Mapenzi na chuo vyuo vikuu Tanzania

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Ndo juzi tumefungua na ni kua kila mtu katoka kwao hamjuani mana nimda mfupi sana na mfano ni hawa first year tayari ni bond na pairs::::hatukatai mapenzi......Ila kwa mda mfupi na tujadili pia katika elimu kuna madhara au inategemea::::::
 
Na ni kua kwa sasa kila mtu yuko juu zaidi eeeh;:::::mabinti::::kila mtu na demu wake;::ci unajua men
 
Hao mashahrobaro waambie waandae makarai ya kubebea sup

Kama unasoma SUA nawashauri waachane na hizi habari za mapenzi, Huwa mwanzo wa mwaka wa pili unaambatana na Vilio na kusaga meno, kutokana na matokeo ya mwaka wa kwanza. Bondi nyingi huvunjika hapo kwa wale survivors wenye mlolongo wa sup, baada ya kugundua mapenzi ndiyo chanzo cha hizo sup, na ni mungu kawanusuru wasi disco!
 
Dah ushauri mzuri::::::xsana::::unacemaje mwana jf
 
Hahahaaa...sua suasa suaso......away wapi Adness wangu weeee pale suasa club
 
waache tu waige,nawaona tu wanavyoyarukia,..wapige sapu zao hizo tangu zaman,mi nawalia target mademu wa chuo,nasubiri subiri kwanza...
 
tatizo sio mapenzi bali kama mwanachuo unajitambua kilicho kupeleka pale na muda wako unautumiaje ama ,acheni ulimbukeni
 
waache tu waige,nawaona tu wanavyoyarukia,..wapige sapu zao hizo tangu zaman,mi nawalia target mademu wa chuo,nasubiri subiri kwanza...
wakianza kupata supp wataanza kutia akili mtu chuo umefuata mapenzi au msuli? Wengine sasa ndio wamefika eneo la kujionyesa
 
Mi ndo kwanza nimepata mchuchu....
Na kanambia eti hana mkopo!
Sa sijui itakuaje!
 
Mapenzi siyakatai.....Ila kwa mda wa wiki mmependana jamani sie twatamaniana au
 
Kama unasoma SUA nawashauri waachane na hizi habari za mapenzi, Huwa mwanzo wa mwaka wa pili unaambatana na Vilio na kusaga meno, kutokana na matokeo ya mwaka wa kwanza. Bondi nyingi huvunjika hapo kwa wale survivors wenye mlolongo wa sup, baada ya kugundua mapenzi ndiyo chanzo cha hizo sup, na ni mungu kawanusuru wasi disco!

Mkuu inaonekana yalishakukuta haya mambo!!
 
Lakini ni kweli mtu mzima na mapenzi si sawa tu akiwa masomoni mana ni hitaji la body
 
mbna kawaida t mi niko mwaka wa 3 na nina mpenz na bado najua umuhmu wa masomo na nazingatia na cha muhimu ni kupima la sivyo i si mbalii inawahusu
 
Back
Top Bottom