Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

Naona hapa TUNTEMEKE members hawajawasiliana vizuri ndio maana hii thread ya mwezi wa nane imewapa shida sana namna ya kuijibu.

Sababu kuu ni wameshasalitiana hivyo hawaaminiani tena.
Things now are falling apart!!!
 
kama Tutemeke ndo Zitto kwanini awaexpose kina Machage, Ben, Juliana, Mwapamba.
KUMBUKA UNASOMA THREAD ya mwezi wanane.
Kwanini hii issue ameiexpose tuntemeke lakini leo huyo Ben ndo anachukua credit.

Hujaona kama Tuntemeke kaikana thread yake mwenyewe akidai kaibiwa password? Tumia akili sio saburi
 
chadema kweli mna kazi hapo jamani mtasema hakuna ukabila why atetewe mmoja tu kwa hiyo saanane hakushiriki kuanzisha au vipi kweli chadema ni chama cha watu fulani kwa lengo fulani hameni vijana chama cha ukabila hiki

tangulieni tunakuja ha ha ha
 
Kumbe hakuna jipya chini ya jua! Mambo yote waliyasema wenyewe tangu kitambo ila ahsante Ben kwa kutupa uhakika.
 
Pesa chafu inafanya kazi ila kwa nyakati hizi mmenoa maana hadanganyiki mtu. Ila ninaona kabisa mwisho mbaya wa mnafiki Zitto anayetumiwa na CCM kuivuruga Chadema kwa ajili ya cheo. Afie mbali na tamaa zake, vijana tuko pamoja na Chadema kuikomboa nchi hii.
 
Hapo ndo kaniacha hoi mie, kaikana post wakati inaonekana huko nyuma alikuwa anaisaport?? sasa sijui hawa ni watu wa namna gani???? bora wangekaa kimya tu maana wanavyoendelea kuchokonoa ndo wanavuruga, wanaondoa na kaheshima kalikokuwa kamebaki.

Hujaona kama Tuntemeke kaikana thread yake mwenyewe akidai kaibiwa password? Tumia akili sio saburi
 
Wote mnaomchafua kamanda zitto malipo yenu ni hapahapa duniani. Ninawashauri mjadili masuala nyeti ya kujikwamua wenyewe na sii kumuandama mtu. Ukweli siku zote hujitenga na uongo.
 
Hapo ndo kaniacha hoi mie, kaikana post wakati inaonekana huko nyuma alikuwa anaisaport?? sasa sijui hawa ni watu wa namna gani???? bora wangekaa kimya tu maana wanavyoendelea kuchokonoa ndo wanavuruga, wanaondoa na kaheshima kalikokuwa kamebaki.

Siyo akili zao, hizo ni zakushikiwa ndo' maana wameanza kuropoka ovyo!...
 
Wote mnaomchafua kamanda zitto malipo yenu ni hapahapa duniani. Ninawashauri mjadili masuala nyeti ya kujikwamua wenyewe na sii kumuandama mtu. Ukweli siku zote hujitenga na uongo.

Junior Member
Join Date : 22nd December 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

Ni kweli, uongo hujitenga na ukweli na ninaamini ukweli utadhihiri tu siku moja...
 
Wote mnaomchafua kamanda zitto malipo yenu ni hapahapa duniani. Ninawashauri mjadili masuala nyeti ya kujikwamua wenyewe na sii kumuandama mtu. Ukweli siku zote hujitenga na uongo.
Ndugu na wewe ulienda kwa mganga kuapishwa usimsaliti?

Issue hapa ni Chama kipya cha CHAUMA na masalia ya Chadema na wala sio Zitto perc
 
Vijana takribani kumi wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Zitto Kabwe na wahanga wakubwa wa uchaguzi wa BAVICHA ndani ya CHADEMA ambao majina yao nitayweka hapa chini baadaye wanasemekana kuwa ni miongoni mwa vijana wachache waliojitoa kuwa waanzilishi wa chama cha jamii CHAUMMA na mwenyekiti wa hicho chama anategemewa kuwa Kafulila.

Vyanzo vya ndani vinasema vijana hao amabo kwa kiasi kikubwa wamechoshwa na tuhuma za kila mara za katibu mkuu wa CHADEMA kuwatuhumu kuwa wao ni watu wa Zitto wameamua sasa kukihama rasmi na huo mpango utajulikana karibuni.

