Marekani yawashambulia tena wanamgambo wa Houthi

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,330
Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa wawili wa Marekani wameliambia shirika la habari la Reuters.

Maafisa hao wanaozungumza kwa sharti la kutotajwa majina, walikataa kutoa maelezo zaidi.

===

US military is carrying out an additional strike against the Houthis in Yemen, a day after launching a wave of attacks on nearly 30 locations in the country to degrade the Iran-backed rebel group’s ability to strike Red Sea shipping, two US officials tell Reuters.

The officials, who speak on condition of anonymity, declined to provide further details.

According to two US officials who speak anonymously to The Associated Press to discuss an operation that hadn’t yet been publicly announced, the strike targeted a Houthi-controlled site in Yemen that they have determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk.

The first day of strikes on Friday hit 28 locations and struck more than 60 targets. However, the US determined the additional location, a radar site, still presented a threat to maritime traffic, one official says

Times of Israel
 
Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa wawili wa Marekani wameliambia shirika la habari la Reuters. .

Maafisa hao wanaozungumza kwa sharti la kutotajwa majina, walikataa kutoa maelezo zaidi.

Waliwapa taarifa mapema kuwa watashambulia hivyo wanywe wamalize kahawa mapema na wahamishe vitu na silaha zao visije vikaharibika au hata wao kuuawa.
Wamarekani siyo wakatili kiville, yaani ni kama Israel tu walivyowaambia wapalestina waondoke
 
Dah! Wanawapeleka Wahouth mdogo mdogo.
 
Waliwapa taarifa mapema kuwa watashambulia hivyo wanywe wamalize kahawa mapema na wahamishe vitu na silaha zao visije vikaharibika au hata wao kuuawa.
Wamarekani siyo wakatili kiville, yaani ni kama Israel tu walivyowaambia wapalestina waondoke
Mkeo sharti umwandae na umpe taarifa mapema! Otherwise, it might be an offence.
 
Pale Yemen atapiga majabali tu silaha zao huzigusi hata siku moja.

America kisha anza yeye kulalamika oh Iran oh sijui oh

Yemen kamwambia haipiti meli hapo Red Sea
 
Naona Jasusi bobevu la Yemen on the one and two wew ndo unae jua mahali siraha zilipo kulikua USA
ASANTE Adiosamigooooo
Pale Yemen atapiga majabali tu silaha zao huzigusi hata siku moja.

America kisha anza yeye kulalamika oh Iran oh sijui oh

Yemen kamwambia haipiti meli hapo Red Sea
 
Hakuna meli itapita kwenda ama kutoka israhell mulieke akilini hili

Zimepita meli ngapi mpaka muda huuu

As of 1700 GMT, however, there were still more than 290 commercial ships still in transit or underway in the Red Sea and Suez Canal waterways, of which 125 were oil, chemical, LNG or LPG tankers, according to S&P Global data.
 
Meli zinapita toka zamani ila hakuna meli itapita kwenda ama kutoka israhell

Kwahio hizo 290 zote zimeenda israhell
 
Back
Top Bottom