Mariam Migomba wa TBC

Ha ha ha ha ndio maana nimekuita "mmbeya wa mujini"....Kweli wewe kipaji,vipi ulisoma enzi za shule za vipaji maalumu Nifah "An old Lady of Turin"
Hahahahahaaa hiki kipaji tu mkuu.
Mimi nimesoma shule za kata za Mzee wangu kipenzi Lowassa.
Sifa kubwa ya mbea lazima uwe na IQ kubwa.
:p:p
 
Hahahahahaaa hiki kipaji tu mkuu.
Mimi nimesoma shule za kata za Mzee wangu kipenzi Lowassa.
Sifa kubwa ya mbea lazima uwe na IQ kubwa.
:p:p
Kweli mbea IQ inahuuu...vipi yule Meneja wa Procurement Twiga Cement kule wazo bado hujamkubali tu?inamaana hutaki kuhongwa Verosa?au hupendi maboss
 
de9285ecb3ec390d13c13241a38c773a.jpg
 
Kweli mbea IQ inahuuu...vipi yule Meneja wa Procurement Twiga Cement kule wazo bado hujamkubali tu?inamaana hutaki kuhongwa Verosa?au hupendi maboss
Mhhhhhhh meneja yupi huyo?
Hii ni mpya kwangu!
Kweli.
 
barafu ndio mimi chief!, usimumunye maneno! Nifah kakaa kimya hadi sasa.
Mkuu UngaUnga I salute U in the name of my ancestors!!Kweli ulirusha ndoano kwa gear ya Meneja Ugavi pale Twiga Cement Wazo Hill,Vipi sera zako zimeeleweka?au ndio kama UKAWA kwa Wagogo wa Dodoma,licha ya kuwa ombaomba na wala viwavi jeshi hawahitaji sera mbadala
 
mkuu, barafu, hoja yako nimekuelewa, ila HAPO ULIPOWEKA UKAWA NA KUKASHIFU SERA ZAKE!, Umeharibu maana nzima ya ujumbe wako!, siasa ni jukwaa la siasa!...

Back to the topic Sikupata jibu chief, nilimwendea pm, manyoya! nahisi nilifanya kosa pia kutupia kwenye wall yake. na pia hadi wewe kufika kwenye wall yake na kusoma ujumbe wangu kwake, pia na wewe kuna kitu unataka toka kwake! kuwa open joh...
 
wabongo kwa kukandia tu mmezidi.....mungu angewapa uwezo wa kuuumba sijui wenza wenu wangekuwaje?
nafahamiana nae mdada mzuri sana kwa sura ila tu anazungumza sanaaaaa na anapendezea maisha ya ukewenza!
Mzenji huyo maana ndio wenyewe wa ukewenza.
 
mkuu, barafu, hoja yako nimekuelewa, ila HAPO ULIPOWEKA UKAWA NA KUKASHIFU SERA ZAKE!, Umeharibu maana nzima ya ujumbe wako!, siasa ni jukwaa la siasa!...

Back to the topic Sikupata jibu chief, nilimwendea pm, manyoya! nahisi nilifanya kosa pia kutupia kwenye wall yake. na pia hadi wewe kufika kwenye wall yake na kusoma ujumbe wangu kwake, pia na wewe kuna kitu unataka toka kwake! kuwa open joh...
UngaUnga naona kama umenisoma vibaya na hujaelewa ujumbe wangu...sijawaponda UKAWA...ila nimeelezea tu kuwa sbb wale wa Dodoma hawalewi sera za UKAWA licha ya ahadi nzuri,ni kama vile Nifah asvyoelewa sera zako japo ni nzuri
Kuhusu mimi na Nifah mpaka kwenye Wall yake,hatujakutaana barabarani...tena urafiki wetu si wa kusalitiana kama wa Lowassa na JK
 
pyee babu weeh sura limekukomah kaa bamia la lamu
loo kama una pumu kamulie chooni mzi wakuingie mdmoni
unakaa kazi kumzushia mwana wa mwenzio kuwa ni mlevi chefuuu fanya yako una nin jogoo wa kuchora?
Kha....so kwa jichambo hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom