Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

53186701_1694478164031982_709294491516796928_n.jpg

Kuna jamaa mmoja wa comoro alikuwa anauza yake Milion 10 nikaja nikakutana na mzungu mmoja anauza yake anatafuta hela ya kuondoka kwao milion 6..... Hii gari kwa speed ndiyo mahali pake
3056987_orig.jpg
Duu million 6 ungenistua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm sikukubali labda Old Model ya 1999 - 2002 mbovu na ikiwa mpya Nchini ex Japan ni 14m
lakini matako ya nyani bei ya chini 18m mwenye haraka hata km gea zinapandana
kuna jamaa kidogo abambikwe Body la kuchonga wali modified hapo nyuma wakamwambia 10m
Shikamoo madalali

Jr
 
Ujana mwingi. Watu wanaendesha SUV kama salon car. Ndio maana wanalalamika linatumia mafuta saana.
 
Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.
Inategemea gari imetengenezwa nchi gani. Gari za Ulaya na Marekani ukiwa kwenye 130kph ni mwendo wa kawaida, tatizo magari ya Asia kama Japan ukiwa kwenye 130kph na zaidi hapo mwenyewe unaona gari linakimbia sana na zaidi inakulazimu ushikilie usukani kwa nguvu tofauti na magari kutoka Ulaya na Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea gari imetengenezwa nchi gani. Gari za Ulaya na Marekani ukiwa kwenye 130kph ni mwendo wa kawaida, tatizo magari ya Asia kama Japan ukiwa kwenye 130kph na zaidi hapo mwenyewe unaona gari linakimbia sana na zaidi inakulazimu ushikilie usukani kwa nguvu tofauti na magari kutoka Ulaya na Marekani.

Mimi nikiwa na gari ya Mjapani natembea 120kph wakati nikiwa na gari la Ulaya mwendo wangu ni kati ya 140kph na 160kph

Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezikuta leo kama 6 hivi garage moja ya wachina DarView attachment 1052319View attachment 1052320View attachment 1052321

Jr
Ya hii kutokana kuwa ndio gari inayopendwa sana na wabongo Road zimejaaa mikoa yote ukienda unakutana nazo kwa wingi......


ukiangalia Report za magari Toyota harrier imeshika namba 2 huku namba 1 ikishikiliwa na Toyota IST..... Kwa kununukia kwa wingi.

Social>


Hizi Gari Comfortable sana.....
tengamotors___Bu_ZXXyn9in___.jpeg
safari_automotive_1___BvVtjWnj-kt___.jpeg
safari_automotive_5___BvVtjWnj-kt___.jpeg
safari_automotive_4___BvVtjWnj-kt___.jpeg
safari_automotive_3___BvVtjWnj-kt___.jpeg
safari_automotive_2___BvVtjWnj-kt___.jpeg



Hii gari ikiwa kwenye Foleni usipo kuwa makini unaweza kugonga.....inachanganya haraka sana......
 

Attachments

  • safari_automotive_5___BvVtjWnj-kt___.jpeg
    safari_automotive_5___BvVtjWnj-kt___.jpeg
    107.3 KB · Views: 41
Back
Top Bottom