masafa mapya ya tbc, star tv na channel ten

baraka muyabi

Senior Member
Aug 13, 2012
162
58
habari za jioni wana jammi forum wenzangu.natumai mu wazima kwa wale wagonjwa MUNGU atawasadia na mtarudi katika hali ya kawaida..leo nina tatizo moja tu kuhusu masafa/frequency za star tv, tbc1 na channel ten maana huku musoma na maeneo mengine ya nchi hatuzipati kabisa..natumia receiver ya media com, hivyo nilikua naomba mnisaidie hizo frequency..asanteni
 
mbona mimi nawapata kwenye frq zilezile ch10 4065/2848 tbc3893/3072 star 3884/4900
 
yah wanapatikana tbc wameongeza kidogo signal ukiwa na receiver kama ya gulf star unazipata zote za tanzania ila kwa media com startv inazingua ila tbc kama kawa
 
Back
Top Bottom