joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,193
- 31,827
Hizi siasa zetu za oya oya, sijui zinatupeleka wapi, tunasapoti hata vitu vya kipumbavu.
Wewe ni Khoisan!? Shule gani ulifundishwa hii lugha?xaf xana makanda,,,,,,Mungu atawalipa
Unapenda ligi isiyokua na kombe
Poleni sana, lia alafu unyamaze. Mtoto wa nyoka nae ni nyoka, mwananchi na mwananchi mwenziwe na vigogo kwa vigogo wenziwao, sijawahi kumuona kuku akispend pamoja na mbwa.kweli watu wa arusha wanajiamini sana nimeamini.
Wabarikiwe na kuongezewa waliomchangia kijana wa watu.
Vipi na siye watanzania tulioitwa malofa?
Watuhumiwa watafikishwa mahakamani au kuna ambao wapo juu ya sheria.
Ni faini ya mahakama kwa hiyo inakwenda mahakamaninuliza tu hiyo m7 analipwa huyo aliyetukwana kama fidia au inachukua mahakama au inagawanywa ama inakuaje ati
Hoja ipiLigi???!!!! I don't know kama hii ni ligi, mimi nawasilisha hoja, kama unadhani haya ni mashindano au ni ligi that's up to you...
Hoja ipi
Kuwa mpinzani Africa yataka moyoHiyo faini katika hiyo kesi imekaa je wajameni. Miaka mitatu au milioni saba? mbona hizo pesa ni nyingi sana kwa miaka mitatu?.
Nimeamini Tanzania bado ingali ikitumia sheria kandamizi alizoacha mkoloni. Aliye ipotezea nchi bilion 11 hatakiwi kurudisha na badala yake anapewa msamaha kwa kufanya kazi za kijamii kwa wiki kidhaa. Watu wawili wanatumia neno lile lile bwege kwa nia ile ile ya kudhalilisha, mmoja anahukumiwa kulipa mil7 mwingi anaachwa huru huku akilindwa dhidi ya aliyedhalilishwa. Watoa haki (mahakama) jitathminini historia itakuja kuwahukumu.
Zinaenda mahakamani ni fainiHizo hela anapewa alietukanwa au
Huo wa mheshimiwa diwan kumchangia aliemtukana raisKwa ushaidi upi
hata wewe ukitukana tutakuchangia usiwaze..Akitukana tena mtamchangia pesa zingine? Kwani Chadema ndiyo walimtuma huyu kijana kutukana?
Very chep hiyo sheria ya Makosa ya Mtandao kila mtu ni mhangaHuo wa mheshimiwa diwan kumchangia aliemtukana rais