Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

Mnataka kuchafua majina ya watu bila ushahidi wowote humu,hiyo CPA inaonekana ulisoma kupasi mtihani tuu na hakuna kitu unajua ndio maana umekosa kazi, Bashite na Makonda ndio wana operate katika hii level ya niletee majina yao,next time tumia akili kutatua matatizo sio majungu
 
Sikuhizi hata Majina Yamebadilika Ofisi tunaitwa

CPA Joseph Mbilinyi
CPA Godbless Lema
CPA Kubenea

Daah! raha Sana hii board inaheshimika Sana.
Hiyo CPA yako mwisho Julias Nyerere International Airport,ukienda kwa watu hakuna anaeitambua hiyo body yenu,
Pili Wahasibu ni watu wa majungu sana,wenyewe kwa wenyewe hampendani
 
CPA(T) yenyewe mpaka uwe na Capacity kubwa ya kukariri maswalii ya nyuma ndo maana Kuna Review Class kibao! But wakija maofisin utacheka ufe! Boreshen kwanza CPA yenu ndo mje
Kajiwe langu moja ya Bcom Finance hao CPA hawaniniambii chochote
 
View attachment 596137

Pamoja na tangazo hilo la NBAA kwa waajiri wote Tanzania, bado kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa sheria hiyo ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu.

Katika makampuni mengi utakuta idadi kubwa ya wakaguzi hesabu, wahasibu, na mameneja fedha (wenye asili ya Asia, Wakenya, na baadhi ya Watanzania) wasio na CPA(T) wala ACCA.

Bado idara ya Uhamiaji imeshindwa kufanya kazi yake kiufasaha-kudhibiti raia hawa wakigeni wasio na sifa wala uwezo kuja kuchukua fursa za ndugu zetu wenye sifa tajwa na NBAA.

Hapa ndio utaona tofauti iliyopo kati ya ACCA na CPA(T), wenzetu waingereza wamefanya propaganda ya maana kufanya cheti chao kutambuliwa na kuheshimika kimataifa, lakini NBAA imeshindwa kusimamia cheti chao.

Hili limenipelekea mara mbilimbili kujiuliza kazi za NBAA-Tanzania.

Ni wito wangu, kwenu wanajamvi kutoa orodha/majina ya wafanyakazi wote Kwenye nafasi za Umeneja wa Fedha, Wahasibu/ wakaguzi wa Mahesabu wasio na CPA(T), wala ACCA waliopo kwenye makampuni mbalimbali hapa hapa Tanzania:- tajeni majina yao na kampuni zao hapa nami nitayakusanya na kuyapeleka NBAA wayafanyie kazi:-

Naanza na jina la kwanza:-

01. Dickson (Raia wa Kenya, kampuni ni Baker Tilly GDPl - huyu alikuja Kukagua bodi ya Mikopo kama Auditor, alisumbua sana kumbe hana CPA (T) ni Graduate tuu)
2.
3.
Mkuu sorry, naomba kufahamu CPA (T) au ACCA, I mean ufafanuzi wake kidogo
 
CPA(T) yenyewe mpaka uwe na Capacity kubwa ya kukariri maswalii ya nyuma ndo maana Kuna Review Class kibao! But wakija maofisin utacheka ufe! Boreshen kwanza CPA yenu ndo mje
Kajiwe langu moja ya Bcom Finance hao CPA hawaniniambii chochote
Acha wivu kijana :):):), C.P.A anabonda mshahara mrefu kuzidi degree, O
 
Mkuu sorry, naomba kufahamu CPA (T) au ACCA, I mean ufafanuzi wake kidogo
ACCA Association of Chartered Certified Accountants) is the global bod
Can someone explain this in English?
ACCA stands for Association of Chartered Certified Accountants, It is the global body for professional accountants based in United Kingdom. They examine on application of IFRS/IPSAS, Tax issues, management accounting and business issues in general.

CPA stands for certified public accountant,it is professional certificate issued by National Board of Accountants and Auditors abbreviated NBAA. this based in Tanzania,there at Uhasibu House near by Maktaba and Kisutu Court

Both CPA and ACCA are professional certified accountant but one is international and other is local.

What else. I have both of them. So am international
 
Hiyo ni wapi mkuu kuwa specific sio unaongea ongea tu
uchache wa kitu una thamani, watu wenye c.p.a ni wachache hivyo demand yao ni kubwa so as their wages , wanaomaliza degree wapo wengi mno kiasi kwamba hata demand yao imekuwa affected so as their wages, Just imagine kila mwaka kuna lundo la wahitimu wa degree linazidi kuongezeka na vyuo vinazidi kuongezeka, This is bad, Nimeshuhudia degree waliobahatika kupata kazi bila experience wakipokea average ya 500,000 take home kwa sababu tu hawajafikia level za kuwa wahasibu ama finance officers kwa kukosa c.p.a, Kwa c.p.a bila experience niliona ana lalamika anapewa 1,200,000 home na akaacha kazi hio sehemu maana kiukweli alikuwa hatendewi haki, C.p.a average wengi haishukagi 1,500,000 take home.
 
ACCA Association of Chartered Certified Accountants) is the global bod

ACCA stands for Association of Chartered Certified Accountants, It is the global body for professional accountants based in United Kingdom. They examine on application of IFRS/IPSAS, Tax issues, management accounting and business issues in general.

CPA stands for certified public accountant,it is professional certificate issued by National Board of Accountants and Auditors abbreviated NBAA. this based in Tanzania,there at Uhasibu House near by Maktaba and Kisutu Court

Both CPA and ACCA are professional certified accountant but one is international and other is local.

What else. I have both of them. So am international
ACCA is global but almost every country has it's cpa board, in Tanzania we have tourheir own cpa board so as in kenya , usa, sri lanka, etc
 
uchache wa kitu una thamani, watu wenye c.p.a ni wachache hivyo demand yao ni kubwa so as their wages , wanaomaliza degree wapo wengi mno kiasi kwamba hata demand yao imekuwa affected so as their wages, Justimagine kila mwaka kuna lundo la wahitimu wa degree linazidi kuongezeka, This is bad, Nimeshuhudia degree waliobahatika kupata kazi wakipokea average ya 600,000 take home kwa sababu tu hawajafikia level za kuwa wahasibu ama finance officers kwa kusosa c.p.a, Kwa c.p.a mtu niliona ana lalamika anapewa 1,200,000 take home na akaacha kazi hio sehemu maana kiukweli alikuwa hatendewi haki, C.p.a average wengi haishukagi 1,500,000 take home.
Ndio maana nikakwambia kuwa specific,unajua kama CPA atakayeajiriwa leo na Magu atalipwa take home ya laki 5,na kama anadaiwa na bodi atakula 350,000?na pengine baada ya miaka mi4 au mi5 atapandishwa daraja na kulipwa take home laki 7 na kama anadaiwa na bodi atakula laki tano na nusu?

Halafu huo uchache unaousema sio kiviile,CPA tushakuwa wengi,na kuwa watu hawana kazi au wanakazi za kisenge
 
Did I clarify different from what you put?au ni kutaka kuonekana tu umemjibu Okwi
C,P.A sio ya Tanzania tu, Maelezo yako hayapo sawa
kk.png
 
Back
Top Bottom