Mapenzi na chuo vyuo vikuu Tanzania

Kama unasoma SUA nawashauri waachane na hizi habari za mapenzi, Huwa mwanzo wa mwaka wa pili unaambatana na Vilio na kusaga meno, kutokana na matokeo ya mwaka wa kwanza. Bondi nyingi huvunjika hapo kwa wale survivors wenye mlolongo wa sup, baada ya kugundua mapenzi ndiyo chanzo cha hizo sup, na ni mungu kawanusuru wasi disco!

Yani usijipanga flesh chuo lazima ujilaumu sana leter, hata kama ni mpenzi ni lazima upange mambo otherwise unajikuta sup kibao, unapigwa chini yani balaa tupu.
 
Mbilinyi ukimsaidia mwenzako so vibaya.....:.Mbona ye anakupa vyake
 
Mbilinyi ukimsaidia mwenzako so vibaya.....:.Mbona ye anakupa vyake
 
Back
Top Bottom