Marafiki wa Isaac, aliyekuhumiwa kwa kumtukana Rais, wamchangia mil 4.5 ya faini

Hizi siasa zetu za oya oya, sijui zinatupeleka wapi, tunasapoti hata vitu vya kipumbavu.
 
nuliza tu hiyo m7 analipwa huyo aliyetukwana kama fidia au inachukua mahakama au inagawanywa ama inakuaje ati
 
Lubebenamawe
pambana na hali yako mkuu.

Povu linakutoka humu na haujachangia hata miaaaa either kwenye madawati wala kwa huyu ndugu yetu.

Kwa taarifa yako watu wametoa michango kama symbol ya kupinga utawala wa mabavu unaondelea wa kukandamiza haki za watu kujieleza.

Haki iko wapi, tutukanwe watanzania wote on national tv asishtakiwe mtu.
 
kweli watu wa arusha wanajiamini sana nimeamini.

Wabarikiwe na kuongezewa waliomchangia kijana wa watu.

Vipi na siye watanzania tulioitwa malofa?
Watuhumiwa watafikishwa mahakamani au kuna ambao wapo juu ya sheria.
Poleni sana, lia alafu unyamaze. Mtoto wa nyoka nae ni nyoka, mwananchi na mwananchi mwenziwe na vigogo kwa vigogo wenziwao, sijawahi kumuona kuku akispend pamoja na mbwa.
 
Hiyo faini katika hiyo kesi imekaa je wajameni. Miaka mitatu au milioni saba? mbona hizo pesa ni nyingi sana kwa miaka mitatu?.
Nimeamini Tanzania bado ingali ikitumia sheria kandamizi alizoacha mkoloni. Aliye ipotezea nchi bilion 11 hatakiwi kurudisha na badala yake anapewa msamaha kwa kufanya kazi za kijamii kwa wiki kidhaa. Watu wawili wanatumia neno lile lile bwege kwa nia ile ile ya kudhalilisha, mmoja anahukumiwa kulipa mil7 mwingine anaachwa huru huku akilindwa dhidi ya aliyedhalilishwa. Watoa haki (mahakama) jitathminini historia itakuja kuwahukumu.
 
Hiyo faini katika hiyo kesi imekaa je wajameni. Miaka mitatu au milioni saba? mbona hizo pesa ni nyingi sana kwa miaka mitatu?.
Nimeamini Tanzania bado ingali ikitumia sheria kandamizi alizoacha mkoloni. Aliye ipotezea nchi bilion 11 hatakiwi kurudisha na badala yake anapewa msamaha kwa kufanya kazi za kijamii kwa wiki kidhaa. Watu wawili wanatumia neno lile lile bwege kwa nia ile ile ya kudhalilisha, mmoja anahukumiwa kulipa mil7 mwingi anaachwa huru huku akilindwa dhidi ya aliyedhalilishwa. Watoa haki (mahakama) jitathminini historia itakuja kuwahukumu.
Kuwa mpinzani Africa yataka moyo
 
Back
Top Bottom