Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
dizayn kama dem ni mkubwa kiumri.......!
jamani jamani shem.......mambo vipi.....hiyo avatar hiyo....nimeikubali
dizayn kama dem ni mkubwa kiumri.......!
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?
Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.
ndo akina nani hawa?
post ya 2011!Write your reply... hongera sana kwao
Kwa sasa wakomae tu na ndoa yao,kama wangefuata ushauri wako wangeshamwagana kama walivyofanya gadner na Jide(kila mtu apambane na hali yake ukiiga za wengine utaharibikiwa bila sababu)kila la heri ndugu zangu. mkiweza kuiga mfano wa jide na g habbash itawasaidia sana. ili msiige ya mwisho na ray c.
Nyonga hiyo;
YouTube - Besta - Kati Yetu
Mmeshaanza majungu!