UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,333
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na vikosi vya kijeshi vya Marekani na Uingereza dhidi ya ngome zake zilizoko nchini Yemen.
---

The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat" to regional security.

The UAE foreign ministry on Friday said that it was worried about the consequences of the attacks on marine navigation in Bab Al-Mandab and the Red Sea, adding that such actions posed a threat to "international trade, regional security, and global interests", according to a report by Turkish news agency Anadolu Agency.

WHY ARE HOUTHIS ATTACKING SHIPS IN RED SEA?​

Notably, after Hamas terrorists attacked Israel on October 7, triggering Israel's assault on Gaza, the Iran-aligned Houthis began attacking shipping vessels heading towards Israel, saying they would not stop until Israel ceases its offensive.

US, UK STRIKE ON HOUTHI TARGETS​

The UAE's stand against the Yemen-based rebels followed military strikes by the US and UK on Houthi targets on Thursday in response to the militant group's attacks in the Red Sea.

After Thursday's strike, the US carried out another attack on Houthi targets on Friday. White House spokesperson John Kirby said the strikes were aimed at disabling the Houthis' capacity to store, launch, and guide missiles or drones, which, the US official said, were being used to pose a threat to shipping in the Red Sea.
 
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na vikosi vya kijeshi vya Marekani na Uingereza dhidi ya ngome zake zilizoko nchini Yemen.

Hawa ni kama kenge, bila damu kutoka masikioni huwa hawasikii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Houthi wanapaswa kuzidisha mashambulizi kwa kila meli ya nchi yoyote maana dunia imejifanya haielewi kile kinachotendwa na waisrael dhidi ya Wapalestine miaka yote sasa dunia inapaswa kulazimishwa kuelewa.
Dunia imeelewa .
Kila kona mpaka Amerika ya Kusini mataifa kama Chile,Cuba,Brazil,Venezuela,Colombia zimekata mahusiano ya kidiplomasia na Israel mpaka Spain na Belgium pia.
Majuzi Biden akiwa anahutubia raia wake wenye asili yake wamempigia kelele za ceasefire in Gaza na kumwambia kama anajali demokrasia asianze na kum condemn Trump aanze na Israel.
Ila wenye maslahi yao(USA,UK) wameziba masikio.
Pia watanzania wanaoshabikia hao waisrael nawaona hawana akili maana hata raia wa mataifa yanayoisapoti israel wanapingana na serikali zao kuisapoti israel.
 
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na vikosi vya kijeshi vya Marekani na Uingereza dhidi ya ngome zake zilizoko nchini Yemen.

Yaaaanikikundichawahuni wa irani kimetaabishwaaa balaaa shikamoo usa
 
Dunia imeelewa .
Kila kona mpaka Amerika ya Kusini mataifa kama Chile,Cuba,Brazil,Venezuela,Colombia zimekata mahusiano ya kidiplomasia na Israel mpaka Spain na Belgium pia.
Majuzi Biden akiwa anahutubia raia wake wenye asili yake wamempigia kelele za ceasefire in Gaza na kumwambia kama anajali demokrasia asianze na kum condemn Trump aanze na Israel.
Ila wenye maslahi yao(USA,UK) wameziba masikio.
Pia watanzania wanaoshabikia hao waisrael nawaona hawana akili maana hata raia wa mataifa yanayoisapoti israel wanapingana na serikali zao kuisapoti israel.
Lakini hao magaidi wamewauwa watanzania kikatili sana kwa deni lisilo lao lakini kwa unafiki watu hamlioni hilo ila mnaona kufa kwa wapalestina tu. Very stupid.
 
Watanzania au mtanzania?
Ila ripoti zaonesha kifo chake ni athari ya shambulio la anga la Israel.
Lazima tulione la Palestina kwasababu ndipo penye uzito.
Ni zaidi ya miaka 50 mabwana zenu USA na UK wamekua wakiifadhili Israel kisilaha na fedha ya bajeti ya nchi kufanya ukandamizaji wa hao wapalestina.
Isingelikua Israel oppression hayo yote yasingetokea.
 
Lakini hao magaidi wamewauwa watanzania kikatili sana kwa deni lisilo lao lakini kwa unafiki watu hamlioni hilo ila mnaona kufa kwa wapalestina tu. Very stupid.
Walishirikiana na mazayuni kuua wapalestine ulitaka waachiwe
Fyagia tuuuuu
 
Back
Top Bottom