The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
nilipokuwa form two,kuna mshikaji wangu mmoja alipata kesi ya kumpa mimba msichana
kwa sisi wengine tulikuwa na wasiwasi mno jamaa atafanyaje,baada ya wiki jamaa akaja kutusimulia
yaliyotokea...akatuambia yeye na gf wake walienda clinic ya marie stpoes,wakasema wanataka kutoa mimba..
mapolezi,wakalipia gharama na risiti wakapewa,akatuonesha...
sikubuki now kilichoandikwa kwenye risiti...na baadae huyo msichana akafanyiwa abortion....
sasa later on ukubwani niliwai soma kwenye magazine moja kuwa hizi taasisi au clinic za marie stopes
ni clinic maalum kwa wanaotaka kutoa mimba...ni za wanaharakati wanaotetea utoaji wa mimba
sasa hapo kidogo ndio najiuliza
je hapa tz hawa marie stopes wana operate kwa vibali vipi?
na je ni kweli wanatoa mimba bila kificho????
sheria zetu zikoje?na kwa nini kama hawa wapo tena kwa uwazi,wapo wadada wanahatarisha maisha yao kwa
kutoa mimba vichochoroni???????