Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Sio confirmed kwamba watajwa ni mashoga. Ila rumour has it kwamba HUENDA wakawa wanajihusisha na hako katabia korofi kutokana na vitabia flani wanavyovifanya. Kwan kuna alietegemea kuwa Michael Scofield wa Prison Break anaweza kuwa punga?
Hivi Michael anakula au analiwa?
Daaaaah hizi mambo bwana?
 

Attachments

  • IMG_20160425_122126_855.JPG
    IMG_20160425_122126_855.JPG
    30.8 KB · Views: 92
Uongo mtupu hii thread
Sio lazima uamini. After all hawa jamaa wako kibao tu mtaani tunaishi nao. Ila ni wachache sana wenye ujasiri wa kujitangaza hadharani about this odd sexual orientation kama alivofanya Frank Ocean ama Elton John
 
Jay Z ashawahi kusema kuwa "You are not a celebrity until gay rumours starts". So maybe this is all horsesh*it!
 
Hahahaaaa. Eti mwanahisabati
Wote hao mgegedi na mgegeduluwaji ni masho ila kwa kiswahili tunawapambanua mgegeduliwa punga ,mngese,mweupe,mchicha mwiba ,baradhuli na mgegedua basha ,mende,mwanahisabati!
 
The fact ni kwamba sometimes wahusika huwa wanatumia gharama nyingi sana na wanafanya kila juhudi ili huu upuuzi wao usimwagike hadharani coz ikitokea hivo umaarufu wao, their social image na kazi zao za kiburudani zitaathirika vibaya..
 
Halafu ni rahisi sana kusema flani ni shoga maana si unasema tu.

Hata mimi naweza kusema Anko Magu naye ni.......

Huhitaji ushahidi wowote ule kuweza kusema chochote kile maana mdomo ni mali yako.

Which brings me to this point;

Saying it so, doesn't make it so.

Thus, saying Young Thug is gay or Bussa Bus is gay, that, in and of itself, doesn't make them gay.
Yaani wewe unaweza pelekwa mahakamani kujibu mashtaka!

Yaani unasema rais magufuli ni......
 
Possibility ya Kuwa Bisexual ni kubwa...ila kusema Mtu kama Dre ni Homo$exual hai-make sense..

Kwenye Hii list kwanini Macklemore hayupo?
macklemore alitoa tu nyimbo ya support haki za moshoga ila yeye mwenyewe sio gay na hajaonesha dalili za kua gay...kwenye ile wimbo kuna mstari amesema " I might not be the same, but that's not important No freedom 'til we're equal, damn right I support it"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom