Mariam Migomba wa TBC

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Jamani huyu mdada huwa ananiacha hoi jinsi anavyoongea na misemo
anayotoa pamoja na anavyorembua macho na mikono anaitingisha kwa madaha mwenzenu niko taabani,mfano juzi nilimsikia akisema "mwanamke kaletwa duniani kumpa mtu raha na sio karaha" n.k. Hapo wana jf wa bara mpo?? mnayajua?? Ombi langu kwa wana jf mwenye habari zaidi za huyu mdada atupe kama anakaa wapi?
Mtu wa Tanga au? namba ya simu n.k
 
Ni mke wa mtu, hivyo kama una lako jambo lipotezee kabisa. Hayo ni maneno tu ya kunogesha vipindi vyake.
 
Jamani huyu mdada huwa ananiacha hoi jinsi anavyoongea na misemo
anayotoa pamoja na anavyorembua macho na mikono anaitingisha kwa madaha mwenzenu niko taabani,mfano juzi nilimsikia akisema "mwanamke kaletwa duniani kumpa mtu raha na sio karaha" n.k. Hapo wana jf wa bara mpo?? mnayajua?? Ombi langu kwa wana jf mwenye habari zaidi za huyu mdada atupe kama anakaa wapi?
Mtu wa Tanga au? namba ya simu n.k

Boflo i hate taarabu!!!
 
1. Ni Mke wa mtu,
2. Anazidisha Manjonjo hadi inakuwa kero
3. TV yenyewe ina harufu ya CCM
4. Mpotezee:usa2:
 
wAULIZIE WATU WA SISIEMU NDIO ZAO NA HASA MKURU WA NCHI ANAHUSUDISHA SANA MAMBO YA MIPASHO.

WAZEE WA MIPASHO WA SISIEMU WATAKUPA DATA ZAKE
 
Na mimi huwa namzimia sana.

comment yako na avatar yako vimetulia kinoma
avatar25255_3.gif
 
Jamani huyu mdada huwa ananiacha hoi jinsi anavyoongea na misemo
anayotoa pamoja na anavyorembua macho na mikono anaitingisha kwa madaha mwenzenu niko taabani,mfano juzi nilimsikia akisema "mwanamke kaletwa duniani kumpa mtu raha na sio karaha" n.k. Hapo wana jf wa bara mpo?? mnayajua?? Ombi langu kwa wana jf mwenye habari zaidi za huyu mdada atupe kama anakaa wapi?
Mtu wa Tanga au? namba ya simu n.k

uwe unaenda Travertine Magomeni siku za taarabu kuanzia alhamisi mpaka jpili wana ratiba pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom