Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Habari wana jf, leo naona tupeane maarifa kidogo kuhusu kumshawishi mwanamke ili aweze kukubali kimapenzi.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ila sasa toka nianze kutongoza siwahi kupata bahati ya kukubakiwa na mwanamke yeyote yule!

Huwa naumia sana kujiuliza maswali mengi sana. Huwa naona huenda ni mkosi au kuna kitu nyuma yangu.

Najua ndani ya jf kuna watu wenye ujuzi mbalimbali jamani naombeni tupeane maarifa ya utongozaji. Msaada please make hata muda wa kuoa umeishafka
Nenda baharini kaoge maji yasiyo na chumvi
 
1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.

2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu.

3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.

4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.

6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.

8 Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.

Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.
Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.
11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.

12.Unanipa maana ya maisha yangu.

13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14.Unakuaje mzuri muda wote?

15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli, najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuona kama chizi tu. Tafuta pesa
 
Back
Top Bottom