Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

Vijana takribani kumi wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa zitto kabwe na wahanga wakubwa wa uchaguzi wa bavicha ndani ya chadema ambao majina yao nitayweka hapa chini baadaye wanasemekana kuwa ni miongoni mwa vijana wachache waliojitoa kuwa waanzilishi wa chama cha jamii chauma na mwenyekiti wa hicho chama anategemewa kuwa kafulila.

Vyanzo vya ndani vinasema vijana hao amabo kwa kiasi kikubwa wamechoshwa na tuhuma za kila mara za katibu mkuu wa chadema kuwatuhumu kuwa wao ni watu wa zitto wameamua sasa kukihama rasmi na huo mpango utajulikana karibuni.

Vijana hao ni:
1. Ben Saanane kijan huyu ni msomi mwenye masters katika fani ya uchumi mwenye masters na inasemekna haaminiki na chama chake japo anatokea kaskazini na sababu ni alliance yake na mwampamba wakati wa uchaguzi na inasemekana amejiapanga kuibomoa chadema mara atakapohama na pia inasemekana hakubaliki sana ndani ya kundi lingine analotaka kuhamia wakidhani ni mamluki
2. Habib Mchange ni mhanga mkuu wa uchaguzi wa bavicha maana alipigwa vita na kuwekewa mitego mingi ili aonekane ni mra rushwa na mtoa rushwa na pia hapendwi kwa uhusiano wake wa karibu na zitto kabwe
3. Mwampamba huyu naye anatuhuma za kufanya aliance na benny saanane pamaoja na nyakarungu kwenye uchaguzi na kuna tuhuma pia zisizo nz mshiko kuwa yeye ndiye kinarra wa kuwachafua wabaya wake kwenye mitandao akitumia account bandia kitu amabacho amekikana mara kwa mara maana pamoja na kuwa na degree yake si mtu aliyebobea sna kwenye maswala ya computer
4. Greyson Nyakarungu na yeye ni kama tuhuma za mwampamab na saanane
5. Juliana shonza huyu ni makamu mwenyekiti wa bavicha na alianza kukorofisha na meza kuu hasa baada ya kuonekana yuko benet na zitto na pia tamko lake la kupinga matamshi ya heche juu ya shibuda , na kusema kuwa heche hilo ni tamko lake maana alikuwa ametumwa na slaa
6. Ras huyu ni kijana aliyekuwa mwenyekiti wa bavicha amabye slaa alimvua uanachama mwaka huu mjini geita
7.
8
9
10
Mengine nitamlizia endeleeni na mjadala na please mods naoamba msifute post yangu

Sawa Mkuu unachokisema kinaweza kuwa cha ukweli kutokana na kile kinachoendelea,hapo kwenye RED huyo JINA LAKE KAMILI anaitwa Emmanuel Otto kwa sasa ni Mwenyekiti wa ADC Mkoa wa Geita ndiye aliyepewa kushika wadhifa huo,na kuna taarifa kwamba Mwenyekiti wa ADC ni Hamad Rashid ingawa kwa sasa bado wanaficha.

Ni hatari kweli kwenye masuala ya siasa ana uwezo mkubwa alifukuzwa kwenye chama na Dr.Slaa Mjini Geita akiwa na kundi lake la watu watano,lakini wenzake wawili wameomba radhi kwa barua na kurejeshwa lakini yeye aliendelea kushikilia msimamo wake kwa kile anachokiamini,hivi karibuni nikiwa Geita nilipata taarifa kwamba yeye na kundi lake wanafanya mkakati mkubwa wa kuhakikisha kwamba wanaiobomoa CHADEMA na kuitangaza ADC na tayari kina wanachama wengi mkoani humo.

Nina taarifa nzuri kuhusiana na hilo jambo Mkuu TUNTEMEKE hebu nitafunguka zaidi pale ambapo nawe utafunguka kama ulivyoahidi,na nitakusaidia pia kuyaweka hayo majina mengine kuna vigogo wengi tu wa CHADEMA.
 
tuntemeke ndo zitto mwenyewe

kama Tutemeke ndo Zitto kwanini awaexpose kina Machage, Ben, Juliana, Mwapamba.
KUMBUKA UNASOMA THREAD ya mwezi wanane.
Kwanini hii issue ameiexpose tuntemeke lakini leo huyo Ben ndo anachukua credit.
 
wewe hata mabinti wakiona upumbavu unaomwaga humu sidhani kama utapa mchumba.alafu kwa nini hauendi kwenye majukwaa ya kisiasa kutamka maneno haya unang'ang'angia huku JF na majina fake, au kwa sababu hii password ya tuntemeke wanayo masalia wote.

sababu wewe sio tuntemeke tunayemfahamu, tuntemeke tunayemfahamu huwa anaandika kwa bold, sasa wewe sijui ni zitto au nani?

