahani hivi mtoa mada ni jinsi gani? Me or ke??
Nilitaka niliseme hili.Tatizo ni Njaa...
Ila ni kwa baadhi ya wanaume wa JF...
Huu nao ni ugonjwa wa akili piaWanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa , ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda .
Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .
Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.
Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .
Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote .
Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .
Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Shangaaa😳Tatizo linaanza pale unapochukulia sirias jf.
Wakiwasema Kama haikuhusu unaumia nn??
ME kabisaSamahani hivi mtoa mada ni jinsi gani? Me or ke??
Mbona leo hasira hiviiOnyesha na huko juu mlikotokea
Anasema nature ya mwanamke ni kuhongwa, yaani yeye akipiga mizinga ruksaSasa mbona ujitete dada kwani pesa hizo pesa mnatuomba zinakuwa zakwenu nyie si ndio mnasemaga haki sawa sasa kwa nini muanze kutufanya kama vile ajira.
Text zote hizi kwajili ya buku5 tu na bado ukakaza. UWABATA for life
Don't take it too seriouslyUjinga uliouanza ushenzi ushenzi tu
we umeongea ukweli yaan sio wanaume wote mngesema wanaume wote,, haki ya mungu ningewapiga bann wanawake wote wa jf mana wengine tuna utajir wa kutisha ila hatuna time na mademu wa...... Wanaumeeee mnaniangusha huo ni utoto pumbv kbsTatizo ni Njaa...
Ila ni kwa baadhi ya wanaume wa JF...
Sio kwamba una matatizo yako binafsi?Mbona leo hasira hivii