Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,333
Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita.

Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la usiku kwenye meli katika Bahari ya Arabia mnamo Januari 11.

Iran imekanusha kuwa na uhusiano wowote na kampeni ya mashambulizi ya Wahouthi katika Bahari Nyekundu ambayo yamevuruga biashara ya kimataifa.
---
The US Navy has reported that it seized weapons sent by Iran to resupply Yemen’s Houthi rebels last week.

The United States Central Command (CENTCOM) announced in a statement on Tuesday that US Navy Seals found the arms during a night-time raid on a ship in the Arabian Sea on January 11. Iran has denied any link to the Houthis’ campaign of attacks in the Red Sea, which have disrupted global trade.

The raid on a dhow near the coast of Somalia last week uncovered “lethal” advanced conventional weapons, the statement said. The Iranian-made ballistic missiles and cruise missile components were seized by the US forces.

The seizure comes at a time of rising violence in the region linked to Israel’s war on Gaza. The Houthis, who control most of Yemen’s Red Sea coast, have been attacking commercial ships that they say are linked to Israel or bound for Israeli ports. Launched in November, the offensive is, according to the Yemeni group, intended as defence of Palestinians.

Al Jazeera
 
Marekani na Uingereza wapuuzi sana walosema iraq ina silaha za sumu wakiachiwa hata mwezi wanaangamiza dunia wakaivamia Iraq na kumuwa Saddam Hussein, bure na silaha hazikupatikana.
 
Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la usiku kwenye meli katika Bahari ya Arabia mnamo Januari 11. Iran imekanusha kuwa na uhusiano wowote na kampeni ya mashambulizi ya Wahouthi katika Bahari Nyekundu ambayo yamevuruga biashara ya kimataifa.

Silaha wapate Marekani tena mbona kichekesho? Palestina tu wamezingiea na NATO, USA, UNO wanatumia silaha kuleta maafa makubwa kwa Isreal
 
Marekani na Uingereza wapuuzi sana walosema iraq ina silaha za sumu wakiachiwa hata mwezi wanaangamiza dunia wakaivamia Iraq na kumuwa Saddam Hussein, bure na silaha hazikupatikana.
Kuna siku raia wa Marekani watakuw wakimbizi ktk mitaa ya Manzese. Hii dunia yupo mwenye alieiumba
 
Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la usiku kwenye meli katika Bahari ya Arabia mnamo Januari 11. Iran imekanusha kuwa na uhusiano wowote na kampeni ya mashambulizi ya Wahouthi katika Bahari Nyekundu ambayo yamevuruga biashara ya kimataifa.

Wamarekani na mazayuni siwaamini kwa chochote wanachosema.

Wanajitafutia uhalali tu wakuwauwa Wayemeni ili waisike vizuri mifereji na njia za mafuta wakati wa Yemeni hawakuuwa hata mtu mmoja, wao wanazuia meli zinazokwenda kusaidia Wapalestina tu kuuliwa.

Wamarekani ni mashetani wasioaminika, hao hawakupendi mpaka uwe shoga mwenzao. Na hata ukikubali kuwa shoga mwenzao bado watataka wao tu ndiyo wakuoe.

Hata iwe ni ukweli, wao wanapeleka silaha ngapi kila siku, mzayuni auwe Wapalestina?
 
Hakuna meli itapita ama kutoka au kuingia israhell

Yaani upite barazani kwangu uende ukaue ndugu zangu halaf nakuangalia tu hili halipo na halikubaliki

Houthi mzigo mwengine unakuja wala msiwaze yaaani

Safari hii tunaleta ule mzigo ukitwanga moja tu ngarawa inazama

Houthi kundi teule!
 
Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la usiku kwenye meli katika Bahari ya Arabia mnamo Januari 11. Iran imekanusha kuwa na uhusiano wowote na kampeni ya mashambulizi ya Wahouthi katika Bahari Nyekundu ambayo yamevuruga biashara ya kimataifa.

Marekani ni polisi wa dunia, kila bahari kubwa ana operation anaendesha huko.
 
Wamarekani na mazayuni siwaamini kwa chochote wanachosema.

Wanajitafutia uhalali tu wakuwauwa Wayemeni ili waisike vizuri mifereji na njia za mafuta wakati wa Yemeni hawakuuwa hata mtu mmoja, wao wanazuia meli zinazokwenda kusaidia Wapalestina tu kuuliwa.

Wamarekani ni mashetani wasioaminika, hao hawakupendi mpaka uwe shoga mwenzao. Na hata ukikubali kuwa shoga mwenzao bado watataka wao tu ndiyo wakuoe.

Hata iwe ni ukweli, wao wanapeleka silaha ngapi kila siku, mzayuni auwe Wapalestina?
Leo umeongea point,
 
Unawaponda Wamarekani huku umejichimbia Canada..
 
Mmarekani kutoa msaada wa kivita kwa Israel ni ishara kuwa wao hawana raia masikini? si wangelipa usd hata 100,000 salary per month kwa asiye na ajira kuliko kutumia kodi vibaya?
 
Back
Top Bottom