Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Bonge ya mwongozo. Muhimu ni kuwa wewe na usijifanye ww ni mtu wa kujionyesha, wanawake wananusaaaa haooo, they can smell u r a fake jst by z first sentences. First impression lasts.
 
Siku hatutongozi tunafanya kubeba tu. Jana nimekuta text kwenye simu yangu "hello" kutoka social network fulan nilipocheck nikavutiwa she was hot.. Amazing curves after 30 min of conversation nikavuta mzigo hao tukakutana zetu faragha. But it left with alot of qs why woman are so simple nowdays zamani tulikuwa tunaenda miezi hujapata unamvizia anatoka kisimani au anaenda machineni hahaha

Dah! Umenikumbusha mbali sana. Kusuburia akitoka kisimani au kuokota kuni
 
Ziko poa, Namba tatu hiyo mmmmhhh nimecheka, hiyo ya aishipo mtu bora iulizwe sio siku ya kwanza labda kama kuna ofa ya kumshusha. Wanawake wengine uendelea kuanalaizi maongezi, looks, etc baadae

Mie nadokezea wanapotongoza/wakipata jiko wawe na, no harufu na usafi wa mwili muhimu makwapa pia, uvaaji, wasimamavyo, wanavyokaa, usafi wa uso na nywele lazima kukata jamani, kama wanakuweka wewe kwanza ktk vitu vidogo hata mkiwa date, anayechangamsha ubongo kuweka vi ??? Kwa mwanamke hadi anaanza maswali ya wivu, kutojionesha upo freeee kama hauna cha kufanya duniani.

Na ile kila asemacho mwanamke unatekeleza hata ukiombwa kuamka at 4am duh unaamka kama jinga kwa kukubali huku unayamuhimu yako early. Kuonyesha una viprinciple fulani, kuosha mikono baada ya haja ndogo, viatu visijae mavumbi hata kama hauna gari (futa).

Jitahidi uchenji noti kubwa kubwa uwe na ndogo ndogo(wengi kubwa kujionyeshea kindani mchararo wakubwa, ukiwa nazo usijuionyeshe unazooooo) kuwa wewe.

No story za kujionyeshea onyeshea kimaisha au kutafuta kila mbinu kuonyesha ukoje au ulipata grades zipi shule kama pesa hukuzaliwa nayo etc

Mtu kama huyu kumtongoza raha saaanaaaaa!

mzurimie no offence please!
 
Last edited by a moderator:
Haya wale madomo zege darsa ndo hilo lol....

Hii hata haisaidii, huyu jamaa muongo kweli. Mbinu ni moja tu, mpe mwanammke mihela, ukikutananae mwe mwaga minoti tu..akikubi laki,akikutumia sms ya gud nyt unampiga na mpesa ya elf 50.laki laki laki. Atakupenda daima.
 
hii hata haisaidii,huyu jamaa muongo kweli...mbinu ni moja tu....mpe mwanammke mihela...ukikutananae mwe mwaga minoti tu..akikubi laki,akikutumia sms ya gud nyt unampiga na mpesa ya elf 50.laki laki laki. Atakupenda daima
Kama kuna majaribio mi nioneshe huyo mwanamke wako we umpe mi hela tu mi ntafanya yangu ila tu usimueleze kuwa anawindwa!
 
hii hata haisaidii,huyu jamaa muongo kweli...mbinu ni moja tu....mpe mwanammke mihela...ukikutananae mwe mwaga minoti tu..akikubi laki,akikutumia sms ya gud nyt unampiga na mpesa ya elf 50.laki laki laki......atakupenda daima
Teh teh teh!Hii njia inaweza isilete mafanikio baadhi ya maeneo,kwa mfano wanawake wa kijijini kwetu wanaogopa sana wanaume wanaohonga fedha nyingi kwa huisi wana Ukimwi!
 
Back
Top Bottom