Wataalam naombeni msaada wenu natumia hp pavilion dv5 2155dx windows7 home premium ina specification hizi processor i3 2.53ghz ram 4gb tatizo ikiingia kwenye sleep mode or hibernate haiwezi tena kuresume hata ukihold power button haizimi ili kutoka ktk mode hii ni mpaka utoe battery na kuirudishia hapo ukiiwasha tena ndo inakubali.Hii inatokea hata kama sijaconnect any external device
Tatizo hili nimekumbana nalo tangu upya wa laptop
Tatizo hili nimekumbana nalo tangu upya wa laptop