Mkuu unamaanisha kwamba huyo ame-log in kwa password ya TUNTEMEKE na amefanikiwa?!,na kama ni hivyo mbona TUNTEMEKE halisi hajajitokeza na kukanusha?!
 
Kwahiyo hiyo id leo kati yenu masalia nani anaitumia?

uwe unaangalia tarehe ya uzi kwanza.hii kitu kumbe ipo hadharani siku nyingi,nashangaa sasa ndo imekua issue.suala la mwanasiasa kutaka kuhamia chama kingine ni la kawaida wala si ajabu.ukichukua mfano wa kenya huko wanahama na kuanzisha vyama na mitandao kila kukicha na wala sio bigdeal,leo utamsikia mdavadi yupo kanu wiki ijayo yuko odm,keshokutwa yuko fordasilia.ndo siasa watu wanasaka madaraka.
 
...juu ya bega la mswahili..

..na mwisho wote mtakiri..
...kuwa ugonvi hauna dili..
...mtumikieni kafiri ili!?
...mpate akili na mali..
...sisi twataka maadili..
..hayo mengine sio dili..
...taifa lataka jasiri...
..mvumilivu mwenye akili...
..zaidi nyote mfikiri..
..nani abebe taifa hili..
 
Kumbe issue ilikua imewekwa wazi na Tuntemeke tangu august .

Ndo hivyo. Rejea uzi wangu wa hakuna jambo jipya ndani ya hili sakata. Yote yaliwahi kuandikwa humu JF. Na enzi hizo TUNTEMEKE alikuwa anajiita Msiba
 
Mkuu unamaanisha kwamba
huyo ame-log in kwa password ya TUNTEMEKE na amefanikiwa?!,na kama ni
hivyo mbona TUNTEMEKE halisi hajajitokeza na kukanusha?!

Jaribu kuchunguza katika uzi huu haya majina: TUNTEMEKE na Msiba. Utagundua jinsi IT inavyowaumbua Mashikolo magheni!
 
WABHEJASANA mnajidanganya bure na hiyo ADC(ccm-c) yenu. Kama CUF(ccm-b) wameshindwa kuidhibiti Chadema mtaweza wapi ninyi watoto wadogo?
Mnajifurahisha sasahivi kwa hivyo visenti mnavyopewa na ccm vya kubadilishia mboga hapo Geita ndo mnajidanganya eti mtaibomoa Chadema wakati mfadhili wenu ameshindwa.
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mkuu unachokisema kinaweza kuwa cha ukweli kutokana na kile kinachoendelea,hapo kwenye RED huyo JINA LAKE KAMILI anaitwa Emmanuel Otto kwa sasa ni Mwenyekiti wa ADC Mkoa wa Geita ndiye aliyepewa kushika wadhifa huo,na kuna taarifa kwamba Mwenyekiti wa ADC ni Hamad Rashid ingawa kwa sasa bado wanaficha.

Ni hatari kweli kwenye masuala ya siasa ana uwezo mkubwa alifukuzwa kwenye chama na Dr.Slaa Mjini Geita akiwa na kundi lake la watu watano,lakini wenzake wawili wameomba radhi kwa barua na kurejeshwa lakini yeye aliendelea kushikilia msimamo wake kwa kile anachokiamini,hivi karibuni nikiwa Geita nilipata taarifa kwamba yeye na kundi lake wanafanya mkakati mkubwa wa kuhakikisha kwamba wanaiobomoa CHADEMA na kuitangaza ADC na tayari kina wanachama wengi mkoani humo.

Nina taarifa nzuri kuhusiana na hilo jambo Mkuu TUNTEMEKE hebu nitafunguka zaidi pale ambapo nawe utafunguka kama ulivyoahidi,na nitakusaidia pia kuyaweka hayo majina mengine kuna vigogo wengi tu wa CHADEMA.
Mkuu kwa hiyo unamaanisha CHAUMMA=ADC ?
 
Mkuu unamaanisha kwamba huyo ame-log in kwa password ya TUNTEMEKE na amefanikiwa?!,na kama ni hivyo mbona TUNTEMEKE halisi hajajitokeza na kukanusha?!