Vijana hao ni:
1. Ben Saanane kijana huyu ni msomi mwenye masters katika fani ya uchumi na inasemekna haaminiki na chama chake japo anatokea kaskazini na sababu ni alliance yake na Mwampamba wakati wa uchaguzi na inasemekana amejiapanga kuibomoa CHADEMA mara atakapohama na pia inasemekana hakubaliki sana ndani ya kundi lingine analotaka kuhamia wakidhani ni mamluki
2. Habib Mchange ni mhanga mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA maana alipigwa vita na kuwekewa mitego mingi ili aonekane ni mra rushwa na mtoa rushwa na pia hapendwi kwa uhusiano wake wa karibu na Zitto Kabwe
3. Mwampamba huyu naye anatuhuma za kufanya aliance na Benny Saanane pamaoja na Nyakarungu kwenye uchaguzi na kuna tuhuma pia zisizo nz mshiko kuwa yeye ndiye kinarra wa kuwachafua wabaya wake kwenye mitandao akitumia account bandia kitu amabacho amekikana mara kwa mara maana pamoja na kuwa na degree yake si mtu aliyebobea sna kwenye maswala ya computer
4. Greyson Nyakarungu na yeye ni kama tuhuma za mwampamab na saanane
5. Juliana Shonza huyu ni makamu mwenyekiti wa BAVICHA na alianza kukorofisha na meza kuu hasa baada ya kuonekana yuko benet na Zitto na pia tamko lake la kupinga matamshi ya Heche juu ya Shibuda , na kusema kuwa Heche hilo ni tamko lake maana alikuwa ametumwa na Dr.Slaa
6. Ras huyu ni kijana aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA amabye Dr.Slaa alimvua uanachama mwaka huu mjini Geita
7.
8
9
10
Mengine nitamlizia endeleeni na mjadala na please mods naoamba msifute post yangu

WANAJF,
HUU UZI HAUJAANZISHWA NA TUNTEMEKE,NI MTU AMEFANYA MCHEZO MCHAFU WA KUCHEZEA NA KUINGILIA ACCOUNT YANGU NA KUWEKA HUU PUUZI HAPA.
MODS NAOMBA SANA TENA SANA,MNIREKEBISHIE HILI TATIZO MAPEMA KABISA.TUNTEMEKE HAHUSIKI HA HII KITU ILIYOWEKWA HAOPA NA IKUMBUKWE HII POST ILIWEKWA MWEZI WA 8 MWAKA 2012 KAMA INAVYOONESHA.

WANA JF,WATU WANAJITAHIDI SANA KUMSAKAMA TUNTEMEKE KUANZISHA MAMBO KAMA HAYA.ILI HALI SI KWELI KABISA.HUYO TUNTEMEKE NI SHABIKI WA ZITTO HAPA ANAONEKA AKIMSKAMA ZITTO KABWE INAKUJA KWELI???
TUNTEMEKE ANASEMA
NO CHOICE BUT DEMOCRACY

kwa mtiririko wa haya yanyoendelea humu kukihusu chadema kuna jambo tunajifunza kwa sisi tunaopenda kujifunza kila siku,CHADEMA SASA SI MOJA,IKO VIPANDE VIPANDE,MAANA ZIPO TAARIFA JAPO KUNA BIDII KUBWA YA KUZIFUNIKA KWAMBA SLAA na MBOWE PIA SI WAMOJA TENA KISA URAIS,TIME WILL TELL,TUTAAMBIANA HUMU HUMU
 
kwa mtiririko wa haya yanyoendelea humu kukihusu chadema kuna jambo tunajifunza kwa sisi tunaopenda kujifunza kila siku,CHADEMA SASA SI MOJA,IKO VIPANDE VIPANDE,MAANA ZIPO TAARIFA JAPO KUNA BIDII KUBWA YA KUZIFUNIKA KWAMBA SLAA na MBOWE PIA SI WAMOJA TENA KISA URAIS,TIME WILL TELL,TUTAAMBIANA HUMU HUMU
Shughulisha akili yako Juliana Shonza umegraduate umeacha kufanya kazi unangoja kupewa vya kupewa mwanamke hovyo weye
 
Naona vijana wa Zitto mmeamua kukichafua chama...mie naomba niwaulize mbona mnaangaika ivyo??tatizo nini??
Jengeni chama sio kila kukicha mnaangaika kukigawa,vijana lakini mnakuwa kama "wanga".

Mr. Matumbo, heshima kwako!
ninaomba uniruhusu kujibu swali ulilowauliza vijana wa zitto kabwe(small letters are intended!!!) kuwa tatizo ni nini???
Kwa mtazamo wangu tatizo ni kikwete even in this case small small letters are intended - sasa ninajua kuwa kuna watu wataniuliza kikwete anaingiaje ktk issue hii - jibu ni rahisi na nitajaribu kujibu kwa "mafumbo" - mimi na wewe tunajua kuwa mitaani kwetu kukiwa na "mwanadada" mwenye huruma au jamvi la wageni (read malaya) hata wanaume mbao hawajawahi kutongoza(ashamkhum si matusi!!) huwa wanamuwinda maana wanajua almost certainly kuwa watafanikwa yaani anaudhihirishia umma kuwa kuwa na "demu " sio lazima uwe seducer lol - kikwete in this case ameudhihirishia umma kuwa sio lazima uwe intelligent ili uweze kuwa RAIS yaani hata mwendawazimu anaweza kuwa RAISI as a result unasikia watu kama zitto na yule mwendawazimu mwingine january makamba wanajihisi kuwa ni presidential material - kikwete amedharirisha taasisi ya URAISI kiasi kwamba kila mmoja anajihisi kuwa anauwezo - in the same way changudoa anavyodhalilisha "uwanawake" kiasi kwamba hata mwendawazimu anafikiri anweza kuwa na "mwanamke" - SAMAHANI kwako na wasomaji wengine kama nitakuwa nimetumia misamiati abayo haiwafurahishi though i hope that the msg is delivered!! thanks Sir!!!

 
Back
Top Bottom