Marie stopes na utoaji mimba....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
nilipokuwa form two,kuna mshikaji wangu mmoja alipata kesi ya kumpa mimba msichana
kwa sisi wengine tulikuwa na wasiwasi mno jamaa atafanyaje,baada ya wiki jamaa akaja kutusimulia
yaliyotokea...akatuambia yeye na gf wake walienda clinic ya marie stpoes,wakasema wanataka kutoa mimba..
mapolezi,wakalipia gharama na risiti wakapewa,akatuonesha...
sikubuki now kilichoandikwa kwenye risiti...na baadae huyo msichana akafanyiwa abortion....

sasa later on ukubwani niliwai soma kwenye magazine moja kuwa hizi taasisi au clinic za marie stopes
ni clinic maalum kwa wanaotaka kutoa mimba...ni za wanaharakati wanaotetea utoaji wa mimba

sasa hapo kidogo ndio najiuliza

je hapa tz hawa marie stopes wana operate kwa vibali vipi?

na je ni kweli wanatoa mimba bila kificho????

sheria zetu zikoje?na kwa nini kama hawa wapo tena kwa uwazi,wapo wadada wanahatarisha maisha yao kwa
kutoa mimba vichochoroni???????
 
Uchochoroni lazima itakua cheaper..

Kuhusu sheria ...sheria zetu zikafanya kazi toka lini?!

marie stope iko chini ya sheria...
na kama wanafahamika kuhusu arbotion tena duniani kote....
nauliza hapa sheria za kuwapa kibali tanzania zinasemaje?
na mbona wanafanya kwa uwazi tu kama wanavunja sheria?
 
marie stope iko chini ya sheria...
na kama wanafahamika kuhusu arbotion tena duniani kote....
nauliza hapa sheria za kuwapa kibali tanzania zinasemaje?
na mbona wanafanya kwa uwazi tu kama wanavunja sheria?
Mkuu hii post yako ni nzito sana! hivi inawezekana Abortion bongo ikawa ni legal?
 
jiulize wewe hapo..

hawa watu wapo na wana operate miaka mingii mno tanzania..
Tunahitaji more details kwa anaewaelewa zaidi, unajua pengine wamepewa kibali ili kutoa zile mimba hatarishi tu, lakini wameamua kuextend business beyond contract (just guessing, cant b sure on this)
 
Tunahitaji more details kwa anaewaelewa zaidi, unajua pengine wamepewa kibali ili kutoa zile mimba hatarishi tu, lakini wameamua kuextend business beyond contract (just guessing, cant b sure on this)

mkuu kama dunia nzima wanasifika kwa kutoa mimba
zozote zile,na hapa tz mpaka wanafunzi wanakwenda

sasa aliewapa kibali alitumia vigezo vipi?
 
mkuu kama dunia nzima wanasifika kwa kutoa mimba
zozote zile,na hapa tz mpaka wanafunzi wanakwenda

sasa aliewapa kibali alitumia vigezo vipi?
Infakt mkuu u have a point hapo! na naunga mkono hoja yako lakini on the other hand nadoubt kwamba nchi kama Tanzania sidhani kama inaweza ikahalalisha utoaji mimba wazi wazi kabisa, ndio maana nasema labda kuna some excusable background information ambazo zilitumika kuwasajili. All I can say is, it is complicated
 
Marie Carmichael Stopes (15 October 1880 – 2 October 1958) was a British author, palaeobotanist, campaigner for women's rights and pioneer in the field of birth control. Stopes edited the newsletter Birth Control News which gave anatomically explicit advice, and in addition to her enthusiasm for protests at places of worship this provoked protest from both the Church of England and the Roman Catholic Church. Her sex manual Married Love, which was written, she claimed, while she was still a virgin, was controversial and influential.

Marie Stopes
is an international abortion organisation that grew directly out of the early 20th century eugenics movement.
The modern organisation that bears her name, Marie Stopes International, works in over 40 countries. In 2008, there were 560 centres, including 5 in Bolivia, 9 in the UK, 10 in Australia, 25 in Kenya, 24 in South Africa, 48 in Pakistan and over 100 in Bangladesh.

Work in family planning
Stopes opened the UK's first family planning clinic, the Mothers' Clinic at 61, Marlborough Road, Holloway, North London on 17 March 1921.
In 1925 the Mothers' Clinic moved to Central London, where it remains to this day.
Stopes and her fellow family planning pioneers around the globe, like Dora Russell, played a major role in breaking down taboos about sex and increasing knowledge, pleasure and improved reproductive health. In 1930 the National Birth Control Council was formed.

BiblioPolit: Marie Stopes: Killing babies for profit
[h=3]·BiblioPolit: Marie Stopes: Killing babies for profit[/h][h=3]·BiblioPolit: Marie Stopes: Killing babies for profit[/h][h=3]·Marie Stopes: Killing babies for profit || Pro-Life Blogs[/h]
  • involved in the daily slaughter of unborn babies. ...
[h=3]·Marie Stopes: Killing babies for profit || Pro-Life Blogs[/h][h=3]·Cranmer: Marie Stopes, Hitler and eugenics[/h][h=3]·lifenews : Message: 10 Nov 99: "MARIE STOPES MUST STOP KILLING ...[/h][h=3]·Semi-conscious patients sexually abused at Marie Stopes abortion [/h][h=3]·Killing Unborn Babies Under Contract | Words on Life[/h]
 
Huku ZNZ wamepigwa ban kwa ajili hiyo ya utoaji wa mimba.
 
Nina mahusiano ya karibu na Marie Stopes Tanzania!
Ukiingia katika Hospital za Marie Stopes, utaona services zote za kawaida na Zaidi sana wao wanashughulika na Afya ya Uzazi.

Hakuna mahali utaona aidha kibali au maandishi yanayosema kuwa wanatoa mimba kisheria.
Tanzania hakuna sheria inayohalalisha jambo hilo.

Nijuacho mimi ni kwamba wao wanafanya kitu inaitwa PAC(Postal Abortion Care), ambapo abortion hiyo ni ile ambayo ni kwa afya ya mama, au ile iliyotoka involuntarily!
 
Sikubali au kukataa unachosema, ila ni kwamba kama kuna staff wanafanya mambo hayo, basi ni kwa uroho wa senti na kwa kutumia gia ya PAC kama nilivyoieleza hapo juu, ambapo kwa mujibu wa leseni yao wanaruhusiwa kufanya.
Ila nasisitiza, MST hawafanyi jambo hilo officially na peupe!
 
Ni kweli MS wanajihusisha na utoaji mimbe mchana na kweupe. Client akifika anasema; "nahitaji huduma ya family planning" basi washaelewana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom