Mara ya Nne leo nalishwa na Mungu. Miujiza na Mungu yupo

hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingine
UKIONA UMEAMKA ASUBUHI MZIMA SHUKURU MUNGU JUA RIZIKI YAKO IPO TU.ILA NI VIZURI TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA

[HASHTAG]#MPAWA[/HASHTAG] na kibubu vinahusika hapa!
 
Hawa jamaa wa Asia sinaga imani nao kabisa kukupaka kilainish na kukumega pole pole mpaka ushtuke umekula chao kidogo alafu wao wamekumega pakubwa
 
Wao wanakuletea chakula free wew unawapa nin!!
Jiulize hilo swali mara mbili mbili..
Hii dunia hamna cha bure ndugu
 
Kila mwanaadam anaridhiki yake, jichunguze uenda una vitu vya ziada ambavyo vinakuongoza bila ya kujua.
 
Nashukuruni sana hata kwa comments za kebehi. Kila jambo lina sababu yake. Majini si tatizo kwangu. Hayanipi shida maana si kitu cha kuniogipesha. Yenyewe yanapaswa kuniogopa mimi. Mungu hutumia watu ambao hata hatuwadhanii. Kama unasoma Biblia utakumbuka habari ya Eliya aliyelishwa na Kunguru.

Kukosa pesa huwa inatokea hata kwa mtu anayepokea mamilion kuna kipindi Mungu anataka tu aonekane kwa namna yake kwa vitu vidogo.kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotoea ni UPUUZI.1 wakor 6:18.

So nawaelewa ila nashukuru nimetimiza kushare nanyi hili jambo. Ukikaa ukafikiria kwa akili za kiroho kuna ujumbe mkubwa zaid ya huu unaouona. Mungu alimtumia mwanamke mjane wa Sareptha Kumlisha Eliya pia.

Anyway mimi si Eliya lakin nataka tu ujenge ufaham huo. Na pia kuondoa dhana chafu za sex wakat wote. Ukifikiria hivyo kila wakat utajikuta huna marafiki wa kike mnaoheshimiana maana we umeweka akilin sex tu
 
Unachosema ni sawa .wakati mwingne unapokuwa kwenye ujenzi unatupia huko pesa zote ili mradi nyumban wasikose chakula. Unajua sisi wanaume wakat mwngne tunapata shida kwa niaba ya familia kwa nia njema kabisa.

Unajikuta unajenga kakibanda kako chakula cha nyumban umenunua kwa mwezi pesa nyingne unawaza kuwa utaweka akiba.siku mbili tatu mafundi wanakwambua kuna kitu kimekwama unachukua akiba na kukopa kidogo ulipe mwisho wa mwezi ili wasisitishe zoezi la ujenz.

Umemaliza yote Miss.
 
Mkuu Chizi Maarifa nimekuelewa sana.
Ila nilichojifunza humu ni kwamba madogo wengi hawajui changamoto za maisha na wanadhani ukiwa na kazi unakuwa umemaliza. Kibaya zaidi wengine hata kazi hawana halafu wanajidai kuponda, heeheeeee kweli haya maajabu yako Tanzania tu.
 
Nashukuruni sana hata kwa comments za kebehi. Kila jambo lina sababu yake. Majini si tatizo kwangu. Hayanipi shida maana si kitu cha kuniogipesha. Yenyewe yanapaswa kuniogopa mimi. Mungu hutumia watu ambao hata hatuwadhanii. Kama unasoma Biblia utakumbuka habari ya Eliya aliyelishwa na Kunguru.

Kukosa pesa huwa inatokea hata kwa mtu anayepokea mamilion kuna kipindi Mungu anataka tu aonekane kwa namna yake kwa vitu vidogo.kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotoea ni UPUUZI.1 wakor 6:18.

So nawaelewa ila nashukuru nimetimiza kushare nanyi hili jambo. Ukikaa ukafikiria kwa akili za kiroho kuna ujumbe mkubwa zaid ya huu unaouona. Mungu alimtumia mwanamke mjane wa Sareptha Kumlisha Eliya pia.

Anyway mimi si Eliya lakin nataka tu ujenge ufaham huo. Na pia kuondoa dhana chafu za sex wakat wote. Ukifikiria hivyo kila wakat utajikuta huna marafiki wa kike mnaoheshimiana maana we umeweka akilin sex tu
Ww jamaa ukisema mungu amekulisha mbona hapo somalia nchi jirani watu huwa wanakufa na njaa kila siku. inamaana mungu hajawaona ila amekuona ww tu ndio unanjaa sana.
 
Una gari.
Unakula mara tano kwa siku.

Angalia upya mipango/ matumizi yako ikiwa unahitaji kua na hilo gari na kulilea au unahitaji kula mara tano kwa siku.
Pesa yako mi naona inaishia hapa ungeenda kwa mganga akakwambia kuanzia leo gari usitembelee na nguo mpya kununua ni mara mbili kwa mwezi na kula ni mara tatu tu hali yako ya kipato ingepanda ungekuja na kusema ama kweli waganga wa kweli wapo.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom