Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Gombe park sikanyagi mkuu si unajua nilikuwa kifungoni
Mwana usihofu twende zetu Gombe..........tehetehetehe
Gombe park sikanyagi mkuu si unajua nilikuwa kifungoni
Mwana usihofu twende zetu Gombe..........tehetehetehe
tanzania..nchi ambayo rais na wabunge wanajiandaa kucheza mechi. Rais ndiye refa na wakati kuna mgogoro mkubwa wa afya za raia.[/color]
aisee mnaishi nchi gani wakuu?
Mkuu Tatizo linaloikumba Tanzania kwa sasa ... Sio Mgomo wa Ma daktari, Sio mgomo wa waalimu, sio maadamano ya uamsho, sio udini, sio bendera ya nchi kutumika isivyo, sio ukabila , sio itikadi tofauti ya vyama ... Ni SEREKALI ILIYOKO MADARAKANI IMEPOTEZA UWEZO WOTE WA KUTATATUA MATATIZO YA WANANCHI!
Utatuzi mwingine wowote usio husisha Serekali kama Tatizo is simply escalating the Problem, delaying the problem or throwing it to a vicious circle .. Mark my word!!
Huwa sipendi unafiki kwanini hujifanye kondoo wakati wewe ni chui!!!! Dk. Ulimboka simpendi na sitaki kumsikia hata kidogo! Pesa kitu gani mpaka uwahukumu kifo akina mama na watoto wasio na hatia huku ulikula kiapo cha utii cha kumuhudumia mgonjwa mpaka dakika ya mwisho wa uhai wake.....!!!!????
mwaka huu tutayaona tusiyowahi kuyaona Tanzania.tusubiri tamko rasmi.
msinitukane jamani nimewaletea tetesi tu hebu na wewe endelea kutafuta ukweli.
najua mwajua nini kinatawala vyombo vyetu vya habari.
Si bure umerogwa wewe!!!!!!!!!
Je, kuna siku wewe ulimpelekea Dr. Ulimboka na madakitari wenie Chakula, au wao ni punda wanakula majani.
Je umeona hali ya Hospitali zeu jinsi ilivyo mbaya, au wewe mwenzetu unatibiwa India
Angalia hii
View attachment 57913
Kama bado hujatosheka. tupia jicho na hapa tena ndani ya jiji la DSM ni kilometa chache tu ufike Ikulu, yaani utadhani kama akina mama wamekusanyika katika msiba vile!!!!
View attachment 57915
Angalia na nyie mnavyonufaika kwa keki ya Taifa, badala ya kuigawa tule wote mnakula peke yenu.
View attachment 57916
Msitake kuturubuni na Siasa ili wananchi tuone kuwa Madr. wanataka mishahara mikubwa, NOOOOOOOOOO!!!
Wanataka na mazingira mazur ya kufanyia kazi zao ambazo ni kuboresha huduma za Hospitali za Serikali ambazo ndilo kimbilio letu walalahoi.
Ndugu kabla ya kuweka Comments zako ni heri utafakari hapa sisi sio wale wazee wa DSM.
"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM....."
HIKI NI KIZAZI KIPYA....... KILICHOELIMIKA...... HATUJASOMA CHUO CHA SIASA KIVUKONI....
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Mwenye macho ahambiwi tazama hali sasa ni mbaya. kwa kila hali tutegemee kupokea kauli ngumu na ya maamuzi ya haraka. Watanzania sidhani kama tutavuka hapa. Hii ni kutokana na migomo ya madaktari, Walimu wako njiani na kada nyingine. Watanzania tuwe macho
binafsi sijaukuelewa kabisa..
[/COLOR]
aisee mnaishi nchi gani wakuu?