Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
is it just a coincidence or is it a made up phenomenon?
What's the difference there?
is it just a coincidence or is it a made up phenomenon?
RIP Nyaulawa. Poleni wafiwa.
Hii habari ya wabunge watatu wa jimbo hilo kufariki kabla ya kumaliza muda wao, inaweza kuzua maswali.
Poleni sana familia na wana Mbeya Vijijini. Hakushiriki pia kuanzisha ACB?+Bussiness Care nk? Nani kumrithi kupitia CCM yetu? Najua pale CHADEMA hawana chao, sio kama Tarime
.....ndiyohiyo
Wenzetu wakristo wanasemaga bwana ametoa na bwana ametwaa
Ingawa huyu Mh wengi wetu tulikua hatumjui sana, kinachonisononesha mi binafsi ni kwamba siku zote wabunge wazalendo ndo wanatutoka sijui ni kwa nini?!. Wabungu walio katika Orodha ya Mafisadi wakubwa 11 wapo hai na wanapumua vizuri. Sijui kwa nini mungu awatangulizi hawa kwanza!
Richard Nyaulawa Rest in Peace we are coming all soon!
Amin