Hao mashahrobaro waambie waandae makarai ya kubebea sup
wakianza kupata supp wataanza kutia akili mtu chuo umefuata mapenzi au msuli? Wengine sasa ndio wamefika eneo la kujionyesawaache tu waige,nawaona tu wanavyoyarukia,..wapige sapu zao hizo tangu zaman,mi nawalia target mademu wa chuo,nasubiri subiri kwanza...
mkuu upo chuo gani? Kama vipi mwambie na wewe huna mkopo au mwambie una asilimia 5%mi ndo kwanza nimepata mchuchu....
Na kanambia eti hana mkopo!
Sa sijui itakuaje!
Mi ndo kwanza nimepata mchuchu....
Na kanambia eti hana mkopo!
Sa sijui itakuaje!
Kama unasoma SUA nawashauri waachane na hizi habari za mapenzi, Huwa mwanzo wa mwaka wa pili unaambatana na Vilio na kusaga meno, kutokana na matokeo ya mwaka wa kwanza. Bondi nyingi huvunjika hapo kwa wale survivors wenye mlolongo wa sup, baada ya kugundua mapenzi ndiyo chanzo cha hizo sup, na ni mungu kawanusuru wasi disco!