Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,834
Ni mambo ya kiimani zaidi
hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingineBinafsi nimekuelewa sana.
Mungu Mkubwa .
Umemaliza yote Miss.hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingine
UKIONA UMEAMKA ASUBUHI MZIMA SHUKURU MUNGU JUA RIZIKI YAKO IPO TU.ILA NI VIZURI TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA
hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingine
UKIONA UMEAMKA ASUBUHI MZIMA SHUKURU MUNGU JUA RIZIKI YAKO IPO TU.ILA NI VIZURI TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA
Umemaliza yote Miss.
Ww jamaa ukisema mungu amekulisha mbona hapo somalia nchi jirani watu huwa wanakufa na njaa kila siku. inamaana mungu hajawaona ila amekuona ww tu ndio unanjaa sana.Nashukuruni sana hata kwa comments za kebehi. Kila jambo lina sababu yake. Majini si tatizo kwangu. Hayanipi shida maana si kitu cha kuniogipesha. Yenyewe yanapaswa kuniogopa mimi. Mungu hutumia watu ambao hata hatuwadhanii. Kama unasoma Biblia utakumbuka habari ya Eliya aliyelishwa na Kunguru.
Kukosa pesa huwa inatokea hata kwa mtu anayepokea mamilion kuna kipindi Mungu anataka tu aonekane kwa namna yake kwa vitu vidogo.kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotoea ni UPUUZI.1 wakor 6:18.
So nawaelewa ila nashukuru nimetimiza kushare nanyi hili jambo. Ukikaa ukafikiria kwa akili za kiroho kuna ujumbe mkubwa zaid ya huu unaouona. Mungu alimtumia mwanamke mjane wa Sareptha Kumlisha Eliya pia.
Anyway mimi si Eliya lakin nataka tu ujenge ufaham huo. Na pia kuondoa dhana chafu za sex wakat wote. Ukifikiria hivyo kila wakat utajikuta huna marafiki wa kike mnaoheshimiana maana we umeweka akilin sex tu
Bas huna haja ya kufanya kazi kwasababu utakula kwa miujiza.... Mmmh ulokole mtamu km bongo movie