Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Kuna kauli za kichochezi.....na visasi hapo! Tuwe makini!
Hii nchi naona albadir inaendelea kufanya kazi....!! Kuna RC Paulo Makonda hana vyeti lakini ndiye anayemsimamia Mkurugenzi wa Jiji, Mweka Hazina na Mchumi wa Jiji ambao mnataka wawe na CPA!! Naona tunaongea ujinga hapa. Mmefukuza watu hawana vyeti vya F4 na F6. Sasa mnaanza kuchokonoa sijui CPA....! Kwanza tumalize hili la Daudi Bashite la vyeti ndo twende kwenye CPA......Otherwise we must be joking!