Marie stopes na utoaji mimba....

Mimba ambazo ulikuwa hujapanga kupata, lakini imetokea.....yaani bahati mbaya!

Kwa mara ya kwanza umeniangusha sana leo................

Eti unasema hujapanga kupata mimba kwa umri gani hasa ulio nao mpaka usijue???
Kha KH umeniacha hoi kabisa
 
wewe acha ubishi
watu wameenda na kusema tunataka kutoa mimba
wakaambiwa lipia kiasi fulani,hakuna swali la ziada
na wakahudumiwa
Lakini hii inafanyika mitaani kote bila kujalisha ni Marie Stopes!
Pamoja na hayo, si kweli kuwa mtu anaenda OPD na kueleza shida hiyo, na kukatiwa risiti ya kutoa mimba...
Hayo mambo yanafanywa ki'dili zaidi na waroho wa pesa!
 
Umenikumbusha mwana akaenda kumaliza issue kama hiyo, tena huko huko. Walikuwa jirani na shule ya Arusha Meru sec, sijui kama bado wapo!?
Wakati huo nilikuwa form 3.
 
ninachouliza ni hiki<br />
kama kwa mujibu wa sheria tanzania hairuhusu utoaji wa mimba<br />
je hawa wana operate kwa sheria zipi???????
<br />
<br />

Nadhan wanaoparate kinyume cha sheria. Kwakuwa zoezi zima ni siri, inakuwa ngumu kuchukua hatua. Ni kama rushwa vile!
 
hao ni ma expert kwa shughuli ya utoaji mimba!mashaka yangu si uhalali wa wanachokifanya
mashaka yangu ni je? watoaji mimba maeneo hayo wanatoka salama hapoo?
coz mishemishe yenyewe inafanyika kiwiziwizi nahisi harufu ya umauti hapo!!!!!!​
 
mimi nasikia sio kwa kificho kabisa....
watu wengi wamenieleza hivyo
 
mimi nasikia sio kwa kificho kabisa....
watu wengi wamenieleza hivyo


Ni common knowledge kua Marie Stopes wanajishughulisha... yaweza kua
wafanyakazi wake but at the end of the day they work there.... They
are said wako efficient and reliable... Source.... Reliable...
 
Back
Top Bottom