Kiongozi, haya mambo yote yamekwishamwagwa hapa, sisi kichobakia ni kukumbuka tu na kumgundua mnafiki, Ben aliishaeleza kwamba mtu ambaye anatumia sana jina la tuntemeke humu ndani anaitwa somebody sanga, lakini password ya tuntemeke ilikuwa circulated kwa wote including passwords za majina mengine yaliyokuwa na yanayoendelea kuweka utumbo hapa jamvini.

Tuntemeke tuliyemzoea huwa anaandika kwa bolded typos, huyu wa leo sio yeye, ndio maana nimemuaidentify kama Zitto sababu ndio ring leader na kama mungu wao wote wamejiapiza kumtumia kwa mujibu wa kiapo walichokula kwa mganga wao.

mimi nachosubiri sasa ni kuona Ben Saanane atapatwa na pigo gani la kiganga au kichawi kwa usaliti aliofanya dhidi ya kiapo. kama atakuwa kichaa, au ataanguka ghafla afe, au atapatwa na ajari na kufa papo apo, au atageuka na kuwa mnyama fulani au ndege, au kugeuka na kuwa kiziwi au bubu au kipofu au vyote hivyo kwa pamoja au atabadirika ngozi kama ilivyomtokea msaliti mwenzake mwakyembe au atapotea tu na isijurikane yuko wapi tena kama tulivyokuwa tukifikiria inawatokea ndugu zetu mazeruzeru yaani najiuliza maswali meeeeengi na sipati majibu ama sivyo mambo ya kutishia watu kwamba hooo nimeaga kwetu au kwetu sumbawanga, tanga au kigoma ndio itakuwa imebainika rasmi kuwa inafanya kazi kwa wachawi,waganga na washirikina pekee zaidi ya apo ni ujinga,upumbavu na ushamba tu.
 
Wana JF wenzangu,
TAHADHARI: Nawaomba wana JF tuwe makini kidogo kwenye kusoma hizi nyuzi. Uzi huu uliandikwa mwezi wa nane tarehe tatu, sio uzi wa mwezi Disemba.

Kwa hiyo ukisoma uzi huu ktk mwanga wa yaliyojiri wiki hii utagundua Tuntemeke na Masalia walikuwa wanajaribu kupima kina cha maji. Tuntemeke (Gwakisa na mara nyingine Festo) alikuwa anacheza na akili za watu, na hata kwenye uzi huu alitumia ID tofauti na amejielekeza ktk kukashifu na kubomoa CHADEMA. Lakini kwa vile leo tunawajua basi kupitia uzi kama huu tunaweza kutrace mambo mengi ya kundi lile, malengo yao, wachezaji wao, mbinu zao nk.
 
chadema kweli mna kazi hapo jamani mtasema hakuna ukabila why atetewe mmoja tu kwa hiyo saanane hakushiriki kuanzisha au vipi kweli chadema ni chama cha watu fulani kwa lengo fulani hameni vijana chama cha ukabila hiki

Ngumu sana kuamini hizi blah blah zako. Ongezea nyama, thibitisha.
 
sasa hivi jf inakoelekea siko!! Hii sio jf iliyonihamasisha kujiunga!! Tafadhari mods turudishie jf yetu (gt)!! Naipenda sana jf, sipendi kuona ikizama namna hii kama fb!!

Sioni u-gt mliokuwa mkijivunia kama mtathubutu sasa!! Itafikia wakati ukiwa jf mtu akakusogerea itabidi u-log out ili usichekwe!!

Samahani mods huu ndo ukweli wenyewe, mmepunguza usiriasi!!

Mungu awatangulie ktk maamuzi yenu!!
ngoja nikashughulikie mdhamana wa sheikh ponda niwaachie umbea wenu mkimaliza kusutana niambieni
 
Mkuu unamaanisha kwamba
huyo ame-log in kwa password ya TUNTEMEKE na amefanikiwa?!,na kama ni
hivyo mbona TUNTEMEKE halisi hajajitokeza na kukanusha?!

tuntemeke ni mkusanyiko wa vilaza wanne,mtela mwampamba,juliana shonza ,habib mchange na zitto kabwe aka masalia hawa walikubaliana kuitumia hiyo ID, kuchafua chadema na viongozi wake.leo hawajawasiliana ndio mparuro au na ww ni masalia
 
Back
Top Bottom