Mashindano ya urembo yazidi kupamba moto tanzania - sasa kuna miss totoz!

Hii ni kuwapotosha watoto. Watoto wafanye mashindano yatakayo imarisha elimu yao na uwezo wao kutafakari kama vile quiz,
 
........... mie naona ni nzuri kukuza vipaji vya watoto........! how si ajabu watakuwa ma model. sikuhizi ajira ngumu, mtu afanya kitu anachokipenda sana anafanikiwa zaidi. Bigup waandaajai. how watoto waendelezwe hivo hivo.... utasikia siku moja wamepeperusha bendera yetu. (hakuna tofauti na kuwa na timu ya mpira wa miguu wa watoto wadogo)
 
Back
Top Bottom