Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

[P. Diddy]
Hehe, c'mon
As we proceed, to give you what you need
Muh'----ers - I like this right here c'mon
Hit it
Bad Boy, we here now
We still ain't gon' stop, c'mon

[Verse One: P. Diddy]
Why do cats wanna hate on a boss, straight to Azor
Do petty shit that a coward'll do
Cop little toys like I should be proud of you
I got 2, one platinum one powder blue
Cop cars while you still rentin
Tell time from the Chapard{?}, Frank Mueller{?} or Million Mill Clintons
Platinum Presidential, to keep it simple
Half of y'all couldn't get into what I get into
I know niggas pressed to stick me, that's why I pack Glocks
That hold shots, nuttin less than 50
Niggas try they best to get me, I see you in the rearview
Switchin lanes tryin to get on same exits with me
Tryin to peep where I live at, where I sleep
Where my kids at, don't do that
I have fools with tools, where your kids go to school at
Where you break food, where you think everything cool at
Where you niggas get bricks at, take shits at
Count cash, take baths, ---- your bitch at
Who you niggas tryin to stick up? I have lions with irons
To pick up, your bitch, when she pick her wig up
I know niggas wanna see me shot, lean to the left
In the drop, holdin my chest, wheezin for breath
Can't see me goin out on no meaningless death
Y'all wanna stick me let me see if y'all can get me now

[Hook 2X - scratches]
"I run this city" "who else but me" "the boss"
"Trust me" - "I'm a Bad Boy!"
"You you you rockin with the best"
"Don't worry if I write rhymes, I write checks"

[Verse Two: P. Diddy]
FVCK Y'ALL just don't wanna see me fly
YOU KILLED B.I.G., y'all niggas seen me cry
That ain't enough? Y'all wanna see me die?
What man say P.D. scared, he lied
Hate on me, cause I got the keys to the city
You wanna see me get Notorious without Biggie
See me without The L.O.X., say I ain't jiggy
See me without Ma$e, say I ain't pretty
Wanna dress in all black, ride what's mine?
Take my shine? Hate on the ball, straight 'til it's all?
Mad cause I got the total package and more
Faith in my shit, y'all keep hatin my shit
I'mma keep hittin y'all, in the face with these hits
I got the real Queen Bee, don't ---- with my bitch
And I gave y'all the blueprints on how to ball
But you niggas still pray for my downfall

[Hook]

[Verse Three: P. Diddy]
FVCK Y'ALL cause I'm bad and the boy get papers
Is it the looks, the wheels, the skills, the flavor?
House on the hill, hundred acres, no neighbors
You can't hate this 90's Lee Majors
I'm top pedigree, I show you what cheddar be
Auto-trey nigga as y'all DuPont registry
Gear I wear for whatever the weather be
Gators, the flavors, the colors my leathers be
You smile in my face but behind my back gossip
Plot shit, wanna get me shot to the noggin
Have Justin cryin, who got my pop hit?
Lyin, tryin to tie me to that B.I.G. and 'Pac shit
I can't, don't, and won't stop
And y'all, can't, so don't pop
I told y'all I got thugs on the payroll
Gotta lay low and get up in the anal
 
Njia 10 utakazozitumia ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo

mwanamke.jpg

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.

7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.

9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana.
 
Siku hizi mwanamke hatongozwi, bali anakumbuswa kamchezo, na ukisubili utongoze itakula kwako.

Akhuu babu weeh. Wengine bado tunatongozwa. Raha sanaaaa ukimpata fundi wa kutongoza. Cloud 9 inakuhusu. Ndo maana mnasema wanawake wa siku hizi hawafiki kileleni, atafikaje nae hana feeling hata robo na wewe?

Anatakiwa akisikia tu sauti yako, kilele hichi hapa. Ukimbusu kibo hii hapa. Ukimnanihii tu mandara hiyooo. Ukinjunji anamalizia kwenye kibao cha highest mountain in home. Shaurilo
 
Ziko poa, namba tatu hiyo mmmmhhh nimecheka, hiyo ya aishipo mtu bora iulizwe sio siku ya kwanza labda kama kuna ofa ya kumshusha. Wanawake wengine uendelea kuanalaizi maongezi, looks, etc baadae

Mie nadokezea wanapotongoza/wakipata jiko wawe na, no harufu na usafi wa mwili muhimu makwapa pia, uvaaji, wasimamavyo, wanavyokaa, usafi wa uso na nywele lazima kukata jamani, kama wanakuweka wewe kwanza ktk vitu vidogo hata mkiwa date, anayechangamsha ubongo kuweka vi? Kwa mwanamke hadi anaanza maswali ya wivu, kutojionesha upo freeee kama hauna cha kufanya duniani.

Na ile kila asemacho mwanamke unatekeleza hata ukiombwa kuamka at 4am duh unaamka kama jinga kwa kukubali huku unayamuhimu yako early. Kuonyesha una viprinciple fulani, kuosha mikono baada ya haja ndogo, viatu visijae mavumbi hata kama hauna gari (futa).

Jitahidi uchenji noti kubwa kubwa uwe na ndogo ndogo(wengi kubwa kujionyeshea kindani mchararo wakubwa, ukiwa nazo usijuionyeshe unazooooo) kuwa wewe.

No story za kujionyeshea onyeshea kimaisha au kutafuta kila mbinu kuonyesha ukoje au ulipata grades zipi shule kama pesa hukuzaliwa nayo etc
 
Siku hatutongozi tunafanya kubeba tu. Jana nimekuta text kwenye simu yangu "hello" kutoka social network fulan nilipocheck nikavutiwa she was hot. Amazing curves after 30 min of conversation nikavuta mzigo hao tukakutana zetu faragha. But it left with alot of qs why woman are so simple nowdays zamani tulikuwa tunaenda miezi hujapata unamvizia anatoka kisimani au anaenda machineni hahaha.
 
Siku hatutongozi tunafanya kubeba tu. Jana nimekuta text kwenye simu yangu "hello" kutoka social network fulan nilipocheck nikavutiwa she was hot... Amazing curves after 30 min of conversation nikavuta mzigo hao tukakutana zetu faragha. But it left with alot of qs why woman are so simple nowdays zamani tulikuwa tunaenda miezi hujapata unamvizia anatoka kisimani au anaenda machineni hahaha
Kwahiyo mitandao imerahisisha maisha unafikiri huyo alikupenda au kunakitu alikuwa anahitaji maana inaonyesha ulipo mpa mambo sidhani kama uhusiano bado upo.
 
Mku siku hizi ukitongoza haupati nafasi kamweee,yani wanataka ile "njo home kesho basi,akifika akute upo poa kw namna ya kujipanga" yani hapo anavua mwenyewe unabaki unashangaa tu.
 
Siku hatutongozi tunafanya kubeba tu. Jana nimekuta text kwenye simu yangu "hello" kutoka social network fulan nilipocheck nikavutiwa she was hot. Amazing curves after 30 min of conversation nikavuta mzigo hao tukakutana zetu faragha. But it left with alot of qs why woman are so simple nowdays zamani tulikuwa tunaenda miezi hujapata unamvizia anatoka kisimani au anaenda machineni hahaha

Kuna ONE NIGHT STAND,haihitaji kuremba wala nini, but a real relationship, kijana u got to work. TRUTH IS hatuko miaka ya zamani ujue, mrembee sana mwanaume uone kama atabaki, HE GOT WAY TOO MANY OPTIONS. ukimdiss wewe wenzako wanamtafuta, bt 30 mins mhhhh?
 
Back
Top Bottom