Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
He spoke on behalf of the nation.Yeye sasa hivi hana lololote kawa kama gari bovu. Leo ni serikali ya Biden. Pompeo huenda akachezea jela na yeye
He spoke on behalf of the nation.Yeye sasa hivi hana lololote kawa kama gari bovu. Leo ni serikali ya Biden. Pompeo huenda akachezea jela na yeye
watu hewa wamezuiwa kwenda marekani? Siamini Taifa kubwa hivi linashindwa kutoa taarifa kamili. Naipenda Marekani na siamini taarifa hii! It is too low!Watu hawaelewi wanafikiri ni kuzuiliwa kwenda US tu - hii ngoma inakwenda mbele zaidi kwamba US haitapokea traces zozote za ndugu zako wa damu, watoto wako, mzigo ama order yoyote toka Marekani kwa jina lako milele - hadi watakapoifuta hatua hii
Kumbuka kwamba hii ni individual - hata ukiacha kazi serikalini leo bado adhabu ipo palepale mpaka itakapotenguliwa ! - kwa hiyo kama ulikuwa na mtoto wako, ndugu yako wa damu anasema unakwenda na maji - jiandae kumpokea
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
View attachment 1681412
Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
___________________________________________________
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.
Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.
Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.
Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.
Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.
Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.
''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo
Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.
BBC.
Biden is going to rescind a lot of Trump's executive orders starting today. American politics are new to you m8eHe spoke on behalf of the nation.
Ndio maana Trump hajafungwa jela kwa tuhuma za uchochezi.Angekuwa yupo Tz angeitwa centro.Lkn katiba inasema Mnataikiwa muheshimu UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,JE KWA KUFANYA HIVYO HUONI WAMEENDA KINYUME NA KATIBA.
KWANI HAKUNA ALIYE JUU YA KATIBA.
JE Bashite?Wamebugi awa lini na lini magu akaenda nje ya nchi
Ulichokiandika una uhakika nacho? Trump kesi yake ipo senate na lazima safari atapatikana na hatia. Halafu Attorney General wa DC anamchunguza kuhusu kesi nyingi na hiyo ya uchochezi sasa ihvi muda usiozidi saa moja na nusu atakua raia wa kawaida subiri utitiri wa kesiNdio maana Trump hajafungwa jela kwa tuhuma za uchochezi.Angekuwa yupo Tz angeitwa centro.
Trump alikuwa anawachochea wafuasi wake wafanye fujo.Aliwachochea wafuasi waje wakanye mavi katika jengo la bunge.Ndio maana kafungiwa.
JE Bashite?
Mimi nasema hivi pale Marekani hakuna aliye juu ya sheria.Ata ukiwa Rais ukivunja sheria unashughulikiwa.Ulichokiandika una uhakika nacho? Trump kesi yake ipo senate na lazima safari atapatikana na hatia. Halafu Attorney General wa DC anamchunguza kuhusu kesi nyingi na hiyo ya uchochezi sasa ihvi muda usiozidi saa moja na nusu atakua raia wa kawaida subiri utitiri wa kesi
Neno hili nikisikia mtu analitamka huwa nasikia kinyaa.Kimenuka !
Wamewachukulia hatua gani walioiba kura za Trump? Ukiweza kujibu hili utajua nini maana ya demokrasi kuwa tofauti..What kind of democracy,which lives by undermining others?
Pompeo kagusa pasipo gusika.Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
Na alikuwa apori ushindi, wala aibi kura!Usimfananishe Nyerere na vidubwana vya ajabu. Nyerere aliishi na mataifa makubwa kwa akili licha ya kutofautiana nao kiitikadi.
Haina noma Pompeo nae kapigwa stop asikanyage ChinaKupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
View attachment 1681412
Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
___________________________________________________
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.
Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.
Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.
Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.
Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.
Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.
''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo
Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.
BBC.
Sasa hizo nchi ulizozitaja hapo ni zimekewa vikwazo vya kiuchumi nchi kama nchi(yaani serikali kuu) na siyo viongozi mmoja mmoja.Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep
Odhis *
Sasa hizo nchi ulizozitaja hapo ni zimewekewa vikwazo vya kiuchumi nchi kama nchi(yaani serikali kuu) na siyo viongozi mmoja mmoja.Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep
Odhis *
Punguza stress kamanda, hatuwezi kuiga toka MarekaniUjinga mzigo!! mnafananisha mifumo ya Nchi za watu wenye akili na huu ujinga wenu kila Rais akiingia madarakani ili aendelee kuiba nakusaga bongo za wajinga anaingia na maulimbiu yakipuuzi kabisa
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app