Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Source? Vyanzo mbalimbali... weka bas hata picha kuzipa hizo madai zako nguvu... anyone can say anything
 
ah wapi, hakuna mshkaji gay hata mmoja hapo, ukitaka true and full list ntakuletea.
 
Busta lilivyo pande la mtu vile kwanza unalianzaje kulila kwa mfano.
Aah kama analiwa analiwa tu tena hao wababe anakuchukua watu wanajua anaenda kukubandua mkifika ghetto anaina kwa sauti ya kibabe anakwambia gonga hapa khalafu nisikie unatangaza.
 
Ni nadra sana kusikia wasanii wanaofanya rap kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hasa kutokana na nature ya muziki wenyewe unaoaminika kuwa ni muziki wa wagumu na watu wanao-stay real.

Hata hivyo kuna baadhi ya marapa ambao japokuwa hawajajitangaza hadharani kuwa ni 'gays', lakini mienendo na lifestyle zao zimepezimepelekea watu kuwatupia jicho la tatu na kuhis kuwa huenda majamaa ni 'homos'. Icheki listi hii:

1. Young Thug.
Rapa huyu kutoka Atlanta amekuwa na tabia ya kupost vitu kwenye social networks vinavyoashiria kwamba huenda jamaa ni homo. Amekuwa akipost picha ama videos akiwa kapakatwa na wanaume wenzake, ama akikisiana na madume wenzake huku posts zake nyingi amekuwa akiwaita marafiki zake wakiume 'bae'. Young Thug pia amekuwa na tabia ya kuvaa nguo zinazobanabana, zinazotelezateleza, zenye mauamaua na kung'aa sana kitu kinachoashiria kwamba huenda mchiz ni homosexual. Hata hivyo kuna baadhi ya wadau wa muziki wanadai kuwa jamaa unafanya hicho ili kupata attention ya watu na media ili aweze kupromote muziki wake.

2. French MontanA.
Licha ya hivi siku za karibuni kuwa karibu kimahusiano na Khloe Kardashian, wachunguzi wa mambo wanahisi kuwa Montana anajihusisha na mapenz ya jinsia moja na kitendo cha yeye kujiweka karibu na mademu wakali ni moja ya mechanism ya kujifanyia cover-up on who he really is.

3. Dr. Dre
Rapa na prodyuza nguli nae amejikuta akiingia katika orodha hii hasa kutokana na tabia yake ya kuwachukia mademu na skendo zake za kuwashushia vipigo mademu wanaojaribu kujenga ukaribu nae. Suge knight amewahi kutamka hadharani kuwa Dr Dre ana mpenzi wake anaeitwa Bruce ambae mara nying anakuwa around na mchiz. Dr Dre alipoikacha Ruthless Records mwanzoni mwa miaka ya 90, marehemu Eazy E alimchana mchizi kuwa ni 'homo' (a fag). Pia Dr Dre alipohama Death Row Records mnamo katikati ya miaka 90 marehemu 2 Pac alitoa siri kuwa jamaa ni 'gay' na alitoa ngoma kadhaa kuujuza umma kuwa Dre ni punga. Mojawapo ya track yenye hizo lyrics ni 'Toss it up' ambapo Pac kamchana live mchiz.

4. Lil Wayne
Licha ya tabia yake ya kupenda sana mademu kama anavyodhihirisha kwenye nyimbo zake nyingi, rapper huyu amekutwa akihusishwa na skendo za kuwa shoga hasa kutokana na kitendo cha kudakwa na kamera mara kadhaa akipigana mabusu na wanaume wenzake akiwemo meneja wake wa lebo ya YMCMB Birdman.

Pia Wayne alizusha maswali mengi kutokana na mavazi yake tata aliyovaa kwenye tuzo za MTV Awards za 2011 yaliyokuwa yakifananishwa na mavazi ya kike. Wataalamu wa mambo wanadai kuwa kajamaa ni ka-'bisexual'.

5. Busta Rhymes
Rapa huyu mkongwe kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na taarifa kuwa jamaa ni 'homo' japokuwa mara zote jamaa amekuwa akikanusha stori hizo.

Kwa hisani ya vyanzo mbalimbali!

Tupe na orodha ya mastaa wa hip hop wa bongo ambao ni mabwabwa, mapunga, aka mashostito tuwajue nao maana wapo wateja wa hizo mambo humu humu jf ili waanze kuwasaka mitaani fasta.
 
Yupo msanii mmoja wa bongo nikithibitisha kuwa ni shoga naweza nikawa mteja wake anytime, embu shusha orodha ya mashoga wa kibongo ambao ni mashoga tukawashughulikie mkuu
 
mkuu kuna ka ukweli hapo ila Dr Dre hai make sense kabisa. lil wayne ana vitabia vyake vya ajabu hata birdman alisema wayne alitaka atiwe na yeye birdman akakataa na drake nae aliombwa na wayne amtie mpini ila drake alikataa ndo maana akatoa album yake na ule wimbo take care ilokua ni specual kwa ajili ya wayne. halaf sijui kwa nini chama la YMCMB limekua ovyo hivi siku hizi majamaa kibao wametoka maskini tyga t raw alionewa kabisa pia bwana mkubwa wayne nae yule katika sintofahamu kubwa na Baba yake (not biologically) birdamab kwamba anataka kuondoka #YMCMB kisa birdman kakataa kutoa album yake i dont know what is gping on.
by way UKIMWI unaua R.I.P eazy e. i love west cost hip hop. compton"" holla. gaya are there naamini hilo japo weng hawasem ila wapo kibao wanajific tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom